Ni nini faida ya kushabikia mauaji ya Waarabu yanayofanywa na Israeli ?

Sasa Irani anapigwa na wachina au ni waarabu hao wanaompiga?

Mika kibao Israel anapata support kutoka Uingereza na Marekani hao ni Waarabu au wachina?

Wanao wapiga ISIS,Al Qaeda, Al Shabab, Hamas, Hesbollah, Houthi, sasa Iran ni Wazungu, Huyo Israel bila msaada wa wazungu harushi hata ngumi.

We unasema Wazungu hawashabikii hii mambo, wao majority ndio wana suppoert Mwarabu apigwe wewe umeamkia wapi sijui unawatetea.

Hujasikia Uingereza imesogeza manowari za kivita, hujasikia statement za Trumo akisema Isreail waendelee kupiga na silaha anawapelekea hao ni waarabu au wachina?

Kumbe mnawapenda wazung?

Minilidhani hao wazungu ndio huwa mnawaita Makafir au makafir ni sisi weusi tu?
 
Rudi tena, soma post zangu taratibu ukiwa unbiased.

Vinginevyo hakuna sehemu nime-imply hayo mambo unayoniwekea in the slightest.
 
Hii elimu yako kiboko
 
Ni wivu tu mkuu imagine wao wakifa. Wanakabidhiwa bikra 72 wazichakate ila mm sipati chochote je wew kuweza?
 
Ukijibu swali kama hilo kwa upande wa pili itasaidia pia. Kwamba, ni nini faida ya kuua mnaowaita makafiri na mkashangilia?
 
Watakusus
Ni ujinga na matokeo ya ukoloni. Sijali kuhusu Israel na Iran, watwangane tu.

Ila kile wanafanyiwa wapalestina ni zaidi ya unyama, ni ushetani wa hali ya juu mno. Chuki waliyonayo wayahudi kwa wapalestina ni pure ushetani.
Watakususia kigangoni
 
Wazunge weupe wenye asili ya Ulaya ndio waliokuwa wanauwawa na Hitler kwenye Holocaust ?
Kuna tofauti kati ya Uyahudi kama dini na Uyahudi kama jamii ('ethnicity').
 
Faida yake ni matokea ya vikindi ambavyo Iran alivianzisha kuiangusha Israel na nyinyi mmekiwa mkiipamba Iran kuwa ni taifa lwnyw nguvu sana na Israel na Marekani wanaiogopa.
 
Kwa bongo kila vita ni kama mechi tu ya yanga na simba, who cares? Bongo sadists ndo jadi kwa sasa, ndo mana uvisisiemu kila siku wanatamka kuua tu na polisisiemu yao ni kutoa roho tu ishakua kama mbuga ya wanyama!
 
Hivi kwa nini Israel kuna idadi ya waislamu wengi kuliko wakristo?
 
Mimi ni mkristo kabisa nimebatizwa ila sijawahi kukubaliana na ujinga wa Israel na watu wengi kitu ambacho hawajui Israel hawajai kumtambua Yesu kristu mpaka Sasa
Wafuasi wa mfalme Zumaridi wanaamini eti lile taifa linaloongoza kuwa na watu wanaopenda ushoga, ponografia, kamari, riba, uzinzi , uasherati na mauaji eti ni taifa La Mungu, cha ajabu watu hao hata hawamuamini huyo wanaemuita Mungu wao
 
Mimi ni mkristo kabisa nimebatizwa ila sijawahi kukubaliana na ujinga wa Israel na watu wengi kitu ambacho hawajui Israel hawajai kumtambua Yesu kristu mpaka Sasa
Excellent Mkuu, watu wengi hawawajui wayahudi kua ni watu waovu na wenye kiburi na wanaopenda migogoro tokea karne na karne, huu mgogoro wao na Palestina ni wao ndio wanaoufanya kua mgumu kutatulika na hii wanafanya kusudi kwa sababu ya maslahi yao binafsi. Hawa jamaa wanapenda vita na silaha ni moja ya biashara yao kubwa, kwenye hii vita yao na hamas wameuza silaha za dola bilioni 15.

Mbali ya kua taifa lao la mchongo lilianzishwa kwa mauaji ya Palestina zaidi ya laki 7 , bado hio ardhi ya Palestina walipewa na UN nayo pia wanaitaka na kila siku wanaendelea kuiba ardhi mpya. Marekani ndio mshirika wao mkuu, siku ikianguka Marekani na Israeli itakua ndio mwisho wao
 
Mimi ni mkristo kabisa nimebatizwa ila sijawahi kukubaliana na ujinga wa Israel na watu wengi kitu ambacho hawajui Israel hawajai kumtambua Yesu kristu mpaka Sasa
Hiv unajua ndani ya Israel kuna waarabu na waislam wa kutosha na wengine wako jeshini wanagawa dozi muda huu
 
Ndio gaid huwez kuliua mwenyewe maana limefadhili ugaid maeneo mengi
Sawa wanasema nyani haoni kundu lake nyie ndio magaidi mnatoka kwenu kwenda wafata watu nchi zao mkitandakwa mnasema magaidi.

Tazama taifa teule lenu linavyo pelekewa kichapo



View: https://youtube.com/shorts/LXdu7Q4qygw?si=mcetKT33wI4hAEML



View: https://youtube.com/shorts/1DQ7ngx1M8E?si=vHHE7t3I_EOv2eOI

View: https://youtube.com/shorts/1DQ7ngx1M8E?si=vHHE7t3I_EOv2eOI


View: https://youtube.com/shorts/IUmZaYaLcpI?si=2bUbwUwzEL7VDkhT
 
DP World,Mradi wa Bandari ya Bagamoyo,Eneo la hifadhi la Loliondo, Wanyama walionunuliwa Serengeti, Maeneo waliyofukuzwa wamasai. Hivi vitu vyote wamepewa waarabu na wao hawajawahi kutujengea shule, hospitali wala chuo katika hii nchi. Niko sahihi kuishangilia Israel.
 
Mpaka sasa hiv iran na Israel wamekufa wangapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…