Ni nini hasa kiini cha chuki za viongozi wa TEC dhidi ya viongozi wa kiisilamu hasa wa Serikali Kuu?

Ni nini hasa kiini cha chuki za viongozi wa TEC dhidi ya viongozi wa kiisilamu hasa wa Serikali Kuu?

Wakatoliki wameawaachia serikali Ndanda High School ili watu wa dini zote wa Kusini wapate elimu.
Wana hospital kubwa kiwango kinachofanana na za rufaa hapo Ndanda inayotoa huduma kwa wote.
Wana hospital Nyangao, na vyuo vya uugyzi na ufundi maeneo hayo ya Ndanda na Nyangao.
Niambie waislam wa BAKWATA wamefanya nini kuendeleza waislam wenzao wa maeneo hayo?
Hii hoja ya kuilinganisha Bakwata na Tec mnakosea sana tena sana kasomeni kwanza historia ya kuanzishwa kwa Bakwata na kwanini ilianzishwa na kabla ya hapo kulikuwa na chombo gani kinachosimamia maslahi ya waislamu na kwanini kilifutwa na kuanzishwa Bakwata halafu ndio uje na hoja zilizoshiba

Naona humu mmekazania Bakwata Bakwata hivi mnatufanya hatujui yanayoendelea nchi hii hasa katika hizi dini mbili?
 
Linganisha chombo kiichokuwepo Kabla ya BAKWATA n Kanisa Katoliki wakati huo huo. Tuanzie kabla ya Uhuru.
Ukisema wakoloni walikuwa wakristo basi mwarabu alikuja Tanganyika kabla ya mjerumani na kiingereza alitakiwa awe amejenga taasi kubwa na zimeendelea kuliko za makanisa.
Hoja kuu TEC hawajazuia waislam wasifanye maendeleo makubwa kwa jamii ya watanganyika.
 
Kasome historia nimekwambia maana tukiwafundisha sisi mnatuita wadini

Nakupa homework kasome kwanini ilianzishwa Bakwata?

Je kabla ya Bakwata kulikuwa na chombo gani cha kiislam?

Je kwanini kilifutwa?

Halafu ndio uje na hizo ligi zako za majigambo

Yani mnacheza rafu halafu mnashangilia ushindi nonsense!
 
Hizi hoja zake bwana ahmed albah shahwa Tlaatlaah na nduguye gallowbird wamekimbia hawakujibu kitu 🤣 ndio ujue ni hawana hoja.
Unajua nimekuwa surprised kukutana na Muislam mwenye akili pana kama za huyu jamaa,nadhani Tanzania hii kama wapo wengine hawazidi kumi maana wengi ni wajinga wajinga linapokuja suala la umoja wa kitaifa.
 
jieleze tu kwa maandishi gentleman hakuna haja ya maclip ya mchongo na porojo za patapotea?

halafu,
napenda kujua tu nini hasa kiini cha chuki binafsi za viongozi wa TEC dhidi ya viongozi wa serikali hasa waisilamu?

lalamika uwezavyo but natamani kufahamu hicho hapo juu tu gentleman :NoGodNo:
Maswali simple matatu, ukishindwa kuyajibu then it's obvious wewe ndiyo huyu shehe ubwabwa.
IMG_20251123_222455.jpg

Ila na hilo limama lenu liambieni liache umalaya na lipunguze kunywa Konyagi.
IMG_20251214_075847.jpg
Screenshot_20251110-193907.jpg
Screenshot_20251110-174540.jpg
IMG-20250926-WA0005.jpg
IMG_20251214_075829.jpg

Kama ni kweli TEC wanamchukia basi itakuwa hawataki mwanamke mwenye waume wengi.
 
Wakatoliki wameawaachia serikali Ndanda High School ili watu wa dini zote wa Kusini wapate elimu.
Wana hospital kubwa kiwango kinachofanana na za rufaa hapo Ndanda inayotoa huduma kwa wote.
Wana hospital Nyangao, na vyuo vya uugyzi na ufundi maeneo hayo ya Ndanda na Nyangao.
Niambie waislam wa BAKWATA wamefanya nini kuendeleza waislam wenzao wa maeneo hayo?
Hizo no biashara,watu hawapati huduma hizo bure
Bakwata siyo shirika la biashara,kazi ya kutoa elimu na huduma za afya kwa jamii ni ya serikali
 
jikite kwenye hoja mahususi gentleman,
nini kiini cha chuki ya TEC dhidi ya viongozi wa serikali wa kiisilamu hasa wa serikali kuu?:BillyApprove:
Hao walishazoea special treatment, kwa sasa wameminywa pumbu mpaka wanatoa milio
Lakini haisaidii, tunavyoeenda mitamboni, MoU inaenda kufutwa, halafu hospitali zinajengwa Mwanza na Moshi ili kuwaziba mdomo
Naona kila raisi aakiwa muislamu wanakuwa bize sana, hebu angalia idadi ya matamko kwa maraisi yanavyoleta picha gani?

1765840490182.png
 
TEC hawana hoja gentleman bali ni chuki binafsi tu kwa viongozi wa kiisilamu serikali hawana lingine.
Inamaana huoni au husikii wanavyoropoka mara kwa mara?
Imefikia mahali hata kuhubiri neno la Mungu nadhani wamesahau sasa:NoGodNo:
Malumbano bila weledi na mantiki hayatstusaidia kama taifa.
Jambo la muhimu ni kutobaguana kwa itikadi, dini,kabila au sehemu ya muungano atokapo mtu.
Umoja wa watanzania ni muhimu sana kudumishwa lazima kuwapuuza wale wote wanaojenga hoja za kuwagawa wananchi.
 
