Ukilewalala
JF-Expert Member
- Feb 18, 2018
- 542
- 1,111
Sio asubuhi bro, nilikuja kuamka saa1 usiku alaf nimechoka balaa mixer njaa ya hatari... Ile siku sitaisahau aiseeSipati picha asubuhi ulikuaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio asubuhi bro, nilikuja kuamka saa1 usiku alaf nimechoka balaa mixer njaa ya hatari... Ile siku sitaisahau aiseeSipati picha asubuhi ulikuaje
Ndio mkuu..lifanyie kazi leoNDIZI inakata harufu ys pombe umeshafanya tafiti?
1998? Mkuu ulikuwa na umri gani kipindi hicho? [emoji849]Wengi naona wanapondea kinywaji changu pendwa kvant.....kvant haitaki spidi na haitaki kelele yan ukiwa unaigonga kwanza uwe umekula vyema na pili kaaa sehem tulivu hata kama mko wengi msiweke muziki kwa sauti kubwa pia ukiinywa usiongeee ongeee sana huwa inapanda kwa kasi.nakumbuka mwaka 1998 nlilazwa hospital baaada yakunywa viroba 10 vya konyagi
Ni mbaya pia hasa Drosthoff /robertsonYes white mi red sipendi rangi yake
ndio ndio mkuuMwanamke anaekunywa pombe. Kwa kiasi huwa nawakubali, maana ni ngumu sana mjikute mnagombana, mnakua marafiki kinoma na mtu wako, huwa kuna karaha sana, ila tu awe anakunywa kiasi tu na sio tilalilad [emoji38][emoji38]
Vant ina tabia ya kukata kumbukumbu [emoji23][emoji23][emoji23]Kuna siku pia nilikata k'vant kubwa1 peke yangu..
Asubuhi nilijikuta nimelala nje mlangoni na ufunguo nimeushikilia mkononi... Bahati nzuri ilikua chumba cha uwani hakuna mtu aliniona..
... Hadi leo sikumbuki nilifikaje pale mlangoni..
Kweli aisee ishantendea kama mara tatu hivi 😁😁.. Ila pombe tamu kwakweli, huwa inanipa confidence kinomaVant ina tabia ya kukata kumbukumbu [emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo la wine nayo ukizidisha sana ni balaa, shida ni tamu sana. Kama ni mtu wa pombe za vikao virefu unaweza kufa.White wine [emoji171]
Red naonaga nayo chungu
Yani sijui wameweka nini hawa jamaa.... Katika watu kumi wanaokunywa k'vant basi watu saba watakupa hii sifa ya kupotea kumbukumbuHii sifa ya K-Vant ya kukata kumbukumbu inaongelewa sana japokua ndio pombe yetu pedwa kwa kipindi hichi cha mitano tena. Inabidi kampuni waondoe kale ka component ka kuzima memory.
Mimi nimeshafanya matukio mengine nikahadithiwa asubuhi mpaka nikahisi nasingiziwa kumbe ni yangu kweli na pia inaleta confidence yakufa mtu.
Anyway
View attachment 1727790
Iriiiiizi watiririiiz
Robertson white baridii na kitimoto kavu weuweee[emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji241][emoji39][emoji39][emoji39]Ni mbaya pia hasa Drosthoff /robertson
Inabidi uwe na maji pembeniTatizo la wine nayo ukizidisha sana ni balaa, shida ni tamu sana. Kama ni mtu wa pombe za vikao virefu unaweza kufa.
mzee nilikua mitungi....jamaa akasema nna ugolo hapa nikamwambia letee....na nilikua sijawai tumia beforeWewe sasa umeenda extra miles maugolo ya nin mzee
Nlikuwa na miaka 19 tuu1998? Mkuu ulikuwa na umri gani kipindi hicho? [emoji849]
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
kunapombe sasahivi inatafutwa nchi nzima imepotea kabisa kila mtu anaulizia iliko kwa ukali wake na utamu wake dah hilo sintaisahauElezea kisa kilichokukuta mpaka ukasema hutakuja kuigusa pombe ya aina fulani
Mhmhh wewe [emoji23][emoji23][emoji23]Robertson white baridii na kitomoto kavu weuweee[emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji241][emoji39][emoji39][emoji39]
Full kujilamba, weekend ifike tuu[emoji848][emoji848]
Nyie ndiyo mnafanya weekend zinachelewa kufikaRobertson white baridii na kitomoto kavu weuweee[emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji241][emoji39][emoji39][emoji39]
Full kujilamba, weekend ifike tuu[emoji848][emoji848]