Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 3,049
- 4,301
Habarini za Wakati Huu Ndugu wanajamvi.
Nimekua nikifuatilia vita ambavyo vimekua vikiendelea toka nikiwa mdg huko nikiwa sifahamu lolote hadi nimekua mtu mzima nafuatilia kwa ukaribu sana. Mauaji yanayofanyika huko yanaumiza moyo na niwazi kwamba Hivi vita vitadumu maisha yote hata mwisho utakapo fika.
Nimekua nikiona kuna Timu za watu wakishabikia Israeli wakiwachakaza warabu kwa mabomu na mengine mengi.
Swali langu kwenu mnaoshabikia Israeli anapofanya haya mauaji, Ni nini hasa mnachokishabikia ? Mnataka Waarabu wafutiliwe mbali au mnapenda kuona Israeli ikiwa na Dominance kwenye nchi za mashariki ya Kati. ?
Huwa siwaelewi kabisa mnaoshabikia kuona Binadamu wenzako wakiuawa, What is so fun about Arab genocide pale gaza ? Naomba mnasaidie kunielewesha.