Pridah
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 1,995
- 4,011
Wee nawe si wakupige tu bomu tupumzike na haya macoment yako ya kingese hata kuyaandika vizuri huwezi.Shenzi type warabu wanaishi na kila taifa nenda nchi za uarabuni ukaone. Wewe pia bila warabu nadhani hata wali usinge ujuwa. Warabu wameishi na wafrika na wameowana we kwa Muusrael we ni najisi tu hata hukukumbatii wewe na Mhindi lakini mwarabu anamkumbatia.
Wayahudi na Warabu hawana matatizo kabisa tatizo kuna hao ma Zionist wao ndio wana matatizo na Waislam sio warabu tu.
Israel kumbuka ni mtumwa wa nchi za Europe na USA nyie mkiona wanamuogopa Netanyahu ni sababu Netanyahu waliwahi kumuliza huko Europe kwanini Israel daima wako kwenye vita akawambia sababu sisi tunapigana kwa niaba yenu.
Sababu kubwa wanauchukia uislam hao western wanaogopa kutakuwa hakuna riba, ulevi, umalaya pombe nakila upuzi walio uleta duniani ulio katazwa na Mungu na kwa kuwa wa Israel walisha laniwa na Mungu wanajua wazi hawawezi kwenda peponi, na hi dunia lazima waendeleze uwaji na uchafu walio wafanyia Mitume wa Mungu.
Faiza ndo alikua kobaz mwenye akili kidogo ila wewe na kina webabu ni ushuzi mtupu hata kuandika kiswahili kilichonyooka hamuwezi.
Point ya kipuuzi imeandikwa kipuuzi.Mtu inabidi atumie nguvu ya ziada kukuelewa.
What d hell is *uwaji?
*warabu?
*wame laniwa?
Mtafute Faiza aku brush unajiaibisha