Tetesi: Ni rafiki wa Mpinzani wake aliyeitwa Nyumba nyeupe kuokoa jahazi

Tetesi: Ni rafiki wa Mpinzani wake aliyeitwa Nyumba nyeupe kuokoa jahazi

Mtu pekee wa kumtumia ili kumshawishi Edo kurudi ccm ni Mzee Apson sasa kuna matatu hapo mzee Apson alifikishwa ujumbe kwa mkuu ukiwa postive au negative....au ukiwa na conditions...hatuwezi jua ni kusubiri wakati...utatupa majibu thabiti
Now you are talking. I can smell a rat!!!
 
Apson Mwangonda alikuwa confidant wa Edward Lowassa na mtu wake wa mkakati kuelekea kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu wa 2015.Alijionyesha wazi wakati Lowassa bado mwanachama wa CCM,wakishirikiana chini kwa chini kusuka mtandao ndani ya CCM na kukabiliana na kihatarishi cha kambi ya Kikwete ambacho walihisi kitakwamisha safari yao.Kambi ya Kikwete is typically saying Team Membe.Mwang'onda alianza kujiweka nyuma ya pazia baada ya Lowassa kwenda Chadema,which I think was their contigency plan.

Kwa hili linaolendelea linanifikirisha sana.Kwani nini JPM amekuwa anahaha kumrejesha Lowassa CCM.Amekuwa akimsifia sana.Na kitendo cha kumrecognize Apson Mwango'onda ni kunetrulize kambi na washirika wa Edward Lowassa kwa minajiri ya kuwatumia kama silaha kwenye vita yake na Membe.
JPM hana vita na Membe. Ni Rais na Ana dola. Akiamua hata sekunde haitaisha. Ni sawa na kuua nzi kwa bunduki. Itakuwa Ni misuse of resources
 
Lakini hili (kumkaribisha CAM) EL amekubali kwamba likuwa ni kosa la kiufundi "big time".

Pili, EL hawezi kurudi CCM na hiyo amekiri alipoitwa kwa mara ya kwanza pale jumba jeupe.

Nafikiri kinachofanyika ni kwa master kumshughulikia apprentice yaani mwalimu anapoitwa kumdhibiti mwanafunzi fulani mkaidi.
Mkuu naomba kazi..
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mkuu ni Tom bwana, siku hiyo mambo yalianzia MTC Mbeya teh teh teh..

Halafu mkuu naomba kazi basi....
Basi nimewachanganya mkuu.Jimmy nilikutana nae UK kipindi flani so wkt hizi harakati za Nec Mbeya zinaendelea nilikua kule ila yeye alikua asharudi huku so nilizisikia juu juu nikadhani yeye ndo muhusika.

Mwandosya full kilio hahah.
 
Thomas na wakina Mwakipesile ndiyo ambao walitaka kuleta figisu kwa mzee wa Lufilyo lakini akachomoa. Jimmy ameanza kusikika kwenye hizi harakati za Laigwanani....
 
Tutapeana kazi ya kuandika humuhumu JF.

Ni twafanya uchambuzi tu au!

🙂🙂🙂🙂
Hizo za kuandika waachie wakina Gentamycine. Mimi nataka tuonane nje ya hapa JF au ili tuchambue mambo vizuri. Vipi niweke namba zangu za simu na vyeti vya chuo ?
 
Kuna wabobezi wa masuala haya kama kaka yetu Evarist Chahali watadadavua tetesi tulizopata hizi

Nimepenyezewa kwamba mwaka 2015 bwana mkubwa ambaye anaongoza visiwa vya Guam alikuwa na ushindani na mmoja ambaye rafiki yake wa karibu alikuwa mkuu wa FBI ya weusi,

Leo asubuhi ameonekana viunga vya Nyumba nyeupe na lengo lilikuwa ni kutimiza wito ili kupewa majukumu ya kumaliza mchezo unaotaka kuanzishwa na mzee wa cashew nuts

Mbaya zaid kampa makaratasi yenye report fulani mzee wa Guam

Naishia hapa GENTAMYCINE
Si kweli kwa sababu huyo mzee mkuu wa FBI ya weusi angetaka kumpa jukumu kubwa angemwita kimya kimya kwa Siri hapo wangefanya yao kisayansi lakini kumwita live nadhani ni kudumisha urafiki wao wa siku nyingi tokea akiwa Waziri wa Ujenzi na wizara zingine, si vyema kutengeneza uchonganishi na propaganda za kishamba shamba kama tupo kolomije vile, tusimamie Ukweli ili Nchi ipige hatua maana uzushi na Uongo umekuwa ni sumu ya maendeleo nchini.
 
Apson ni DG wa TISS wa milele ? mbona hawaitwi waliotoka juzi ? halafu siyo smart kihiiivyoo , pamoja na JK kumbeba sana mtoto wake lakini alishindwa kumuokoa , mwisho wa siku akapigwa chini Mbeya , halafu ni mtu aliyepitwa na wakati
Acha ushamba wako Wewe ndiyo umepitwa na wakati hujui kitu chochote unaishi kwa kukariri ujinga wako mwenyewe neno milele maana yake nini? Kwani kuitwa ikulu kusalimiana Rais ndiyo kuwa kiongozi wa milele? Tambua kuwa magufuli kaunda kitengo maalum cha washauri wake wa kiusalama na Mwenyekiti wake ni huyo mzee akisaidiwa na Mzee Kitine, Othuman, wakuu wa polisi wastaafu, wakuu wa majeshi wastaafu ambao ni wajumbe kazi yao ni kumshauri Rais juu ya usalama wa Nchi huko mitaani kwani wapo uraiani mda mwingi wanapata taarifa nyingi mitaani na kwingineko.
 
