Ni rahisi sana Afrika (Tanzania) kurudi utumwani

Ni rahisi sana Afrika (Tanzania) kurudi utumwani

Kazi wanazofanya ni zile zile za ushushaji na upakiaji wa mizigo bandarini, suala zima la DP World limeingiziwa siasa nyingi za upotoshaji na sababu ni ukubwa wa kampuni yenyewe na namna inavyokwenda kuwaumbua wapigaji wa hapo TPA.
Rushwa ya Mwarabu isitutenganishe.
 
Sawa ila Malawi Zambia uchumi ni choka mbaya pamoja na kubadilisha viongozi upande wa upinzani uwezi kulinganisha na Tanzania
Sikiliza unaweza kuwa na kila kitu mfano hela,nyumba,elimu,mashamba na magari lakini ukawa huna amani na mali yako na ndivyo ilivyo Tanzania,kila kitu tunacho lakini ni vya viongozi wa ccm na familia zao.Kumbuka utajiri wa Mbowe ulivyosumbuliwa na utawala wa Magufuri je huo ni uungwana au utumwa wa akili?
 
Back
Top Bottom