B I N A M U
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 1,495
- 2,403
Zanzi bana acha iwe zanzi by the way niliishia mlangoni yaan nilala mlangoni 😂😂😂😂 kwakwel zanzi kama zanzi nimeiacha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16]muone umetamaniMhmhh wewe [emoji23][emoji23][emoji23]
We acha tu hii weekend nimeipania coz nina mamiezi sijagusa hayo makitu[emoji1787][emoji1787]Nyie ndiyo mnafanya weekend zinachelewa kufika
Mkuu njaa ya pombe ishawahi kukutwanga ile ni balaaSio asubuhi bro, nilikuja kuamka saa1 usiku alaf nimechoka balaa mixer njaa ya hatari... Ile siku sitaisahau aisee
Hahaha ile ni noma, ishawahi nikuta siku moja nipo ghetto hata kuinuka nlikua siwezi na ndani hamna msos wowote zaidi ya maji.... Nilijikongoja hadi kwa mangi nikakopa soda1 na boflo4 nikapiga ndo nikawa fresh kimtindoMkuu njaa ya pombe ishawahi kukutwanga ile ni balaa
Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
Hivi bia ya bingwa na THE KICK bado ipo sokoni kweli?Nilichogundua ni kwamba watu wengi hawajui matumizi sahihi ya spirit,hawatofautishi na beer.mnajimiminia tu
NB:bia bingwa weka mbali na watoto, yaani hata ukisema nitoe lock tu yenyewe inakuharibia siku nzima
[emoji23][emoji23]umelala nje afu ufunguo umeshikilia mkononiKuna siku pia nilikata k'vant kubwa1 peke yangu..
Asubuhi nilijikuta nimelala nje mlangoni na ufunguo nimeushikilia mkononi... Bahati nzuri ilikua chumba cha uwani hakuna mtu aliniona..
... Hadi leo sikumbuki nilifikaje pale mlangoni..
Sio poa mkuu yaan unahisi kufa kufa tuu.....ila jina lako limenichekesha sana uliwaza nn kuandk hvoHahaha ile ni noma, ishawahi nikuta siku moja nipo ghetto hata kuinuka nlikua siwezi na ndani hamna msos wowote zaidi ya maji.... Nilijikongoja hadi kwa mangi nikakopa soda1 na boflo4 nikapiga ndo nikawa fresh kimtindo
Sminoff nini?kunapombe sasahivi inatafutwa nchi nzima imepotea kabisa kila mtu anaulizia iliko kwa ukali wake na utamu wake dah hilo sintaisahau
Niko zangu home siku hiyo. Nimeamka saa 4 nikaingia mtaani nikapiga maharage yangu na chapati mbili. Nimerudi home nikaweka movie nacheki.Double kick sio pombe ni gongo ile niliikosa njia nikafakamia kichaka nikakaa kama saa zima bahat nzur kuna mshkj alipita ananijua ndo kuniokoa akanikokota hdi home niliamka kesho saa 9 mchana mikono imetoboka sura imechubuka yaan daah na bonge la hangover hatar.....usiombe ukutane na njaa ya pombe nilitaman kulia siku hyo nikaapa pombe sinywi tena..ila nilivoshiba tu et ntoe lock nikajikuta nalewa tenaa,sa hv nakunywa kistaarabu kabisa
Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
Hebu nipe siri ya hii white wine,maana kuna siku nipo kwenye harusi mahali flani,nimekaa zangu garden,akaja kijana akaniuliza ntakunywa nini,nikamwambia anilitee baltika,akasema ok,akaenda na kurudi na chupa ya wine mkononi,nikamwuliza ya nani hiyo? Akasema amekosa baltika akaamua kuniletea hiyo,ni white wine,nikaona isiwe shida,kwanza nataka kupndoka zangu,sasa pembeni kidogo nikamwona m mama flani hivi yuko peke yake,ana chupa flani ndogo ya pombe gani sijui,akanipiga jicho nami nikamnyongea,akatabasamu,nikainuka na kumpelekea ile chupa ya wine,akaicheki fasta halafu akabadilika!! Akaniambia "hapa umefeli kaka,unachokitafuta hutakipata kwangu,yaani ndiyo ukaona uniletee hiyo unadhani siijui! Kajaribie kwingine" nikaondoka nikijichekea kimoyomoyo, nikakatiza kwenye meza flani imejaa mademu wamelewa,mkononi nimeshika chupa yangu ya wine,dada mmoja kati ya wale akaropoka kilevi akimwonyesha mwenzake,anamwambia haya umeletewa ile pombe yako,yule mwenzake akaangalia wine yangu halafu akasema "haliwi mtu bure leo!!!! Niliicheki ile wine,nikaangalia upande wazi,nikaivurumisha huko! Kesho yake nikamuuliza madam flani job kuhusu white wine,akaniuliza kwa nini nimemuuliza yeye,nikamweleza kisa cha jana yake,akaniambia tafuta siku na mahali tulivu halafu uniletee ndiyo utajua shida yake,sikujaribu!! Kwa hiyo hadi leo sijui shida ya hiyo wine aiseeWhite wine [emoji171]
Red naonaga nayo chungu
Bahati yako! Ungekufa mbwa wewe!Kuna siku kwa uroho wangu nilichanganya ulabu, kilichonitokea sitahau maana nilitapika hadi nikawa sioni wala kusikia sauti yoyote yani nilihisi ndio nakufa vile....Imagine kuchanganya Safari, Konyagi, Gordons, Jb na serengeti lager
... Alafu ni ndani ya masaa matatu nishakunywa huo mchanganyiko
Mchanganyiko huu sio wa dunia hii🤣Banana wine mixer nyagi...nilitoa tunguri zote mkobani barb nikaanza kupiga manyanga nikidhani niko kilingeni
Haina shida yoyote ni watu kujijengea fikra za ngono..Hebu nipe siri ya hii white wine,maana kuna siku nipo kwenye harusi mahali flani,nimekaa zangu garden,akaja kijana akaniuliza ntakunywa nini,nikamwambia anilitee baltika,akasema ok,akaenda na kurudi na chupa ya wine mkononi,nikamwuliza ya nani hiyo? Akasema amekosa baltika akaamua kuniletea hiyo,ni white wine,nikaona isiwe shida,kwanza nataka kupndoka zangu,sasa pembeni kidogo nikamwona m mama flani hivi yuko peke yake,ana chupa flani ndogo ya pombe gani sijui,akanipiga jicho nami nikamnyongea,akatabasamu,nikainuka na kumpelekea ile chupa ya wine,akaicheki fasta halafu akabadilika!! Akaniambia "hapa umefeli kaka,unachokitafuta hutakipata kwangu,yaani ndiyo ukaona uniletee hiyo unadhani siijui! Kajaribie kwingine" nikaondoka nikijichekea kimoyomoyo, nikakatiza kwenye meza flani imejaa mademu wamelewa,mkononi nimeshika chupa yangu ya wine,dada mmoja kati ya wale akaropoka kilevi akimwonyesha mwenzake,anamwambia haya umeletewa ile pombe yako,yule mwenzake akaangalia wine yangu halafu akasema "haliwi mtu bure leo!!!! Niliicheki ile wine,nikaangalia upande wazi,nikaivurumisha huko! Kesho yake nikamuuliza madam flani job kuhusu white wine,akaniuliza kwa nini nimemuuliza yeye,nikamweleza kisa cha jana yake,akaniambia tafuta siku na mahali tulivu halafu uniletee ndiyo utajua shida yake,sikujaribu!! Kwa hiyo hadi leo sijui shida ya hiyo wine aisee