Ni pombe gani hutakuja kuisahau maishani mwako?

Kosa la amarula ni lipi hapo.....
 
Spirit yoyote ikiongozwa na K-vant kuchanganya na safari. Asubuhi ni kama 🔨 inagonga kichwani. Kumbukumbu jinsi ulivyofika nyumbani hakuna unakumbuka mlipokaa tu lakini njia, usafiri,kuoga kulala memory inacorrupt kabisa
 
Spirit yoyote ikiongozwa na K-vant kuchanganya na safari. Asubuhi ni kama [emoji375] inagonga kichwani. Kumbukumbu jinsi ulivyofika nyumbani hakuna unakumbuka mlipokaa tu lakini njia, usafiri,kuoga kulala memory inacorrupt kabisa
Me nilichanganya na wine nilijuta
 
😂😂🤣🤣 Halafu pombe bila kampani hainogi hata. Mkiwa wengi ndio inanoga bana.
 
Wewe ni melvi kunishinda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ilikuwaje kaka [emoji23]
Huyo Vodka nilikua namnywa kistaarabu tu
tena nilikua na mix na Bitter Lemon nilipokosea ni pale muda wa pindi umekaribia ilikua imebaki kama nusu chupa ile mimi nikainywa halafu fundo kubwa wakati huo tayari nishamaliza kama chupa mbili hiyo ilikua ya tatu. Nikaingia class yan ile nimetulia tu nikaanza kuhisi kutapika nikajikaza ila ilinishinda kwa bahati nzuri madarasa ya Mzumbe baadhi yana milango mbele na nyuma so nilikua back bench ikawa rahisi kutoka. Washikaji walinicheka sana kwa jinsi nilivyokua naweweseka kabla sijaamua kutoka class nilijisikia aibu mno.

Kilichonifanya niichukie zaidi Vodka mimi toka kitambo nilisha ikataa ila siku hiyo sijui ilikuaje mpaka nikanywa kiasi hicho na toka siku hiyo sijaigusa tena mpaka leo yapata miaka 4.
 
Pole sana broh! Me naisi nikipiga kileo nikaingia class sitaelewa chochote anachofundisha lecturer
 
kidogo sana
nilikunywaga Jameson ilinichukua yani pombe zina wenyewe jamani
Mwanamke anaekunywa pombe. Kwa kiasi huwa nawakubali, maana ni ngumu sana mjikute mnagombana, mnakua marafiki kinoma na mtu wako, huwa kuna karaha sana, ila tu awe anakunywa kiasi tu na sio tilalilad [emoji38][emoji38]
 
sijawai tumia ugolo...kuna siku niko chuo nilikunywa safari nyingi sana sasa kuna mwana akanambia G em onja na ugolo nikasema letee....kuweka mdomoni nikameza basi weeee kichwa ilizunguka kubabeeek watz wenzangu nikawa nawaona kama wachina.....msobe msobe had hostel nikasema ngoja niende toilet ile kuona sink kutapika hukoo


huwez amini niliegamia lile sink saa 2 usiku had kesho asubuhi nimepitiwa usingz mzto...uzuri nilifunga mlango wa chooni so mtu akija anajua kuna mtu anaenda choo kingine...


since that day niliuogopa ugolo mpaka leo nikiuona nasisimka sitaki mazoea nao kabsa......ila bia napiga kama kawa sina dalili za kuacha hazijawi nitenda...nikionaga dalili za kulewa nakabidhi simu na wallet kaunta nawaambia wanipe hela ya nauli tuu had kesho[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…