welding1682
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 2,151
- 4,681
ungeipa akili yako akili ungeelewa kinachoongelewaHatuwezi kurudi utumwani hata kama Samia anataka iwe hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ungeipa akili yako akili ungeelewa kinachoongelewaHatuwezi kurudi utumwani hata kama Samia anataka iwe hivyo.
Hapa hujajibu hoja zangu. Wewe endelea na propaganda. Kwaheri.Mikataba yenye maslahi kwa wote ndio hii ya project contracts iliyomaliza kuandaliwa ili biashara iweze kuanza mwezi Oktoba mwishoni.
TICTS walikuwa pale bandarini kwa miaka 22, mimi na wewe tulishiriki vipi kutetea kulindwa kwa maslahi yetu kwenye hiyo mikataba iliyoongoza biashara?. Huyu ni mpangishaji tu wa pale bandarini wala haina sababu ya kumuogopa kama ambavyo wasomi wetu wote wanakuwa waoga.
Imeshapita mikataba mingi sana nchi hii na kila siku ipo mipya inayoongoza biashara mbalimbali na utekelezaji wa miradi mingi.
Hao matajiri wakubwa wana pewa dira na kupewa taarifa muhimu na waafrika sisi sisi,Ujenzi wa Bwawa la mwalimu Nyerere,
Magu alipitia upinzani mkubwa Kutoka hao unaowaona matajiri, Hata World bank walimnyima mkopo Hadi akalazimika kwenda kukopa pesa bank za kibiashara Kwa riba kubwa.
Ujue kujitutumua Ili tufanye yetu, upinzani tutapata Kutoka waliotutangulia kimaendeleo.
Bwawa halijakamikika, wameshakuja DPp world kuzitaka bandari zetu, SGR, na bwawa likiwemo Ili tuendelee kuwaombaomba,
Nyuma ya DPp world yupo Marekani na west.
Uafrika ni BARAKA, wageni wanatamani utajiri wetu ndo sababu wanaleta Kila aina ya UOVU tufarakane.
Mimi siyo mpumbavu nathamini na kuheshimu UAFRIKA wangu.Sema unachoweza sema ila uafrika mpaka sasa ni upumbavu
DP World iliasisiwa na Mtukufu Magufuri.Hao matajiri wakubwa wana pewa dira na kupewa taarifa muhimu na waafrika sisi sisi,
Si kwamba wanakuja tu,Bila ya kuwa na ushirikiano wa kisiri na baadhi ya waafrika wenzetu, Sasa mpaka hapa huoni kwamba waafrika ndio tuna shida?
Kwa nini waafrika wasi ungane kwa pamoja kuwapinga hao wapinzani wa kizungu?
Huoni kwamba waafrika ndio wenye shida?
Huoni wazungu wame ungana, Wana umoja wa ulaya, wana bunge la Ulaya (EU), wana umoja wa kujihami NATO wana viza za pamoja Schengen Visa n.k
Magufuli alipingwa na kusalitiwa na watanzania walafi, wachumia matumbo na wakwepa kodi walio shirikiana na hao hao wazungu.
Wazungu na waarabu wapo Afrika kwa maslahi yao na vizazi vyao vijavyo, Sisi waafrika tulivyo wajinga tuna ungana nao kuuza rasilimali za vizazi vyetu.
Huoni kwamba sisi waafrika ndio wenye shida na ukosefu wa akili?
Uafrika ni laana.
Ku uthamini Uafrika wala hakubadilishi Uhalisia wa mazingira ya Afrika yalivyo ya Hovyo.Mimi siyo mpumbavu nathamini na kuheshimu UAFRIKA wangu.
Unaulaani Uafrika lakini unasahau kuwa siasa safi Tanzania haipo,kwa nini usijulize kuwa nchi za Malawi,Zambia na Ghana ambazo zote ziko Afrika huwa zinafanyaje kubadilisha viongozi wa Vyama mbali mbali na nchi zao zikabikia salama?Ku uthamini Uafrika wala hakubadilishi Uhalisia wa mazingira ya Afrika yalivyo ya Hovyo.
Ni sawa na timu ya mpira kufungwa halafu inajipa matumaini kwamba, Licha ya kufungwa kwetu ila tume washambulia na kupiga pasi nyingi kwa timu pinzani.
Lakini kufungwa, wamefungwa.
Hata na wabunge waliopo leo wali asisiwa na maguuli huyo huyo.DP World iliasisiwa na Mtukufu Magufuri.
