Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
In fact,Ndugu zangu Watanzania,
Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda ataendelea kupaa , Kung'ara na kukwea juu zaidi na zaidi kila Uchao. Ataendelea kuwa nyota Ya Matumaini, ataendelea kuwa midomoni Mwa Watanzania.
Ataendelea kuwa Miongoni Mwa Hazina chache tulizonazo kwa Taifa letu, ataendelea kuwa Hazina za baadaye , ataendelea kuwa kama Dhahabu.
Nimeyaona Mambo Makuu juu yake ,Nimeuona mkono na Uso wa Mungu ukiwa Juu yake na kumpa Kibali . Nimeona akifunuliwa na Kuinuliwa Siku za Baadaye.
Kwa hakika Hapa Rais Samia alipatia sana kumuweka na kumjumuisha ndani ya baraza lake na ataendelea kumsaidia sana na kuwa Miongoni Mwa Nguzo imara zenye kushikilia serikali yake na askari na Jemedari Mwaminifu sana kwake wa kutumainiwa .Kwanza Mwamba ni jasiri kwelikweliiiiiii kuzidi hata Simba mnyama , akiunguruma hadi Ardhi inatetemeka Yenyewe.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Inaonekana wewe umekata tamaa ya maisha kwa haya unayofanya. Usihofu wala kuwa kichaa kwa haya yanayoendelea.Ndugu zangu Watanzania,
Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda ataendelea kupaa , Kung'ara na kukwea juu zaidi na zaidi kila Uchao. Ataendelea kuwa nyota Ya Matumaini, ataendelea kuwa midomoni Mwa Watanzania.
Ataendelea kuwa Miongoni Mwa Hazina chache tulizonazo kwa Taifa letu, ataendelea kuwa Hazina za baadaye , ataendelea kuwa kama Dhahabu.
Nimeyaona Mambo Makuu juu yake ,Nimeuona mkono na Uso wa Mungu ukiwa Juu yake na kumpa Kibali . Nimeona akifunuliwa na Kuinuliwa Siku za Baadaye.
Kwa hakika Hapa Rais Samia alipatia sana kumuweka na kumjumuisha ndani ya baraza lake na ataendelea kumsaidia sana na kuwa Miongoni Mwa Nguzo imara zenye kushikilia serikali yake na askari na Jemedari Mwaminifu sana kwake wa kutumainiwa .Kwanza Mwamba ni jasiri kwelikweliiiiiii kuzidi hata Simba mnyama , akiunguruma hadi Ardhi inatetemeka Yenyewe.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Lissu yeye Asubiri Adhabu Kali itakayomfanya Ailaani Siku yake ya kuzaliwa . Hatucheki na mtu anayehatarisha usalama wa Taifa. Lazima ajue Ule Mdomo wake Alipaswa kuudhibiti Mapema Kabla haujamuingiza matatizoniWatu wa haki akina Lissu huwaoni uje utuletee story za mtu asie msafi?peleka huko upuuzi wako
Labda wewe ndiye umejikatia tamaa lakini mimi nina matumaini tele kila UchaoInaonekana wewe umekata tamaa ya maisha kwa haya unayofanya. Usihofu wala kuwa kichaa kwa haya yanayoendelea.
CHADEMA akili zenu mnazijua wenyeweHayo mafuta amepakwa wapi mwilini?
Hayo mafuta aliyopakwa yanaitwaje na lengo lake ni kulainisha kitu gani?
Utashangaa Ma CHADEMA yanatukana Matusi kwa wivu tu na chuki binafsi Maana yale majaa yanajijua yenyewe akili zaoIn fact,
Waziri Paul Christian Makonda is among very few powerful individuals in this country, the blessed man enjoys different talents he has and ofcourse the gentleman is hard working man in nature.
God bless Paul Christian Makonda π
Yanaweza kuwa ni yale ya Vaseline 100% petroleum jelly π€£.Hayo mafuta amepakwa wapi mwilini?
Hayo mafuta aliyopakwa yanaitwaje na lengo lake ni kulainisha kitu gani?
Naomba unipunguzie kidogo mgao kwenye posho ya mazingira magumuUtashangaa Ma CHADEMA yanatukana Matusi kwa wivu tu na chuki binafsi Maana yale majaa yanajijua yenyewe akili zao
Sina mazingira Magumu shambani KwanguNaomba unipunguzie kidogo mgao kwenye posho ya mazingira magumu
Si bure utakuwa unafinyangwa tako.Ndugu zangu Watanzania,
Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda ataendelea kupaa , Kung'ara na kukwea juu zaidi na zaidi kila Uchao. Ataendelea kuwa nyota Ya Matumaini, ataendelea kuwa midomoni Mwa Watanzania.
Ataendelea kuwa Miongoni Mwa Hazina chache tulizonazo kwa Taifa letu, ataendelea kuwa Hazina za baadaye , ataendelea kuwa kama Dhahabu.
Nimeyaona Mambo Makuu juu yake ,Nimeuona mkono na Uso wa Mungu ukiwa Juu yake na kumpa Kibali . Nimeona akifunuliwa na Kuinuliwa Siku za Baadaye.
Kwa hakika Hapa Rais Samia alipatia sana kumuweka na kumjumuisha ndani ya baraza lake na ataendelea kumsaidia sana na kuwa Miongoni Mwa Nguzo imara zenye kushikilia serikali yake na askari na Jemedari Mwaminifu sana kwake wa kutumainiwa .Kwanza Mwamba ni jasiri kwelikweliiiiiii kuzidi hata Simba mnyama , akiunguruma hadi Ardhi inatetemeka Yenyewe.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Huna akili kabisa wewe uliyejaa laana nukusi na MikosiLabda kama kapakwa mafuta kwenye ule msambwanda wake mkuuubwa
Mungu akusamehe sana Maana hujui ulitendaloSi bure utakuwa unafinyangwa tako.
Sidhani kama anajua kama kuna hiyo poshoNaomba unipunguzie kidogo mgao kwenye posho ya mazingira magumu