Ni Rais au Spika? Mmoja lazima achomoke

Ni Rais au Spika? Mmoja lazima achomoke

Rais kupingwa na Spika wa Bunge au kupingwa na Mawaziri wake kipi kibaya zaid?
Hiyo mifano haiendani na kilichotokea kwa Ndugai. Ndugai ni Mkuu wa Mhimili wa utawala wakati hao uliowataja walikuwa mawaziri tu ndani ya Mhimili wa Serikali.

Katika historia hatujawahi kuwa na Spika mbumbumbu na asiye na hekima kama huyu Ndugai. Kuna lack of trust kutoka kwa Rais wake, lazima ang'oke tu
 
Aking'olewa Spika kwa kigezo cha kumpinga Rais itakuwa msiba mkubwa kwa Demokrasia…Spika mpya atakuwa very submissive kwa Rais badala ya kufanya kazi ya kusimamia Serikali

'Mawazo hayapigwi rungu'-JK

Kama mtu kakukosoa wewe toa ufafanuzi Jamii ndio itamuona hamnazo na kizuri zaid mkosaji kaomba radhi hadharan itoshe
Mazingira ni tofauti kabisa bwashee!
 
Aking'olewa Spika kwa kigezo cha kumpinga Rais itakuwa msiba mkubwa kwa Demokrasia…Spika mpya atakuwa very submissive kwa Rais badala ya kufanya kazi ya kusimamia Serikali

'Mawazo hayapigwi rungu'-JK

Kama mtu kakukosoa wewe toa ufafanuzi Jamii ndio itamuona hamnazo na kizuri zaid mkosaji kaomba radhi hadharan itoshe
Ndugai hajampinga Rais bali amepinga mikopo!
 
Aking'olewa Spika kwa kigezo cha kumpinga Rais itakuwa msiba mkubwa kwa Demokrasia…Spika mpya atakuwa very submissive kwa Rais badala ya kufanya kazi ya kusimamia Serikali

'Mawazo hayapigwi rungu'-JK

Kama mtu kakukosoa wewe toa ufafanuzi Jamii ndio itamuona hamnazo na kizuri zaid mkosaji kaomba radhi hadharan itoshe
Naielewa hoja yako. Lakin kwa maoni yangu huyu bwana Kazi tangu nianze kumjua, hasa alipokalia kiti cha usipika niwe mkweri kichwani ni mtupu. Huyu hawezi simamia hoja nzito nzito kama watangulizi wake walivyofanya. Kama issues kadhaa zilienda mezani kwake akazizima. Ningemuunga mkono leo kama angesimamia zile issue wakati wa mwendazake.
Lakin kudhihirisha kuwa ni mtupu kichwani akaenda kuomba msamaha kwa kusingiziwa ameeditiwa.
Tuna sipika ambae hana analoliamini na kulisimamia
 
Spika ajae atakuwa Muoga kuliko Job Ndugai kama ndugai ataondolewa kwa kigezo cha kumkosoa Rais hiyo ndio hoja yangu

Kama Spika atang'olewa kwa 'kosa' la kumkosoa Rais tujiandae kuwa na Bunge dhaifu kuwahi kutokea Nchini

Tanzania kuna mihimili mitatu,
1. Serikali
2. Bunge
3. Mahakama

Nchi ya kusadikika bado inazidi kutofautiana yenyewe, ni nchi moja yenye chama kimoja na nchi hii haikutaka kujijengea utawala wa kuambiana ukweli au kukosoana hata kama ni chama kimoja,,hii shida ya kutokosoana kisa tuu watu wametoka chama kimoja ndio inazidi kuleta shida.

Tangu enzi za ukoloni chama tawala kimekuwa kinacheza ngoma moja ya kusifiana na imejenga tabia na ikitokea umeikosoa serikali basi unaitwa usaliti.