Uko sahihi kabisa tunapitia kipindi kigumu tangu taifa lipate uhuru kwa sababu ya mawazo ya Magufuri.Leo Bandari inaenda bure kwa Waarabu baada ya ccm kuona kuwa wameshindwa kuongoza nchi wakaona bora tukose wote.Hata na wabunge waliopo leo wali asisiwa na maguuli huyo huyo.
Licha ya mazuri aliyoyafanya, Magufuli pia alikuwa na mabaya yake yanayo ligharimu taifa leo hii.
Pole sanaMimi siyo mpumbavu nathamini na kuheshimu UAFRIKA wangu.
... LAKINI TUKUBALI PIA KUWA TUMEACHWA MBALI NA HATUNA JINSI ZAIDI TU YA KUJARIBU KUISHI VIZURI NA HAO WAJANJA ILI WALAU SIKU ZIENDE!.
Tusilaumu sana ni upumbavu wetu wenyewe
Kazi wanazofanya ni zile zile za ushushaji na upakiaji wa mizigo bandarini, suala zima la DP World limeingiziwa siasa nyingi za upotoshaji na sababu ni ukubwa wa kampuni yenyewe na namna inavyokwenda kuwaumbua wapigaji wa hapo TPA.Nijibu nimekuuliza,
Umehongwa au huna akili?
Maana unajaribu kulinganisha mkataba wa TICS na DP World!!
Haelewi huyo achana naye. Africa ya watu weusi inakera sana ukiwa na akili. Ukitaka ku enjoy Africa nyeusi kuwa mjinga; hapo sawa.Hakuna baraka bali bara hili limejaa laana
Uko sahihi,Kama Bado unaamini wewe ni mwafrika uliyelaaniwa,
Sina ninaloweza jadiliana nawe sababu Mimi Ni MWAFRIKA NILIYEBARIKIWA sana.
Hujajibu swali,Kazi wanazofanya ni zile zile za ushushaji na upakiaji wa mizigo bandarini, suala zima la DP World limeingiziwa siasa nyingi za upotoshaji na sababu ni ukubwa wa kampuni yenyewe na namna inavyokwenda kuwaumbua wapigaji wa hapo TPA.
Kwamba wezi ndo unawaita Wana Akili, ila wanaoibiwa ni ......kama usemavyo?Hao matajiri wakubwa wana pewa dira na kupewa taarifa muhimu na waafrika sisi sisi,
Si kwamba wanakuja tu,Bila ya kuwa na ushirikiano wa kisiri na baadhi ya waafrika wenzetu, Sasa mpaka hapa huoni kwamba waafrika ndio tuna shida?
Kwa nini waafrika wasi ungane kwa pamoja kuwapinga hao wapinzani wa kizungu?
Huoni kwamba waafrika ndio wenye shida?
Huoni wazungu wame ungana, Wana umoja wa ulaya, wana bunge la Ulaya (EU), wana umoja wa kujihami NATO wana viza za pamoja Schengen Visa n.k
Magufuli alipingwa na kusalitiwa na watanzania walafi, wachumia matumbo na wakwepa kodi walio shirikiana na hao hao wazungu.
Wazungu na waarabu wapo Afrika kwa maslahi yao na vizazi vyao vijavyo, Sisi waafrika tulivyo wajinga tuna ungana nao kuuza rasilimali za vizazi vyetu.
Huoni kwamba sisi waafrika ndio wenye shida na ukosefu wa akili?
Uafrika ni laana.
Ni uzalendo kwa taifa langu pekee Tanzania. Siwezi kuhongwa na sina sababu ya kujirahisisha.Hujajibu swali,
Je umehongwa au HAMNAZO?
Uzalendo ni kujenga uwezo wa ndani,Ni uzalendo kwa taifa langu pekee Tanzania. Siwezi kuhongwa na sina sababu ya kujirahisisha.
Huko bara kuna tani zaidi ya milioni 20 zinazotakiwa kuletwa huku bandarini ili zisafirishwe huko nje, huo muda wa kujenga uwezo wa ndani na uendane na uelewa wetu kwamba hizi ni fursa ambazo zinatusubiri sisi tufaidike nazo.Uzalendo ni kujenga uwezo wa ndani,
Uzalendo ni kuwezesha makampuni ya ndani, kuyadhanini wakope vifaa vya kisasa kuendesha Bandari zetu Kwa TIJA huku wakilinda Ajira za Watanzania.
Usilolijua Hadi sasa, Mkataba Ule Rasmi umetupwa Kapuni.
Zilipendwa.