Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Sikusema kuwa ni Katibu wa Ikulu, bali nimesema administrator wa Ikulu anayesimamia watumishi wote wa ikulu na wale wote walioteuliwa na rais; ni Chief of Staff wa Rais. Katibu wa Ikulu anafanya kazi chini yake kama walivyo makatibu wakuu wa wizara zote na walioko chini yao.Umechanganya bwana, siyo Katibu wa Ikulu! Huyu ndiye kiongozi mkuu wa Utumishi wa Uma kiserikali.
Pakiwa na uchaguzi huyu anaendelea kuongoza kawaida kwakuwa ni mtumishi. Huyu ni tofauti na katibu wa Ikulu au Katibu wa Rais