Ni pombe gani hutakuja kuisahau maishani mwako?

Harufu mdomoni konyagi ina harufu
Hiyo haina shida sana ila kuonekana na chupa ya nyagi saa hizi jau sana...

Ukitaka kuua harufu yote kula tu ndizi mbivu

Mimi kauli mbiu yangu siku zote ni "mdomo wa mwanaume unatakiwa usikose harufu ya pombe"[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna siku kwa uroho wangu nilichanganya ulabu, kilichonitokea sitahau maana nilitapika hadi nikawa sioni wala kusikia sauti yoyote yani nilihisi ndio nakufa vile....Imagine kuchanganya Safari, Konyagi, Gordons, Jb na serengeti lager
... Alafu ni ndani ya masaa matatu nishakunywa huo mchanganyiko
 
Ulizidisha sana mzee [emoji23][emoji23]
 
Mkuu hebu tupe story ya hii bia bingwa ilikua na sekeseke lipi
Nilichogundua ni kwamba watu wengi hawajui matumizi sahihi ya spirit,hawatofautishi na beer.mnajimiminia tu

NB:bia bingwa weka mbali na watoto, yaani hata ukisema nitoe lock tu yenyewe inakuharibia siku nzima
 
Kuchanganya pombe kubaya sana.

Konyagi+ Dompo nilitaka kufa

Jamerson+Castle light nilitapika hatari

Amarula+K vant Mungu tu alinisaidia siku ile.

Safari+Konyagi haki usijaribu.

Kuna kitu inaitwa Jugermaster (sijui kama nimeandika sawa) hii kitu don't dare kumix na spirit/whyskey au bia ya aina yoyote.... Ni hatari kwa hangover....

All in all pombe tamu ukinywa ila ukiamka ndio unajutia kama ulilewa sana....
Tujifunze kunywa kwa kiasi.

Na hamna pombe mbaya kama una stress... Noma sana
 
Nilikunywa konyagi kubwa na kadogo nusu alafu dry nilizima aisee,simu nikaacha kwenye taxi niliumwa siku mbili sili sinywi from that day sijawahi na sitawahi kunywa konyagi hata ndugu zake siwataki[emoji1787]
Kubwa na kisichana..duuh ulikunywa sana aisee..

Don't try it again
 
K vant. Hii ilinifanya niende nyumbani nikitambaa kama mtoto. Bahati nzuri baa ilikuwa kilometa moja kutoka home, kufika nyumbani nikalala jikoni badala ya chumbani [emoji16][emoji16][emoji16] kabla ya hapo k vant ilishanilaza na kiatu kimoja kitandani. Kwasasa nina miaka mitano sinywi pombe ya aina yoyote.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Yani iyo pombe achana nayo kabisa..
 
Elezea kisa kilichokukuta mpaka ukasema hutakuja kuigusa pombe ya aina fulani
Wengi naona wanapondea kinywaji changu pendwa kvant.....kvant haitaki spidi na haitaki kelele yan ukiwa unaigonga kwanza uwe umekula vyema na pili kaaa sehem tulivu hata kama mko wengi msiweke muziki kwa sauti kubwa pia ukiinywa usiongeee ongeee sana huwa inapanda kwa kasi.nakumbuka mwaka 1998 nlilazwa hospital baaada yakunywa viroba 10 vya konyagi
 
Hiyo haina shida sana ila kuonekana na chupa ya nyagi saa hizi jau sana...

Ukitaka kuua harufu yote kula tu ndizi mbivu

Mimi kauli mbiu yangu siku zote ni "mdomo wa mwanaume unatakiwa usikose harufu ya pombe"[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] We kweli mchaga na ona unawakilisha vyema
 
Hiyo haina shida sana ila kuonekana na chupa ya nyagi saa hizi jau sana...

Ukitaka kuua harufu yote kula tu ndizi mbivu

Mimi kauli mbiu yangu siku zote ni "mdomo wa mwanaume unatakiwa usikose harufu ya pombe"[emoji23][emoji23][emoji23]
NDIZI inakata harufu ys pombe umeshafanya tafiti?
 
Kuna siku kwa uroho wangu nilichanganya ulabu, kilichonitokea sitahau maana nilitapika hadi nikawa sioni wala kusikia sauti yoyote yani nilihisi ndio nakufa vile....Imagine kuchanganya Safari, Konyagi, Gordons, Jb na serengeti lager
... Alafu ni ndani ya masaa matatu nishakunywa huo mchanganyiko
Sipati picha asubuhi ulikuaje
 
Pole sana broh! Me naisi nikipiga kileo nikaingia class sitaelewa chochote anachofundisha lecturer
Hakukua na Lecture inayoendelea. Ilikua ni wadau wanafanya seminar presentation sema huyo lecturer alikua mnoko ukikosa pindi lake hata kama hiyo siku haufanyi presentation moto wake utauona.

ilikua ni lazima uende tu. Unaweza shangaa katoa suprise test halafu hiyo ndio inaongeza marks kny course work
 
Back
Top Bottom