Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa uchafu unatokaje maana ya kutumia sabuni ni kuondoa uchafuJeans usifulie sabuni ya unga
Unaeza zifua tu kwa maji bila sabuni
Inategemea na maji kama maji yana asili ya chumvi nguo lazima iharibike.![]()
Habari wakuu, nguo ni mojawapo ya mahitaji matatu muhimu. Ni hitaji muhimu lakini bajeti yake nayo inabidi ichungwe hasa kwa kina sisi ambao bado uchumi haujawa stable.
Huwa nasikitika sana nimenunua nguo lakini nikifua tu mara mbili ama mara tatu ni hohe hahe, nguo inakuwa imeanza kufifia na kuchuja, hapa kukwepa aibu ni kununua tu nyingine ila bajeti nayo inapigwa na upepo wa kisuli suli.
Nguo zenyewe hususani ni hizi jeans na cardets hata za mitumba zilizovaliwa sana huko lakini huku zikifika ukifua mara 4 mara 5 shida yani.
Tunakwepa sabuni za unga tunatumia sabuni za vipande lakini wapi, Kuna jeans yangu niliipenda sana niliifua kama mara tano hivi haitamaniki
Ni vipi tunaweza kufua nguo kwa kuhakikisha zinakaa muda mrefu?
Kama ni sabuni za unga haswa kufulia mashati tafuta zile og za bei kama Elfu 5 zipo kibao kweny supermarket nyingi ni brand za nje..
Ile kuna hizi za buku jero wanachanganya na unga wa dona kwanza hazina povu na zinapausha kabisa..
Unaishi singida dodoma unaepuka vipi maji ya chumvi au utanunua ya dukani lita 50 ili ufue nguo isipauke 😄😄😄Nguo zetu nyingi ni lonyaaa, nguo za akina mr kdet sjui fred Vinjabei pale hamna kitu , unafua maji yote yanageuka rangi yaani ni sheeeeda , watu mnasingizia mpak jua , nunua nguo OG haina mashart kama ya mganga , niliamua kuagiza cadeti moja china aisee ile nguo haichuji bhana , kumbe nikagundua hawa jamaa kuna nguo wanauza tuu huku Africa
Kwenye kufua epuka maji ya chumvi ndo kigezo kikuu
Brand ipi kiongozi manake nami nataka nianze agiza tu nguo nje taste ya africa hii imenishinda lonya kibao share apa na soko ulilonunua kama hutojaliNguo zetu nyingi ni lonyaaa, nguo za akina mr kdet sjui fred Vinjabei pale hamna kitu , unafua maji yote yanageuka rangi yaani ni sheeeeda , watu mnasingizia mpak jua , nunua nguo OG haina mashart kama ya mganga , niliamua kuagiza cadeti moja china aisee ile nguo haichuji bhana , kumbe nikagundua hawa jamaa kuna nguo wanauza tuu huku Africa
Kwenye kufua epuka maji ya chumvi ndo kigezo kikuu
Unauziwa copy pole sheikhe huo unyama org yake usikie tuIla Jeans Chapa "ZARA" zinazingua......
😂😂😂😂.
Ukifikisha nayo miezi miwili una bahati.
Najua ndio maana nimeweka " "Unauziwa copy pole sheikhe huo unyama org yake usikie tu
Omo ndo Inapausha usimdanganyeHakuna taaaluma.
ZINGATIA... TUMIA SABUNI ORIGINO jaribu OMO au fulia sabuni ya mche. Usijaribu kamwe kufua nguo zako za gharama na hizo sabuni sjui kleesoft, mshindi, foma nk nk itachujwa rangi yooote ibakie makapi
Ila Jeans Chapa "ZARA" zinazingua......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Ukifikisha nayo miezi miwili una bahati.
"ZARA" na ZARA ni vitu tofauti.....Zara orgy zipo mkuu achana na za bei chee kama umenunua jeans ya zara kwa 10 cjui 20 usije lalamika apa
Na bei ni nzuri.Wazee tuongee ukweli, vunja bei ana jeans mbayaaa! Sana asee
Naomba ushare nami link mfano ya Amazon au Ali express ya bei tajwa nawe hapo juu ya surualiWatu hawajui kuagiza vitu online that's all. Hata Amazon kama hujui kuagiza utaletewa kitu sio.
Nimewahi kuona MTU kaona cover la simu akajua ni simu na akaagiza Kwasababu aliona ni Dola 1. Tujifunze vitu.
Kwa mfano hizi surual China ni Dola 1.4 Sawa na kama shilingi 3000. Ambapo bongo huuzwa si chini ya 40,000.
Kuna hizo bwanga za WAnawake china ni Dola 0.9 kama 1,500 tsh.
Watanzania tuko nyumA Sana badala bando mtumie kujikwamua Kwa mambo kama haya KAZI kushhinda Instagram kusoma umbea. Endeleeni kupigwa na wakina vunja bei. View attachment 2597537View attachment 2597538View attachment 2597543View attachment 2597544View attachment 2597545
Naomba ufafanuzi kwene kuagiza Nguo hapo kutoka SAYaah SA Hii fursa ya nguo nimeiona na ni rahisi sana kwa upande wangu
Shida moja ya waTanzania walio wengi ni wanapenda Vitu cheap jamani yaani Yupo radhi anunue Vya 10.000 hata Mia ajaze ndani ila siyo kitu cha 100,000 kimoja [emoji119]
ni lazima uwe mwangalifu kuchagua sabuni ya kufulia,usitumie sabuni zenye bleach nguo zako zitapauka haraka![]()