Demokrasia ni neno pana sana,,usiseme nchi imerud kwenye democracy huku hutaki ukosolewe na mbunge au mwanachama aliyetoka chama chako,,nchi ya democracy serikali inakosolewa hata kama anayekukosoa katokea chama chako,,

Hii inayoendelea kati ya mama na Spika ni tabia iliyojengwa kuwa kusiwepo na kukosoana na hatimae mtu anaonekana kakosea kumbe sio kweli.

Na mwanzo nilisema mama alikosea sana kukubali ushaur wa kutengua mawazir wa JPM,wale ndio walikua turufu kwake,,ila sasa kaona aliowaweka hawafai ametangaza mkeka mpyaaa.

Sitaki kuongea mengi nayoyajua yanakuja ila mechi hii mshindi lazima apatikane,,hii inaitwa nani amuwahi mwenzake.

Je spika atumie kiti cha bunge kumoblize wabunge kutokua na imani na Rais na mwishoe Rais aondolewe madarakan?

Au mama amuwahi spika kwa kumoblize wabunge kwa kupeleka hoja ya kutokua na imani na spika ili baadae Spika aondolewe?

Hii vita haijaisha, subirini bunge lije, kwa sasa tuko half time?

I will tell you before 2013, who will be the next President. Acha moto ufukute kwanza!
Hii ngoma wala haitafika asubuhi, kila kitu kitatulia na maisha ya Unafki yataendelea.
 
Hiyo mifano haiendani na kilichotokea kwa Ndugai. Ndugai ni Mkuu wa Mhimili wa utawala wakati hao uliowataja walikuwa mawaziri tu ndani ya Mhimili wa Serikali.

Katika historia hatujawahi kuwa na Spika mbumbumbu na asiye na hekima kama huyu Ndugai. Kuna lack of trust kutoka kwa Rais wake, lazima ang'oke tu
Kupingwa na mawaziri ndio mbaya zaidi kuliko kupingwa na spika.
Hadi sasa sijaona kosa la ndugai, ndugai hayupo bungeni kumpigia magogi raisi. Yupo kuisimamia serikali na kuiwajibisha
 
Spika ajae atakuwa Muoga kuliko Job Ndugai kama ndugai ataondolewa kwa kigezo cha kumkosoa Rais hiyo ndio hoja yangu

Kama Spika atang'olewa kwa 'kosa' la kumkosoa Rais tujiandae kuwa na Bunge dhaifu kuwahi kutokea Nchini
Hata hili ni dhaifu. Hoja yako ni kwamba tutakua tunatengeza bunge dhaifu zaidi. Hili la Ndugai ni dhaifu sana. Wana CCM sasa ndiyo wameelewa udhaifu wa bunge lao. Hawana wa kumsingizia ndani ya bunge lao. Uamuzi wowote kwenye hili sakata, ni aibu tupu kwa CCM.
 
Kupingwa na mawaziri ndio mbaya zaidi kuliko kupingwa na spika.
Hadi sasa sijaona kosa la ndugai, ndugai hayupo bungeni kumpigia magogi raisi. Yupo kuisimamia serikali na kuiwajibisha
Amewahi kuisimamia na kuiwajibisha?
 
Vyovyote iwavyo, kukopa trillion 10 ndani ya miezi 9 kwa ajili ya madawati ni jambo ambalo hatuwezi kulikubali, hili lazima liondoke na mtu!
 
Kwa uzi wako huu, liko wazi Mama Samia atakaa pembeni. Team Hayati JPM bado mizizi imetitia ndani mama hawezi ogopwa maana amechongwa na team Hayati JPM hivyo hakuna kurudi nyuma.
 
Vivaaa!!! sukuma gang.
Japo Ndugai alitusaliti bwagamoyo port.
 
Vivaaa!!! sukuma gang.
Japo Ndugai alitusaliti bwagamoyo port.
Hawa ndio wenye nchi kwa sasa, hivyo hawatishikia kabisa muda mwingine saa mbovu husoma muda sahihi kabisa hivyo waliomtengeneza na kumfikisha hapo hawuogopi..
 
