Ni nini faida ya kushabikia mauaji ya Waarabu yanayofanywa na Israeli ?

Wafuasi wa mfalme Zumaridi wanaamini eti lile taifa linaloongoza kuwa na watu wanaopenda ushoga, ponografia, kamari, riba, uzinzi , uasherati na mauaji eti ni taifa La Mungu, cha ajabu watu hao hata hawamuamini huyo wanaemuita Mungu wao
Mungu haangalii kama unavyoangalia wewe.
Linaitwa Taifa la Mungu kwa sababu historia ya masuala ya dini na Manabii wote walitokea katika Taifa hilo .
Hata Shetani na manabii wakubwa wa uongo pia walionekana katika taifa hilo kwa ajili ya kumpinga Mungu na kuwapinga saa sana watu wa Taifa hilo.

Hata hivyo vita vinawahusu wote waarabu na Wayahudi kwa sababu wameshindwa kushika Amri ya upendo.
Wayahudi ni wabinafsi na Waarabu wana roho mbaya sana na uislam pia ni dini iliyoshikana na magaidi kwa hiyo wote wanapata tabu katika vita . Waarabu kwa wingi wao hawajawahi kupenda kuishi na watu wa dini nyingine kwa amani popote duniani.
Kifo ni kifo tu. Mauaji ni mauaji tu ,vita ni vita tuu.

Taifa la Israel linathibitisha usahihi wa Biblia kwa hiyo hakuna namna ya kuepuka yale yaliyoandikwa kwa karne nyingi .
Wale wasioiamini injili ndio wanashangaa lakini wana wa Mungu hawashangai bali wanaona wakati wa kumsubiri Kristo kurejea.

Wayahudi na Waarabu wote wamemkataa mdalme wa Amani Yesu Masihi . Kwa hiyo hasira ya Mungu haitakoma katika eneo hilo mpaka watakapo mjua Mwana Mwana wa Mungu na Amri kuu ya mpende jirani yako kama nafsi yako .
 
Umezungumza utumbo mtupu
 
Sa we ni mkanisa toka lini mkasa imani Mungu alimfungua akili akaijua Qur'an na Qur'an kuijua lazima uwe umebahatika sana, wewe kwenye moyo wako kuna magonjwa na Mungu anazidisha magonjwa kwenye moyo wako hahaha ndio sababu unabudu binadamu badala ya Mungu hello Tela Aviv
View: https://youtube.com/shorts/kGhTP4cG5-o?si=v6KQkeO8bg4b-JZF

Quran iliyohubiriwa majini mashetan wakasilim unataka niijue inisaidie nini. Mungu ninaemuabudu kwanza hajaniandalia umalaya nikafqnye mbinguni mkuu. Kuwa na adabu
 
Excellent Mkuu, watu wengi hawawajui wayahudi kua ni watu waovu na wenye kiburi na wanaopenda migogoro tokea karne na karne, huu mgogoro wao na Palestina ni wao ndio wanaoufanya kua mgumu kutatulika na hii wanafanya kusudi kwa sababu ya maslahi yao binafsi. Hawa jamaa wanapenda vita na silaha ni moja ya biashara yao kubwa, kwenye hii vita yao na hamas wameuza silaha za dola bilioni 15.

Mbali ya kua taifa lao la mchongo lilianzishwa kwa mauaji ya Palestina zaidi ya laki 7 , bado hio ardhi ya Palestina walipewa na UN nayo pia wanaitaka na kila siku wanaendelea kuiba ardhi mpya. Marekani ndio mshirika wao mkuu, siku ikianguka Marekani na Israeli itakua ndio mwisho wao
Yap sio wastarabu
 
Quran iliyohubiriwa majini mashetan wakasilim unataka niijue inisaidie nini. Mungu ninaemuabudu kwanza hajaniandalia umalaya nikafqnye mbinguni mkuu. Kuwa na adabu
Tatizo hizo nyimbo zipo kanisani tu za bikra 72 au umalaya hebu nipe aya moja inasema hayo kwenye Qur'an na uhakika hauna. Hauta pata kwa hio uwongo ni tabia za kanisani mnaongea bila dalila kama walevi vile.

