Ni nini hasa kiini cha chuki za viongozi wa TEC dhidi ya viongozi wa kiisilamu hasa wa Serikali Kuu?

Tatizo mmoja kaenda shule mwingine shule imepitia pembeni kwa hiyo wanajificha kwenye kivuli Cha dini
 
bwana talatala kwenye ujinga wake!
 
Hivi mtu unakuwaje mjinga kiasi hiki?

Kwanini usijikite kwenye hoja zao?

Kama zina shida, sema hoja zao zina shida gani

Mtu anakwambia nguo yako chafu... wewe unasema ananichukia kisa dini yangu!

Ni upumbavu wa kiwango cha juu sana
 
Magufuli alizinguliwa na TEC kwani NAYE ALIKUA muislamu mkuu?
Wanasema matamko yalikuwa machache kuliko kwa Samia na hii hoja Samia pia aliichukua na kuiongea mbele ya Wazee nongwa wa Darslam. Kwamba kwa wengine machache ila kwakwe mengi ( matamko 8 kwa miaka 4), Kwa hoja hii alihalarisha mauaji ya Oct29.
TEC wangetoa tamko moja asingeua. TEC kweli wamechochea kwa matamko yao kwa serikali hadi bimkubwa akakasirika na kutoa amri ya shoot to kill ili kuwakomoa TEC.
 
Uteke watu, upole uchaguzi, ufanye mauaji halafu ukiambiwa hii sio sawa useme unachukiwa.!
 
Bullshit.
 
Lawama zote ziende kwa dr aliyekufanyia operation ya busha kukuacha mzima..!!
just relax tu na ujikite kwenye hoja mahususi mezani mtumishi,
hakuna haja ya kuweweseka na mihemko useless kwenye jambo hili muhimu sana
 
jikite kwenye hoja mahususi gentleman,
nini kiini cha chuki ya TEC dhidi ya viongozi wa serikali wa kiisilamu hasa wa serikali kuu?
 
Hivi nyie chawa huwa mnaandika baada ya kufikiria au huwa mnafikiria baada ya kuandika? Anyway, maybe you’re all brainless like your fuckin’ host!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…