mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,554
- 4,271
Sasa kabla wewe hujaja alikuwa na wa kumwambia ila ukishakuwa na mahusiano means mmekuwa kitu kimoja anakuamini na ndio maana kaona wewe utaweza kumsaidia kutatua shida zako …
Mfano zamani nishawahi kumuomba sister angu vocha akaniuliza kwani huyo boyfriend wako anafanya nini asikitumie vocha na anakuchartisha so Kuna mambo sensitive huwezi kumwambia boyfriend na kuna mambo ya kawaida….
Ushakubali kuwa mpnz wake means unatakiwa kumsaidia inapowezekana kukwambia wewe ni kukuheshimu tu