We nani anakuambia Waislam tunahitajia waongo wanao fikiria umalaya na pombe. Pombe na umalaya ni desturi za kanisani huoni huwa mnafurahi sana kusikia Saud Arabia karuhusu pombe na umalaya hahaha
 
Sawa kaka kamtafute sheikh kipozeo atakupa somo zuri zaid naona ulikimbia kipindi. Kitu kimoja unasahau dunia ya leo humdqnganyi mtu. Huyo Allah wenu kawaandalia gest za kupasuana na malaya wa kutosha na pombe juu. Ndio maana Qur'an ilianzq kuaminiwa na majin mashetan.
 
Mimi nilienda kupiga mazoezj
unadhani mimi kama yule Echolima1 anatoka mpaa majipu kwa kutumia majina 30+, kwa kweli JF lazima wamlipe huyo hata kama analeta kanga nyingi hahaha

Hivi we kipoozeo unadhani akileta story za pombe hakusufi pombe za kulewesha basi anapenda jokes tu yule hakuna kwenye Qur'an sehemu inasema pombe inacho ongea Sharabu haibadiliki ladha. Inaweza kuwa maji au juice ye kuongelea pombe isio kuwa pombe ya kulewesha hapo wazi hakuna pombe. Hata kunywa sana juice kupita kiasi huo ni ulevi pia hahaha. Wazungu wanasema even things that are generally considered good or beneficial can have negative consequences if consumed
 
Kwamba Qur'an haisemi peponi kuna mito ya pombe au wanaume watapewa mabikira 72 sio? Mzee unadhan zama hiz ni zile za ujima
 
Haisemi leta Aya na kuchallenge Qur'an haielezi mto wa pombe kwa maana ya pombe za kidunia zenye kulewesha. Inataja mito ya "khamr" katika Pepo, lakini hii inatafsiriwa kama kinywaji safi, kisicho na ulevi, malipo kwa waumini. Qur'an inakataza waz kabisai unywaji wa ulevi katika maisha haya, ikiviita kazi ya Shetani na kuwataka waumini kuviepuka..

Na kuhusu bikra 72 hakuna kwenye Qur'an hizo ni hadithi za Wayahudi na Wakristo wanao tunga fake hadith kujida kina Bukhari au Sahih Muslim hahaha.

Hata kwenye hadithi ilio thibitisha hakuna ujinga huo.
 
Mimi nilienda kupiga mazoezj
unadhani mimi kama yule Echolima1 anatoka mpaa majipu kwa kutumia majina 30+, kwa kweli JF lazima wamlipe huyo hata kama analeta kanga nyingi hahaha

Hivi we kipoozeo unadhani akileta story za pombe hakusufi pombe za kulewesha basi anapenda jokes tu yule hakuna kwenye Qur'an sehemu inasema pombe inacho ongea Sharabu haibadiliki ladha. Inaweza kuwa maji au juice ye kuongelea pombe isio kuwa pombe ya kulewesha hapo wazi hakuna pombe. Hata kunywa sana juice kupita kiasi huo ni ulevi pia hahaha. Wazungu wanasema even things that are generally considered good or beneficial can have negative consequences if consumed
Acha ujinga wewe kamtafute Sheikhe Kipozeo akupe DARASA!!!
 
Acha ujinga wewe kamtafute Sheikhe Kipozeo akupresury DARASA!!!
Acheni story leteni wapi Qur'an imeongea mlio sema hizobstory za kanisani peleke huko kwenu. Kipoozeo ni mchekeshaji tu na yeye na uhakika alicho ongea kuhusu mito ya Hamr lakini haina ulevi msimzulie uwongo.

Wasikie wayahudi kwenye tv zao wana lalamika channel ya i24 inaongea kiarabu wanasema leo tu wametandikwa asubuhi tu 50 Missiles

Afu Iran kawawekea kwenye hizo Missiles picture za kina Nasurlah na Yahya Sinwar na kuandika tuna lipa deni zitaondoka bada ya mda kidogo kutoka Iran kuelekea Israel.

View: https://youtu.be/061EiHox_h0?si=N8-RNfWFtsKTgegC
 
Back
Top Bottom