Ni nini hasa kiini cha chuki za viongozi wa TEC dhidi ya viongozi wa kiisilamu hasa wa Serikali Kuu?

Hii hoja ya kuilinganisha Bakwata na Tec mnakosea sana tena sana kasomeni kwanza historia ya kuanzishwa kwa Bakwata na kwanini ilianzishwa na kabla ya hapo kulikuwa na chombo gani kinachosimamia maslahi ya waislamu na kwanini kilifutwa na kuanzishwa Bakwata halafu ndio uje na hoja zilizoshiba

Naona humu mmekazania Bakwata Bakwata hivi mnatufanya hatujui yanayoendelea nchi hii hasa katika hizi dini mbili?
 
Linganisha chombo kiichokuwepo Kabla ya BAKWATA n Kanisa Katoliki wakati huo huo. Tuanzie kabla ya Uhuru.
Ukisema wakoloni walikuwa wakristo basi mwarabu alikuja Tanganyika kabla ya mjerumani na kiingereza alitakiwa awe amejenga taasi kubwa na zimeendelea kuliko za makanisa.
Hoja kuu TEC hawajazuia waislam wasifanye maendeleo makubwa kwa jamii ya watanganyika.
 
Kasome historia nimekwambia maana tukiwafundisha sisi mnatuita wadini

Nakupa homework kasome kwanini ilianzishwa Bakwata?

Je kabla ya Bakwata kulikuwa na chombo gani cha kiislam?

Je kwanini kilifutwa?

Halafu ndio uje na hizo ligi zako za majigambo

Yani mnacheza rafu halafu mnashangilia ushindi nonsense!
 
Hizi hoja zake bwana ahmed albah shahwa Tlaatlaah na nduguye gallowbird wamekimbia hawakujibu kitu 🀣 ndio ujue ni hawana hoja.
Unajua nimekuwa surprised kukutana na Muislam mwenye akili pana kama za huyu jamaa,nadhani Tanzania hii kama wapo wengine hawazidi kumi maana wengi ni wajinga wajinga linapokuja suala la umoja wa kitaifa.
 
Maswali simple matatu, ukishindwa kuyajibu then it's obvious wewe ndiyo huyu shehe ubwabwa.

Ila na hilo limama lenu liambieni liache umalaya na lipunguze kunywa Konyagi.

Kama ni kweli TEC wanamchukia basi itakuwa hawataki mwanamke mwenye waume wengi.
 
Hizo no biashara,watu hawapati huduma hizo bure
Bakwata siyo shirika la biashara,kazi ya kutoa elimu na huduma za afya kwa jamii ni ya serikali
 
jikite kwenye hoja mahususi gentleman,
nini kiini cha chuki ya TEC dhidi ya viongozi wa serikali wa kiisilamu hasa wa serikali kuu?
Hao walishazoea special treatment, kwa sasa wameminywa pumbu mpaka wanatoa milio
Lakini haisaidii, tunavyoeenda mitamboni, MoU inaenda kufutwa, halafu hospitali zinajengwa Mwanza na Moshi ili kuwaziba mdomo
Naona kila raisi aakiwa muislamu wanakuwa bize sana, hebu angalia idadi ya matamko kwa maraisi yanavyoleta picha gani?

 
TEC hawana hoja gentleman bali ni chuki binafsi tu kwa viongozi wa kiisilamu serikali hawana lingine.
Inamaana huoni au husikii wanavyoropoka mara kwa mara?
Imefikia mahali hata kuhubiri neno la Mungu nadhani wamesahau sasa
Malumbano bila weledi na mantiki hayatstusaidia kama taifa.
Jambo la muhimu ni kutobaguana kwa itikadi, dini,kabila au sehemu ya muungano atokapo mtu.
Umoja wa watanzania ni muhimu sana kudumishwa lazima kuwapuuza wale wote wanaojenga hoja za kuwagawa wananchi.
 
Member Dr Ahmed Albah-Shahwa πŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏ nikupongeze kwa hoja yako ya kwanza pale juu post #02 watu aina yako kwenye hizi imani ni wachache sana,I mean ni wa kutafuta kwa torch.
Asante mkuu, pongezi ziende kwa TEC mimi nimenukuu tu. Ingawa binafsi naamini katika haki ya kuishi kama ilivyoorodheshwa kwenye katiba ya nchi ibara ya 14, isipozingatiwa hii hata tukisema tunaleta maendeleo, tunamletea nani?
 
Umenena vyema.
Sasa kwanini TEC wakiwakumbusha serikali majukumu yao mnaona wanafanya udini?
Mosi, TEC hawajawakumbusha serikali majukumu yao bali walichochea na kupanga uasi dhidi ya serikali
Pili, TEC siyo kazi yao kuwakumbusha serikali bali kuchunga kondoo wakae kwenye misingi ya imani,kitu ambacho kimewashinda na wameamua kufanya siasa
Tatu,yesu kwa mujibu biblia hakujihusisha na siasa,kuuza huduma za jamii,aliagiza kumuachia kaisari Yale ya kaisari
 
Hahahahaa waliokufa walikua wakristo pekee?
Risasi haina macho ila wauwaji ndo wenye macho. Ilikuwa kama msumeno tu iliramba kotekote kama nyavu za net zenye matundu madogo zenyewe zinabeba mapapa mpaka vidagaa, haichagui. 😁😁😁
 
Jamaa alipozungumzia udini tu ndipo alipoharibu.
 
Tanzania huwa Inapitia nyakati flani hivi. Hii ni nyakati nyingine.
 
Msijizime data! Changamoto ya Amani Africa na hata ulimwenguni ni Itikadi kali (islamism) ambayo imevamia siasa za Duniani. Na kwa sasa mmepata kisingizio cha Palestine kuendeleza Ushetani wenu. Muislamu wa kawaida zindukeni hawa maislamists wakiambatana na viongozi wanaoutumia uislam kwa maslahi binafsi watawakosesha ahera. Mumeingiza Boko Haramu Nigeria na sasa mnatuletea Tanzania
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
elezea kwa kina kifupi zaid gentleman kwa faida ya wadau wa JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…