Ni njia ipi nzuri ya kufua Nguo ili zidumu na ubora wake kwa muda mrefu bila kufifia rangi/kuchuja?

Inategemea na maji kama maji yana asili ya chumvi nguo lazima iharibike.
 
Kama ni sabuni za unga haswa kufulia mashati tafuta zile og za bei kama Elfu 5 zipo kibao kweny supermarket nyingi ni brand za nje..

Ile kuna hizi za buku jero wanachanganya na unga wa dona kwanza hazina povu na zinapausha kabisa..

Dona tena jmn[emoji2][emoji2]
 
Unaishi singida dodoma unaepuka vipi maji ya chumvi au utanunua ya dukani lita 50 ili ufue nguo isipauke 😄😄😄
 
Brand ipi kiongozi manake nami nataka nianze agiza tu nguo nje taste ya africa hii imenishinda lonya kibao share apa na soko ulilonunua kama hutojali
 
Tuanzie hapa.
 

Attachments

  • The-complete-care-label-gude-min.png
    148.2 KB · Views: 41
Hakuna taaaluma.
ZINGATIA... TUMIA SABUNI ORIGINO jaribu OMO au fulia sabuni ya mche. Usijaribu kamwe kufua nguo zako za gharama na hizo sabuni sjui kleesoft, mshindi, foma nk nk itachujwa rangi yooote ibakie makapi
Omo ndo Inapausha usimdanganye

Sent from my FRD-L19 using JamiiForums mobile app
 
Nguo za kuchuja hutakiwi kuzikamua,pia yafaa kuzianika usiku,zikauke kwa upepo na baridi, nguo zinazopaswa kuanikwa Juan ni nguo nyeupe tu,mi nakumbuka mpaka keshp,mama nguo zake huanika usiku,km vitenge vina miaka lakin bado vipya .na sabun hutumia ya kipande tu,labda mashuka meupe ndo hutumia ya unga

Sent from my FRD-L19 using JamiiForums mobile app
 
Naomba ushare nami link mfano ya Amazon au Ali express ya bei tajwa nawe hapo juu ya suruali
 
Yaah SA Hii fursa ya nguo nimeiona na ni rahisi sana kwa upande wangu

Shida moja ya waTanzania walio wengi ni wanapenda Vitu cheap jamani yaani Yupo radhi anunue Vya 10.000 hata Mia ajaze ndani ila siyo kitu cha 100,000 kimoja [emoji119]
Naomba ufafanuzi kwene kuagiza Nguo hapo kutoka SA
 
ni lazima uwe mwangalifu kuchagua sabuni ya kufulia,usitumie sabuni zenye bleach nguo zako zitapauka haraka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Badilisha nguo mara kwa mara

Kwa siku hata mara 2..ama ikishindikana usirudie nguo siku nyingi.


Itakusaidia nguo kutochafuka sana hivyo hata kufua hutatumia nguvu nyingi kuisugua sana..
Na kwa kusema hivyo nguo haiwezi kupauka.


Nunua nguo nyingi..
Ukivaa nguo leo,,kuja kuivaa tena iwe mwezi ujao...yaani mara moja kwa mwezi.
Haiwezi kupauka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…