Ni code hiyo, naamini this year MAGAMBA MATATU atarudi kumaliza ujumbe.2013 ni code?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni code hiyo, naamini this year MAGAMBA MATATU atarudi kumaliza ujumbe.2013 ni code?
AHADI ni deni MAGAMBA MATATU, fungua code ya 2013.Tanzania kuna mihimili mitatu,
1. Serikali
2. Bunge
3. Mahakama
Nchi ya kusadikika bado inazidi kutofautiana yenyewe, ni nchi moja yenye chama kimoja na nchi hii haikutaka kujijengea utawala wa kuambiana ukweli au kukosoana hata kama ni chama kimoja,,hii shida ya kutokosoana kisa tuu watu wametoka chama kimoja ndio inazidi kuleta shida.
Tangu enzi za ukoloni chama tawala kimekuwa kinacheza ngoma moja ya kusifiana na imejenga tabia na ikitokea umeikosoa serikali basi unaitwa usaliti.
Demokrasia ni neno pana sana,,usiseme nchi imerud kwenye democracy huku hutaki ukosolewe na mbunge au mwanachama aliyetoka chama chako,,nchi ya democracy serikali inakosolewa hata kama anayekukosoa katokea chama chako,,
Hii inayoendelea kati ya mama na Spika ni tabia iliyojengwa kuwa kusiwepo na kukosoana na hatimae mtu anaonekana kakosea kumbe sio kweli.
Na mwanzo nilisema mama alikosea sana kukubali ushaur wa kutengua mawazir wa JPM,wale ndio walikua turufu kwake,,ila sasa kaona aliowaweka hawafai ametangaza mkeka mpyaaa.
Sitaki kuongea mengi nayoyajua yanakuja ila mechi hii mshindi lazima apatikane,,hii inaitwa nani amuwahi mwenzake.
Je spika atumie kiti cha bunge kumoblize wabunge kutokua na imani na Rais na mwishoe Rais aondolewe madarakan?
Au mama amuwahi spika kwa kumoblize wabunge kwa kupeleka hoja ya kutokua na imani na spika ili baadae Spika aondolewe?
Hii vita haijaisha, subirini bunge lije, kwa sasa tuko half time?
I will tell you before 2013, who will be the next President. Acha moto ufukute kwanza!
2013=2023AHADI ni deni MAGAMBA MATATU, fungua code ya 2013.
Ndo aje aseme sawasawa na AHADI.2013=2023
Hawezi sema mambo yanavuma tofauti Sana!Ndo aje aseme sawasawa na AHADI.
Mkuu Bashungwa na Bashiru ndiyo wanaandaliwa kuwa Top.Hawezi sema mambo yanavuma tofauti Sana!
Mtu PEKEE mvaa kanzu mwenye kukubalika kama jpm ni Bashiru tu KWA hoja na uthubutu simuoni mwingine!!
Maana Magamba matatu alisema ajaye kuwa ni mvaa kanzu Sasa sioni dalili pale top ten NEC!
KWA upepo unavovuma haonekani kuwa YEYE!!labda ni YEYE!!!?
KWA Bashungwa unaweza ku bet ki deep State state na pia ni mwana st.peter MZURI ila kuna jabali FULANI kwamba linajaza uwanja Sana bila msaada wa magari ya CHAMA!lipo top ten NEC pia lenyewe la KUMI!!Mkuu Bashungwa na Bashiru ndiyo wanaandaliwa kuwa Top.
Ukimya wa Bashiru usichukulie pia.
Uhamisho wa Bashungwa Hadi wizara nyeti Kuna mshindo.