Ulipoandika FBI badirisha weka CIA. TISS==CIA
CIA kazi yao ni kubwa sana pia ujue CIA 90% ni wanajeshi makomandoo ambao kazi zao ni kupenya Duniani kote kuleta taarifa mbalimbali ni tofauti na TISS ambao watumishi wake wengi ni Raia wa kawaida na pengine hata FBI imewazidi pia, nadhani TISS inajiendesha kulingana na mazingira ya Tanzania ambayo yana changamoto zake ambazo wao wanajua jinsi ya kuzikabili
 
Kitu ambacho sielewi mpk leo ni 2015 ilikuaje Lowassa akamuamini Apson kiasi kile wkt anajua jamaa ni nyoka. Sielewi mpk leo.
Huwezi kuelewa mpaka siku unakufa kwani mbona unawaamini wale walinzi wa usalama wanaomlinda Lowasa ambao ni watumishi wa umma ambao mda wote wanasikia simu zake wanajua maisha yake kwani wao hawakutumika kupeleka taarifa? Urafiki wa Apson na Lowasa ni wa siku nyingi tokea wakiwa Jwtz wote kipindi hicho Lowasa alikuwa captain na Apson alikuwa kanali wametokea mbali ni vigumu kuwatendanisha. hata mtengeneza fitna uzushi Majungu urafiki wao sio wa kisiasa kwa sasa kwa sababu huyo mzee Apson sio mwanasiasa wala mwanachama wa chadema.
 
Hao waliotoka juzi na huyu wa sasa wote mwalimu na kubwa Lao ni Apson kwa kua wamepita kwenye mikono yake ...So most probably Mzee Apson Ana mengi zaidi ya hao unaotaka wewe waitwe
Wote huwa wanaitwa na Rais ingawa wengine huenda kimya kimya na Rais kaunda Kamati kikosi kazi cha washauri wa kiusalama ni kama Bodi ya usalama ambapo viongozi wake ni Apson na Hans Kitine katibu ni othuman Rashid na wajumbe ni akina Said mwema, Gen waitara, Gen mboma, Gen Mwamnyange na wingineo waliokuwa wakuu wa Uhamiaji na magereza na Takukuru kazi yao ni kumshauri Rais kupitia kwa mkurugenzi wa sasa wa usalama kwa kifupi wanashirikiana nae kufanya kazi.
 
Apson Mwangonda alikuwa confidant wa Edward Lowassa na mtu wake wa mkakati kuelekea kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu wa 2015.Alijionyesha wazi wakati Lowassa bado mwanachama wa CCM,wakishirikiana chini kwa chini kusuka mtandao ndani ya CCM na kukabiliana na kihatarishi cha kambi ya Kikwete ambacho walihisi kitakwamisha safari yao.Kambi ya Kikwete is typically saying Team Membe.Mwang'onda alianza kujiweka nyuma ya pazia baada ya Lowassa kwenda Chadema,which I think was their contigency plan.

Kwa hili linaolendelea linanifikirisha sana.Kwani nini JPM amekuwa anahaha kumrejesha Lowassa CCM.Amekuwa akimsifia sana.Na kitendo cha kumrecognize Apson Mwango'onda ni kunetrulize kambi na washirika wa Edward Lowassa kwa minajiri ya kuwatumia kama silaha kwenye vita yake na Membe.
Unadhani hate ya Lowassa, na apson kuwa allies na Lowassa versa vi Kikwete ndiyo mwisho wa kachero huyo kusaliti???? No thank you
 
kama TISS ya sasa inatumia mbinu za kizamani za Apson basi labda ndio maana kila kitu tunashindwa , kuanzia makinikia hadi korosho .
Usiishi kwa kukariri tambua kuwa Apson kastaafu wala hahusiki na kazi zozote zaidi ya kushauri pindi akihitajika tu.
 
Kwa tabia ya binadamu mwenye moyo wa nyama, akiona nguvu za mkinzano (cohesive forces) zinamwelemea, hutafuta egemeo analofikiri Ni dhabiti ili kusimama. Ikiwa mkuu kila akitazama nyuma ya mabega yake anaiona hatari, unafikiri ataiepukaje kama siyo kujenga alliance mpya kwa kutumia zimwi likujualo au lililotambulishwa likiwa na njaa!!!

kids bana

haujui nguvu ya rais

tume ya uchaguzi, na dola vyote vyake
 
Huwezi kuelewa mpaka siku unakufa kwani mbona unawaamini wale walinzi wa usalama wanaomlinda Lowasa ambao ni watumishi wa umma ambao mda wote wanasikia simu zake wanajua maisha yake kwani wao hawakutumika kupeleka taarifa? Urafiki wa Apson na Lowasa ni wa siku nyingi tokea wakiwa Jwtz wote kipindi hicho Lowasa alikuwa captain na Apson alikuwa kanali wametokea mbali ni vigumu kuwatendanisha. hata mtengeneza fitna uzushi Majungu urafiki wao sio wa kisiasa kwa sasa kwa sababu huyo mzee Apson sio mwanasiasa wala mwanachama wa chadema.
Sina hakika kama Lowasa amewahi kuwa huko jeshini...achilia mbali hicho cheo ulichompa mkuu
 
Sina hakika kama Lowasa amewahi kuwa huko jeshini...achilia mbali hicho cheo ulichompa mkuu
Huwezi kuwa na kwa kuwa wewe mwenyewe hujielewi na huna unachojua zaidi ya kujiandikia andikia tu ili Mladi uonekane umeandika
 
Back
Top Bottom