Sasa Irani anapigwa na wachina au ni waarabu hao wanaompiga?Uwezi kukuta jamii ya wazungu wanashabikia haya mambo.
Huko kwa wazungu asilimia kubwa ya jamii wanaona wanachofanya Israel ni immoral. Serikali zao ndio ambazo ni pro-Israel na zina counter-argue kwa propaganda za ku-justify Israel actions
Netanyahu ni calculative mad man, kabla ya kuipiga Iran, week moja tu nyuma kulikuwa na movement kubwa ndani ya Israel kumtaka atoke. Huko kwao wanamuona ni ‘war monger’ tu.
Hawa wenzetu wanakitu kimoja, ukitokea ugomvi na adui wa nje (haijalishi nani mchokozi) kwanza wanamtetea ndugu yao.
Ugomvi ukiiisha kama ndugu yenu ndio mchokozi ndio mnaanza kupeana lawama mjomba usitupeleke tena kule.
Netanyahu alikuwa na wakati mgumu kwenye siasa na jamii week moja tu aijaisha, Israel hawamtaki. Kwa sasa wana-m-support kwa sababu hata kama yeye ndio kanunua ugomvi; hawa wenzetu ni loyalty kwanza mengine baadae.
Hizi ndio sababu siwezi muunga mkono mtu kama Lissu miaka 800 ambae anategemea watu wa nje (he is just compromised).
Mika kibao Israel anapata support kutoka Uingereza na Marekani hao ni Waarabu au wachina?
Wanao wapiga ISIS,Al Qaeda, Al Shabab, Hamas, Hesbollah, Houthi, sasa Iran ni Wazungu, Huyo Israel bila msaada wa wazungu harushi hata ngumi.
We unasema Wazungu hawashabikii hii mambo, wao majority ndio wana suppoert Mwarabu apigwe wewe umeamkia wapi sijui unawatetea.
Hujasikia Uingereza imesogeza manowari za kivita, hujasikia statement za Trumo akisema Isreail waendelee kupiga na silaha anawapelekea hao ni waarabu au wachina?
Kumbe mnawapenda wazung?
Minilidhani hao wazungu ndio huwa mnawaita Makafir au makafir ni sisi weusi tu?