Sisi watu weusi ni wabinafsi na wanafiki sana, hili ni tatizo letu kubwa nafikiri ni toka uumbaji wa ulimwengu. Mfano mdogo tu ni hao hao alioshangilia mchina aisipewe bandari ya Bangamoyo kwa miaka 99 wakati wa Magufuli kwa masharti ya kichaa tu ndiyo anaweza kusign mkataba huo ndiyo hao hao leo hii wanashangilia DP World kupewa mkataba wa milele.