Kijana atafute pesa kwanza hao watu hawana ungwana bila pesa wote wako vileVip kijana umemuelewa vizuri mtoa mada?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijana atafute pesa kwanza hao watu hawana ungwana bila pesa wote wako vileVip kijana umemuelewa vizuri mtoa mada?
Umemuelewa vizuri mtoa mada?Hakuna kitu kigumu kama kuwa na mwanaume asie na kipato unaweza kujikuta muda wote una hasira, mliumbwa mtuhudumie punguzeni kulalamika
Nadhani ujamuelewa pitia Tena uzi wake soma kwa umakini taratibu utamuelewa na kama hauelewa nitakueleweshaKijana atafute pesa kwanza hao watu hawana ungwana bila pesa wote wako vile
Nakupinga kwa asilimia zote. Sababu yangu ni hii: Watu wengi hamjui maana ya sentensi ''kutanguliza fedha mbele''. Mtu kusema au kuzingatia mwenza awe na chanzo cha mapato kwa ajili ya matumizi ya kila siku huko siyo kutanguliza fedha mbele. Watu wote duniani wanafanya kazi ili kupata kipato cha kuendeshea maisha. Mwanamke kwa mfano, atakuwa mtu mjinga sana kama atakimbilia kuolewa na mtu asiye na kipato chochote. Kutanguliza fedha mbele maana yake haswa ni ile hali ya mke/mume kupenda fedha kupita kiasi kwa hali zote bila kujali kuna kupata na kukosa.Sensa safii, natumai baadhi yetu tumeshatembelewa na makarani wa sensa kwa ajili ya kuchukua details zetu na wengine tumeshiriki nao chakula cha mchana.
Twende kwenye mada husika kizazi changu hiki ni ngumu sana kumpata mchumba/mpenzi asiyetanguliza pesa mbele, unamtongoza mdada kwa nia nzuri kabisa ya kumfanya awe mke/mamayeyo wako wa badaye ila ghafla bin vuu anaanza kukupiga vizinga visivyoeleweka na unapata mdada anakazi yake nzuri tu na mshahara kakuzidi kwa gepu kubwa tu.
Unajiuliza maswali huu ni uchumba/urafiki tu nikiweka ndani huyu si ndio mpaka chumvi ya mia tano ikiisha ntasubiriwa hata kama ni saa nne usiku nije nitoe hela ya kununua mnaweza mkalala njaa kisa chumvi ya Shs 500 eti anakusubiri.
Sikatai kusaidiana kupo ila sio msaada unakua wa upande mmoja tu chake ni chake ila cha mwanaume nicha wote, wanashangaza sana, unajiuliza kanipenda mimi au kapenda pesa si bora angeniambia sikutaki tu.
Badilikeni wanaume nao wanamatumizi ya hizo pesa sio kwba wamekosa nazo kazi.
Wewe ndio umemuelewa vizuri mtoa mada Covax Beesmom Simara njooni hapa mtoa mada azungumzii mwanaume kukosa hela au kutokuwa na hela anachozumzia wanawake wamekosa ile staha ya kiuwanawake badala yake wamejikuta wanaweka tamaa mbele. Kwasisi Wanaume tunaojitambua tunapima wanawake kutokana na matendo yao kujua je huyu ni wakugonga au wakuanzisha maisha naeKuna demu mmoja mzuri hivi anapenda kuvaa mavazi ya kujisitiri, shape anayo ila si wa kuvaa zile nguo za kubana yeye,vitenge u sketi zile za kuachia kuna mwanagu mmoja Engineer yupo vizuri ila ni mtu ambaye yupo simple sana kimwonekano hata kimavazi ila financial yupo vizuri.
Basi si kamtokea yule binti, binti akampa namba ya simu ,kumpigia simu hata dk tano za kutambuana hazijaisha anasema ana shida ya 40000,nywele chafu, bundle limeisha na simu kioo kimepasuka.
Jamaa akapiga chini, basi yule demu akawa anamponda mwana ,ila siku anakuja kupata file la mwana alijiona bonge fala sana bada ya kujua status ya mwana.
Ficheni tamaa zenu hizo mwanzoni, mnawapoteza watu wa maana sababu ya tamaa zenu, mwana si kwamba alikuwa anashindwa kumpa hiyo hela ila kwake yy alimuona kama malaya na jamaa mwenyewe mstaarabu yule demu sasa hivi angekuwa anakula mema ya nchi.
Halafu unaweza ukakuta anapewa mimba na fala mmoja tu kisa ana gari,tena gari lenyewe la kuazima au mwana mjanja mjanja ,msanii au walamba lips wanao shinda kwenye Gym halafu hawana time na hiyo mimba.