Tiba ya yote ni katiba mpya
Nionavyo hata hiyo katiba hajazaliwa wa kuisimamia, msimamizi wa watunga sheria mwenyewe anajificha juu ya meza japo anayo ulizi kikatiba.
Kuna shida kubwa nchi hii na sio ubovu wa katiba pekee
 
Tanzania kuna mihimili mitatu,
1. Serikali
2. Bunge
3. Mahakama

Nchi ya kusadikika bado inazidi kutofautiana yenyewe, ni nchi moja yenye chama kimoja na nchi hii haikutaka kujijengea utawala wa kuambiana ukweli au kukosoana hata kama ni chama kimoja,,hii shida ya kutokosoana kisa tuu watu wametoka chama kimoja ndio inazidi kuleta shida.

Tangu enzi za ukoloni chama tawala kimekuwa kinacheza ngoma moja ya kusifiana na imejenga tabia na ikitokea umeikosoa serikali basi unaitwa usaliti.

Demokrasia ni neno pana sana,,usiseme nchi imerud kwenye democracy huku hutaki ukosolewe na mbunge au mwanachama aliyetoka chama chako,,nchi ya democracy serikali inakosolewa hata kama anayekukosoa katokea chama chako,,

Hii inayoendelea kati ya mama na Spika ni tabia iliyojengwa kuwa kusiwepo na kukosoana na hatimae mtu anaonekana kakosea kumbe sio kweli.

Na mwanzo nilisema mama alikosea sana kukubali ushaur wa kutengua mawazir wa JPM,wale ndio walikua turufu kwake,,ila sasa kaona aliowaweka hawafai ametangaza mkeka mpyaaa.

Sitaki kuongea mengi nayoyajua yanakuja ila mechi hii mshindi lazima apatikane,,hii inaitwa nani amuwahi mwenzake.

Je spika atumie kiti cha bunge kumoblize wabunge kutokua na imani na Rais na mwishoe Rais aondolewe madarakan?

Au mama amuwahi spika kwa kumoblize wabunge kwa kupeleka hoja ya kutokua na imani na spika ili baadae Spika aondolewe?

Hii vita haijaisha, subirini bunge lije, kwa sasa tuko half time?

I will tell you before 2013, who will be the next President. Acha moto ufukute kwanza!
Spika ni mtu mdogo sana ukimlinganisha na Rais.. Kumbuka Rais ni Mwenyekiti wa CCM ambacho kwa jinsi kilivyo ni chama -dola.. Hivyo kumwondoa Rais kwa kura za Wabunge ni ndoto za mchana..
 
Mama ajifunze subira

Jakaya alipingwa hadharan na kina Sofia Simba baada ya Kikao cha Kamati kuu 11th June,2015 na baada ya hapo hakuwafukuza kwny baraza la Mawaziri hadi mwisho wa utawala wake

Kina Zakia Meghji walimchenjia Benjamin Mkapa May2,2005 kwny Kamati kuu wakati wa mjadala wa kumkata Jakaya lakin hakuweka kinyongo

JPM alisemwa vibaya na kina Nape na Kinana lakin alipoombwa msamaha akasamehe

Mwinyi alitukanwa na kina Njelu kasaka kwny G55 hakufukuza Mtu

Kama Mkuu wa Muhimili mwenzie kajishusha hadi kamuomba radhi hadharan basi nae anapaswa kumsamehe na kufuta kinyongo na hayo ndio mafundisho ya Rasuli na utamaduni wa Ki Africa
Hakumuomba radhi Rais specific. Yeye kawaomba radhi wananchi ki
jumla jumla.

Uombaji radhi wa aina ile ilitakiwa awe ameshamuona before kutoka in public.
 
Back
Top Bottom