Ni nini hasa itapelekea mwanaume uliyenaye akupe heshima ya ndoa?

Hujapata majibu bado ?
 
Kuna co-worker wa kiume miaka 38 aliniambia ukiwa mtu mzima huwezi kumuacha mwanamke kisa ame cheat
Yupo sahihi hasa kwenye ndoa.... ila hamuwezi kuwa na amani tena kama ilivyokuwa mwanzo.

Wanawake wanaweza kusamehe kwenye usaliti na wakasahau ila sisi halitoki...hadi utakufa nalo....
 
Tufanye kweli basi

Tena tukioana kipindi hiki cha corona gharama zitakuwa ndogo na hakutakuwa na idadi kubwa ya watu isiyo na umuhimu
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Yupo sahihi hasa kwenye ndoa.... ila hamuwezi kuwa na amani tena kama ilivyokuwa mwanzo.

Wanawake wanaweza kusamehe kwenye usaliti na wakasahau ila sisi halitoki...hadi utakufa nalo....
Ndio maana wanaume wanakufa mapema
 
Wee utakuja kulia... Mwanamke kushape ati future.!!?? Acha jtani future unashape wewe mwenyewe usaidizi wa mwanamke ukaja sehwmu moja tuu nayo ni kugegedana na kukusaidia wewe kuendeleza ukoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…