Mungu aliumba WANADAMU wote wakiwa na 1. Akili 2. Hisia 3. Uwezo wa kufanya maamuzi.Si waisraeli pekee wanao ongoza kwa IQ,
Hata wazungu wana IQ na maarifa yaliyo pelekea wawe na teknolojia bora na za kisasa kwenye kila nyanja za maisha.
Sasa naku uliza hivi,
Waafrika wemebarikiwa IQ gani?
1. Sie waafrika tumebarikiwa na Kila kitu, Nchi zetu ni za joto ndomana hatukutaka hata kujihangaisha kutengeza nguo, ambapo mzungu Kwa baridi alilonalo lazima aumize KICHWA Ili kupata mavazi ya kumkinga baridi asife.
Mwarabu Hana maji, Wala chakula, naye kabarikiwa mafuta Ili ayatumie kusurvive.
Wazungu kadhalika, wamenyimwa raslimali, hivyo kuishi lazima waumize KICHWA sana.
Wote Waafrica, Wazungu, Waarabu tunazo akili, lakini tunatofautiana maamuzi ya kutumia akili zetu.
Maana imeandikwa, Awazavyo mtu ndivyo alivyo.
Mungu aliyetuumba na kumweka Mzungu Nchi mbaya baridi, Akamweka Mwarabu jangwani na kumpa mafuta, akamwumba mwafrica na kumpa Kila kitu, akitaka tuishi Kwa kidaidiana, tufikie WIN WIN SITUATION.
Narudia kusema,
Kumcha Mungu ndicho chanzo Cha AKILI, HEKIMA, MAARIFA na UFAHAMU.