Ni ngumu sana kumpata mchumba/mpenzi asiyetanguliza pesa mbele kizazi hiki

Ni ngumu sana kumpata mchumba/mpenzi asiyetanguliza pesa mbele kizazi hiki

Sasa kabla wewe hujaja alikuwa na wa kumwambia ila ukishakuwa na mahusiano means mmekuwa kitu kimoja anakuamini na ndio maana kaona wewe utaweza kumsaidia kutatua shida zako …

Mfano zamani nishawahi kumuomba sister angu vocha akaniuliza kwani huyo boyfriend wako anafanya nini asikitumie vocha na anakuchartisha so Kuna mambo sensitive huwezi kumwambia boyfriend na kuna mambo ya kawaida….

Ushakubali kuwa mpnz wake means unatakiwa kumsaidia inapowezekana kukwambia wewe ni kukuheshimu tu
 
Pointi.
Ila kuna ishu nyingine zinapitiliza within a month mwanamke kukuchapa vizinga as if pesa ya mwanaume haina kazi, kuna sababu zingine zinaeleweka Kama vocha sio ishuu kivile mdada anakupiga vizinga vya malaki huko.

Mwanaume hawezi kukwambia ila ukishaanza kumwomba fedha kizembe zembe aloo atakuweka kwenye kingdom, phylum, class, order mbaya sana, la msingi tulia tek time pesa ya mwanaume utaila sana ila sio kwa njia haramu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ilitoka nikiwa nacheza rede
No hakuna kitu kama hicho never ever
Rede,kuendesha bicycle kupanda mti huu ni uongo kichaka cha kujificha

Bikra inatoka tuu iwapo kuna kitu kimeingia kwenye uke tuu either dudu,dildo,au vidole bas

Danganya wajinga wasiojua anatomy reproductive organ of female

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wenye tunamiliki hiyo kitu ndio tunaelewa wewe mbona unatusemea?
 
Pole sana aisee, rekebisha hapo ni tunapakuana Mkuu.

kuachwa kitu gani kwani eiish wewe ukipita kuna wenzako wanaojua kutafuta hela na kutolalamika watakaa, mnalia Serum 80 huku mnataka babes zenu ziwe na ngozi nzuri, hudumieni!!
Tatizo unahudumia alafu mtu anakuwekea masharti ya kwamba utombgee mbususu yake tuu....hapo ndio napo shindwa kuelewa.
 
Hakuna kitu kigumu kama kuwa na mwanaume asie na kipato unaweza kujikuta muda wote una hasira, mliumbwa mtuhudumie punguzeni kulalamika
Tanzania hii ni asilimia ngapi ya wanaume wenye kipato cha kujitosheleza unachohitaji? Uwezekano wa wewe kutongozwa na mwanaume Wa aina hiyo ni asilimia ngapi?

Wewe unacontribute ninì kwenye mahusiano ukitoa sex? Simara
 
Tanzania hii ni asilimia ngapi ya wanaume wenye kipato cha kujitosheleza unachohitaji? Uwezekano wa wewe kutongozwa na mwanaume Wa aina hiyo ni asilimia ngapi

Wewe unacontribute ninì kwenye mahusiano ukitoa sex? Simara
Sisi wanawake tuna shida sana, unapenda hela ili hali wewe mwenyewe hata elfu 10 huwezi tafuta? Mimi mahusiano yangu hayajajengwa au hayapo kwa ajili ya kupata hela kwa mwanaume. Tupo kwa ajili ya ku enjoy na kujenga familia.
 
Hongera sana bidada sema nini ushaolewa hakika umesema yaliyo mema pesa ni matokeo tu wengi wanashindwa kutambua hili mpende mtu kwanza kama ni pesa zitakuja Tu
 
Nikiwa sina pesa mwili wangu umeshakua automatic hata hauwazi mwanamke, hata mke wangu wanyumbani wala simsemeshi, najua litakalo tokea ....kama huna pesa mambo ya kuoa kwasasa achana nako labda kama watafuta stress
Vip kijana umemuelewa vizuri mtoa mada?
 
Back
Top Bottom