Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Hiyo haina shida sana ila kuonekana na chupa ya nyagi saa hizi jau sana...Harufu mdomoni konyagi ina harufu
Ndio ndio...ulivyoitaja tu umenichanganya kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]kumbeee
Ulizidisha sana mzee [emoji23][emoji23]Kuna siku kwa uroho wangu nilichanganya ulabu, kilichonitokea sitahau maana nilitapika hadi nikawa sioni wala kusikia sauti yoyote yani nilihisi ndio nakufa vile....Imagine kuchanganya Safari, Konyagi, Gordons, Jb na serengeti lager
... Alafu ni ndani ya masaa matatu nishakunywa huo mchanganyiko
Nilichogundua ni kwamba watu wengi hawajui matumizi sahihi ya spirit,hawatofautishi na beer.mnajimiminia tu
NB:bia bingwa weka mbali na watoto, yaani hata ukisema nitoe lock tu yenyewe inakuharibia siku nzima
Kubwa na kisichana..duuh ulikunywa sana aisee..Nilikunywa konyagi kubwa na kadogo nusu alafu dry nilizima aisee,simu nikaacha kwenye taxi niliumwa siku mbili sili sinywi from that day sijawahi na sitawahi kunywa konyagi hata ndugu zake siwataki[emoji1787]
Tangu nianze kugida pombe ile siku nilijiona bonge la kina, alafu kulikuwa na mademu kibao aisee... Nilipelekwa home niko hoi alafu nimeloana mwili mzima nimechafuka sitamanikiUlizidisha sana mzee [emoji23][emoji23]
Yani iyo pombe achana nayo kabisa..K vant. Hii ilinifanya niende nyumbani nikitambaa kama mtoto. Bahati nzuri baa ilikuwa kilometa moja kutoka home, kufika nyumbani nikalala jikoni badala ya chumbani [emoji16][emoji16][emoji16] kabla ya hapo k vant ilishanilaza na kiatu kimoja kitandani. Kwasasa nina miaka mitano sinywi pombe ya aina yoyote.
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Yes white mi red sipendi rangi yakeWhite wine [emoji171]
Red naonaga nayo chungu
Wengi naona wanapondea kinywaji changu pendwa kvant.....kvant haitaki spidi na haitaki kelele yan ukiwa unaigonga kwanza uwe umekula vyema na pili kaaa sehem tulivu hata kama mko wengi msiweke muziki kwa sauti kubwa pia ukiinywa usiongeee ongeee sana huwa inapanda kwa kasi.nakumbuka mwaka 1998 nlilazwa hospital baaada yakunywa viroba 10 vya konyagiElezea kisa kilichokukuta mpaka ukasema hutakuja kuigusa pombe ya aina fulani
Inakuaje mkuu na mm Leo nijarb maana uchumi umebana sana bora tunywe pombe Kali tuNilikunywa mzinga wa vant nikashushia maji lita kilichotokea siwezi sahau
Mixer ya maji na k-vant weka mbali na watoto
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] We kweli mchaga na ona unawakilisha vyemaHiyo haina shida sana ila kuonekana na chupa ya nyagi saa hizi jau sana...
Ukitaka kuua harufu yote kula tu ndizi mbivu
Mimi kauli mbiu yangu siku zote ni "mdomo wa mwanaume unatakiwa usikose harufu ya pombe"[emoji23][emoji23][emoji23]
NDIZI inakata harufu ys pombe umeshafanya tafiti?Hiyo haina shida sana ila kuonekana na chupa ya nyagi saa hizi jau sana...
Ukitaka kuua harufu yote kula tu ndizi mbivu
Mimi kauli mbiu yangu siku zote ni "mdomo wa mwanaume unatakiwa usikose harufu ya pombe"[emoji23][emoji23][emoji23]
Sipati picha asubuhi ulikuajeKuna siku kwa uroho wangu nilichanganya ulabu, kilichonitokea sitahau maana nilitapika hadi nikawa sioni wala kusikia sauti yoyote yani nilihisi ndio nakufa vile....Imagine kuchanganya Safari, Konyagi, Gordons, Jb na serengeti lager
... Alafu ni ndani ya masaa matatu nishakunywa huo mchanganyiko
Hakukua na Lecture inayoendelea. Ilikua ni wadau wanafanya seminar presentation sema huyo lecturer alikua mnoko ukikosa pindi lake hata kama hiyo siku haufanyi presentation moto wake utauona.Pole sana broh! Me naisi nikipiga kileo nikaingia class sitaelewa chochote anachofundisha lecturer