Member Dr Ahmed Albah-Shahwa 👏🏿👏🏿👏🏿 nikupongeze kwa hoja yako ya kwanza pale juu post #02 watu aina yako kwenye hizi imani ni wachache sana,I mean ni wa kutafuta kwa torch.
Asante mkuu, pongezi ziende kwa TEC mimi nimenukuu tu. Ingawa binafsi naamini katika haki ya kuishi kama ilivyoorodheshwa kwenye katiba ya nchi ibara ya 14, isipozingatiwa hii hata tukisema tunaleta maendeleo, tunamletea nani?
 
Umenena vyema.
Sasa kwanini TEC wakiwakumbusha serikali majukumu yao mnaona wanafanya udini?
Mosi, TEC hawajawakumbusha serikali majukumu yao bali walichochea na kupanga uasi dhidi ya serikali
Pili, TEC siyo kazi yao kuwakumbusha serikali bali kuchunga kondoo wakae kwenye misingi ya imani,kitu ambacho kimewashinda na wameamua kufanya siasa
Tatu,yesu kwa mujibu biblia hakujihusisha na siasa,kuuza huduma za jamii,aliagiza kumuachia kaisari Yale ya kaisari
 
Hahahahaa waliokufa walikua wakristo pekee?
Risasi haina macho ila wauwaji ndo wenye macho. Ilikuwa kama msumeno tu iliramba kotekote kama nyavu za net zenye matundu madogo zenyewe zinabeba mapapa mpaka vidagaa, haichagui. 😁😁😁
 
Wewe ni mmbulu fala kuliko wote, jifunze kwa dokta slaa. Tukirudi kwenye mada viongozi wa TEC wanachuki na maovu, huwa hawachagui utawala Magufuli mwenyewe walimnyoosha alivyokuwa anaua watu kibiti, pia Lissu kupigwa risasi Dodoma na TEC iliongea, tofauti na masheikh wetu TEC wenyewe huwa hawataji ukristu wala uislam kwenye hoja zao nadhani hii pia, inachangiwa na ukweli kwamba baraza limeundwa na madokta wengi wadarasani sio wa heshima.

Hoja za TEC ni hizi:
1. Mauaji ya watu wasio na hatia bila kujali dini, itikadi za kisiasa, wala ukanda hamna aliokiri wanataka maridhiano bila kukiri. Ukweli kwamba waliouawa wengi walifuatwa majumbani kwao hawakuwa waandamanaji. Hili swala tusilichukulie juu juu, hii inaweza kumtokea mtu yeyote hata mimi au wewe isipokuwa viongozi, ambao huwa wanapeana taarifa wakajifiche hotelini.

2. Utawala wa sheria: mtu anatibiwa kwanza kama kapigwa risasi kisha sheria ifate baada ya matibabu sio kuwapeleka mochuari moja kwa moja majeruhi, wasijichunguze wanaoshutumiwa na mauaji.

3. Msamaha wa kodi unaopata katoliki: Kaelezea ulianza kipindi Tanganyika inapata uhuru, Katoliki ilikuwa na mashule na hospitali nyingi kuliko serikali ndio wakaandikishana kupata msamaha wa kodi kwa sababu inasaidia majukumu ya serikali haijaanza leo, hamna hela kanisa linapata kutoka serikalini.
Jamaa alipozungumzia udini tu ndipo alipoharibu.
 
Pamoja na akili hizi kisoda nilizo nazo, katika andiko lolote lilotolewa na TEC sijawahi kuona wakizungumzia maslahi ya wakatoliki au wakiristo mostly ni maneno kama matatu yamekuwa yakijirudia ambayo ni HAKI, AMANI, UWAJIBIKAJI

Mabaraza ya kidini yaache kupotosha jamii, waandike articles na wao za kusaidia kuikumbusha Serikali kutekeleza majukumu yake.

Dominika Njema

Location

Kigali, Rwanda
Tanzania huwa Inapitia nyakati flani hivi. Hii ni nyakati nyingine.
 
Maana ni wazi ukitazama kwa umakini body language, facial expressions and tones za viongozi wa TEC hasa rais wa baraza hilo na katibu mkuu wake, utabaini na kukubaliana na mimi kwamba viongozi hawa kabisa hawana hoja za msingi, wana chuki ya kiwango cha juu mno na dini ya viongozi wakuu wa Taifa letu.

Na ndio kwa maana hata mazungumzo na maelezo ya mara kwa mara ya viongozi hawa wa TEC, yanalenga migawanyiko, chuki na kuwaongoza waamini na wafuasi wa TEC nao kuwachukia viongozi wasio wa dini inayofanana na yao watu ili hatimae kusababisha fujo, vurugu na uvunjifu wa amani wa amani wa taifa letu.

Kama mdau wa JF,
unadhani ni nini hasa chimbuko la chuki za TEC dhidi ya viongozi wakuu wa serikali hasa waisilamu?
Je, tuamini kwamba TEC na taasisi za aina hiyo Africa ndio chanzo cha changamoto ya amani Africa?
Kwanini watu hawa hawapendi amani?

Mungu Ibariki Tanzania.
Msijizime data! Changamoto ya Amani Africa na hata ulimwenguni ni Itikadi kali (islamism) ambayo imevamia siasa za Duniani. Na kwa sasa mmepata kisingizio cha Palestine kuendeleza Ushetani wenu. Muislamu wa kawaida zindukeni hawa maislamists wakiambatana na viongozi wanaoutumia uislam kwa maslahi binafsi watawakosesha ahera. Mumeingiza Boko Haramu Nigeria na sasa mnatuletea Tanzania

View attachment 3516167
View attachment 3516167
elezea kwa kina kifupi zaid gentleman kwa faida ya wadau wa JF :NoGodNo:
 
Back
Top Bottom