Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Kwanza sikweli kwamba wazungu hawana rasilimali.Mungu aliumba WANADAMU wote wakiwa na 1. Akili 2. Hisia 3. Uwezo wa kufanya maamuzi.
1. Sie waafrika tumebarikiwa na Kila kitu, Nchi zetu ni za joto ndomana hatukutaka hata kujihangaisha kutengeza nguo, ambapo mzungu Kwa baridi alilonalo lazima aumize KICHWA Ili kupata mavazi ya kumkinga baridi asife.
Mwarabu Hana maji, Wala chakula, naye kabarikiwa mafuta Ili ayatumie kusurvive.
Wazungu kadhalika, wamenyimwa raslimali, hivyo kuishi lazima waumize KICHWA sana.
Wote Waafrica, Wazungu, Waarabu tunazo akili, lakini tunatofautiana maamuzi ya kutumia akili zetu.
Maana imeandikwa, Awazavyo mtu ndivyo alivyo.
Mungu aliyetuumba na kumweka Mzungu Nchi mbaya baridi, Akamweka Mwarabu jangwani na kumpa mafuta, akamwumba mwafrica na kumpa Kila kitu, akitaka tuishi Kwa kidaidiana, tufikie WIN WIN SITUATION.
Narudia kusema,
Kumcha Mungu ndicho chanzo Cha AKILI, HEKIMA, MAARIFA na UFAHAMU.
Wazungu wana rasilimali vilevile na wamezitumia vilivyo kuwaletea maendeleo.
Unaposema kwamba, waafrika wamebarikiwa kila kitu Halafu ndio wanao ongoza kwa Umaskini, na kuwa
omba omba nashindwa kuku elewa.
Naku uliza hivi [emoji116]
Waafrika wana shindwaje kutumia rasilimali hizo kuwa letea maendeleo mpaka waombe mikopo na misaada ya hao hao wazungu?
Nakwambia tena hivi [emoji116]
Uafrika hasa utanzania ni laana.