Hao sasa ndiyo wanatanguliza fedha mbele. Na mara nyingi hili hutokea kwa wanaume wanaolazimisha mapenzi. Ukiona mwanamke anakutumia namna hiyo ujue huyo hakupendi bali anapedna fedha zako. Lakini mwanamke anayetaka mwenza wake awe ni kipato cha kuendeshea maishi ili amkubali huyo hatangulizi fedha mbele bali anatanguliza kanuni za kawaida kabisa za maisha.Nazungumia hawa omba omba wanajifanya kama special group mbovu unakuta mshahara anakuzunguka hata mara 2 ila bado tu ana omba omba pesa zako wewe mwamba umevaa kiatu mpaka kimepinda yeye anaviatu pesa 14 na bado anakuomba mpunga wa kunununa viatu
Kwanini umeuliza Hilo swaliYaani ni kweli ni vigumu sawa kumpata MPENZI au boyfriend asietaka unyumba before marriage
Naomba mkuu unieleweshe zaidi ntashukuru sanaa kwa ufafanuzi wakoNadhani ujamuelewa pitia Tena uzi wake soma kwa umakini taratibu utamuelewa na kama hauelewa nitakuelewesha
Kwahiyo tumsaidiaje Sasa?🙄😏😠Wewe ndio umemuelewa vizuri mtoa mada Covax Beesmom Simara njooni hapa mtoa mada azungumzii mwanaume kukosa hela au kutokuwa na hela anachozumzia wanawake wamekosa ile staha ya kiuwanawake badala yake wamejikuta wanaweka tamaa mbele. Kwasisi Wanaume tunaojitambua tunapima wanawake kutokana na matendo yao kujua je huyu ni wakugonga au wakuanzisha maisha nae
Wewe ndio umemuelewa vizuri mtoa mada Covax Beesmom Simara njooni hapa mtoa mada azungumzii mwanaume kukosa hela au kutokuwa na hela anachozumzia wanawake wamekosa ile staha ya kiuwanawake badala yake wamejikuta wanaweka tamaa mbele. Kwasisi Wanaume tunaojitambua tunapima wanawake kutokana na matendo yao kujua je huyu ni wakugonga au wakuanzisha maisha nae
Nimemuelewa,Lakini sijui Cha kufanya hapo....afu Leo sipo sawa kabisaUmemuelewa mtoa mada vizuri?
Dharau nyingi sana kwenye ukoo ukiwa huna mkwanjaHalafu kuna mjinga mmoja anasema furaha yake haitokani na pesa. Hata jirani hatakupenda kama huna pesa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dada unajitambua hiv umetoka kabila gani?Sisi wanawake tuna shida sana, unapenda hela ili hali wewe mwenyewe hata elfu 10 huwezi tafuta? Mimi mahusiano yangu hayajajengwa au hayapo kwa ajili ya kupata hela kwa mwanaume. Tupo kwa ajili ya ku enjoy na kujenga familia.
Inatokea TU,mwakutana Leo mwaoana kesho na ndoa inadumu fresh tu.Mnaweza pia pitia kote huko ulikomention na msidumu ndoanUtakuaje na Mume bila kupitia uboyfriend and ugirlfriend
Kabila sidhani kama linamfanya mtu ajitambue, maana kuna wa kabila langu pia wana tabia hizo. Wanawake tusipojitambua tutashushwa thamani yetu. Na kadri siku zinavyozidi kwenda ,haya mambo ya kupewa pesa hayatakuwepo unless uwe unajiuza.Dada unajitambua hiv umetoka kabila gani?
🤣🤣🤣 Wewe ujapata chochote hapo kwenye mada yakeKwahiyo tumsaidiaje Sasa?🙄😏😠
🤣🤦🤣🤣🤣 Wewe ujapata chochote hapo kwenye mada yake
Angalia kwenye comment niliyokutag nikireply kwenye comment ya joseph1989 nimetoa ufafanuzi wakeNaomba mkuu unieleweshe zaidi ntashukuru sanaa kwa ufafanuzi wako
Wengi ni wakugonga tuu mwanawane. Wakuweka ndani ni wacahache sana. Wanawake wenyewe wanakuja na kauli mbofu mbofu eti hela yangu nitachangia nikitaka....sasa nani anataka mwanamke kama huyo awe mke.Wewe ndio umemuelewa vizuri mtoa mada Covax Beesmom Simara njooni hapa mtoa mada azungumzii mwanaume kukosa hela au kutokuwa na hela anachozumzia wanawake wamekosa ile staha ya kiuwanawake badala yake wamejikuta wanaweka tamaa mbele. Kwasisi Wanaume tunaojitambua tunapima wanawake kutokana na matendo yao kujua je huyu ni wakugonga au wakuanzisha maisha nae