Ni Rais au Spika? Mmoja lazima achomoke

Ni Rais au Spika? Mmoja lazima achomoke

Tanzania kuna mihimili mitatu,
1. Serikali
2. Bunge
3. Mahakama

Nchi ya kusadikika bado inazidi kutofautiana yenyewe, ni nchi moja yenye chama kimoja na nchi hii haikutaka kujijengea utawala wa kuambiana ukweli au kukosoana hata kama ni chama kimoja,,hii shida ya kutokosoana kisa tuu watu wametoka chama kimoja ndio inazidi kuleta shida.

Tangu enzi za ukoloni chama tawala kimekuwa kinacheza ngoma moja ya kusifiana na imejenga tabia na ikitokea umeikosoa serikali basi unaitwa usaliti.

Demokrasia ni neno pana sana,,usiseme nchi imerud kwenye democracy huku hutaki ukosolewe na mbunge au mwanachama aliyetoka chama chako,,nchi ya democracy serikali inakosolewa hata kama anayekukosoa katokea chama chako,,

Hii inayoendelea kati ya mama na Spika ni tabia iliyojengwa kuwa kusiwepo na kukosoana na hatimae mtu anaonekana kakosea kumbe sio kweli.

Na mwanzo nilisema mama alikosea sana kukubali ushaur wa kutengua mawazir wa JPM,wale ndio walikua turufu kwake,,ila sasa kaona aliowaweka hawafai ametangaza mkeka mpyaaa.

Sitaki kuongea mengi nayoyajua yanakuja ila mechi hii mshindi lazima apatikane,,hii inaitwa nani amuwahi mwenzake.

Je spika atumie kiti cha bunge kumoblize wabunge kutokua na imani na Rais na mwishoe Rais aondolewe madarakan?

Au mama amuwahi spika kwa kumoblize wabunge kwa kupeleka hoja ya kutokua na imani na spika ili baadae Spika aondolewe?

Hii vita haijaisha, subirini bunge lije, kwa sasa tuko half time?

I will tell you before 2013, who will be the next President. Acha moto ufukute kwanza!
Katiba haimpi Rais madaraka ya kumfuta kazi spika isipokuwa amefanya makosa kadhaa ama ameshindwa kuwasilisha some reports, ambayo hapa kwa Ndugai, hayapo.
 
Mnalazimisha Tanzania kufanana na Marekani lakini hazifanani. Hapa siyo Marekani unaona amri za Trump zinapelekwa mahakamani zinafutwa mambo yanaendelea. Hapa siyo Marekani unaona spika wa Congress anamkejeli, anam challenge Trump hapo bungeni kwao, kwenye TV, mpaka mbele yake uso kwa uso. Na huyo spika anaendelea tuu na kazi yake kama kawaida. Siyo Tanzania. Demokrasia na mfumo wa Marekani ukiuleta hapa, nchi haitawaliki. Kwa nini? Wao walianza mfumo huo tangu nchi inaanza, Nyerere aliukataa na ndiyo sababu kubwa ya kukorofishana na Kambona. Sasa samaki huwezi kumkunja ukishamkaanga, atavunjika. Tulieni mwacheni Mzanzibari atawale mpaka muda wake umalizike awaachie nchi yenu maana akili inawaruka.
 
Kupingwa na mawaziri ndio mbaya zaidi kuliko kupingwa na spika.
Hadi sasa sijaona kosa la ndugai, ndugai hayupo bungeni kumpigia magogi raisi. Yupo kuisimamia serikali na kuiwajibisha
Kwani alipopitisha Bajeti yenye nakisi ya Matrilioni alidhani tuta print hela ndiyo tujazie?

Halafu wewe Memento mtu wa ajabu. Unasema huoni kosa la Ndugai, wakati mwenyewe ameliona na kaomba msamaha.

Hivi mnaandika tu post na akili mnazipeleka wapi?
 
Spika ajae atakuwa Muoga kuliko Job Ndugai kama ndugai ataondolewa kwa kigezo cha kumkosoa Rais hiyo ndio hoja yangu

Kama Spika atang'olewa kwa 'kosa' la kumkosoa Rais tujiandae kuwa na Bunge dhaifu kuwahi kutokea Nchini
Mbona hakumkosoa mwendazake? Tayari ni dhaifu sana tu kwa hoja yako hiyo.
 
Tayari mmoja kachomoka kwa influence ya wanachama ili kupata popurality ya Rais,,na lazima tu mmoja angechomoka

Sasa lijalo linafurahisha,,,tegeni masikio
 
Lijalo gani bwana we! usiutishe muhimili uliojichimbia chini zaidi 😂

CCM mnyooshwe hivyo hivyo hadi siku mjifunze kuongea lugha moja na wenzenu. "Katiba mpya ya wananchi"
 
Tanzania kuna mihimili mitatu,
1. Serikali
2. Bunge
3. Mahakama

Nchi ya kusadikika bado inazidi kutofautiana yenyewe, ni nchi moja yenye chama kimoja na nchi hii haikutaka kujijengea utawala wa kuambiana ukweli au kukosoana hata kama ni chama kimoja,,hii shida ya kutokosoana kisa tuu watu wametoka chama kimoja ndio inazidi kuleta shida.

Tangu enzi za ukoloni chama tawala kimekuwa kinacheza ngoma moja ya kusifiana na imejenga tabia na ikitokea umeikosoa serikali basi unaitwa usaliti.

Demokrasia ni neno pana sana,,usiseme nchi imerud kwenye democracy huku hutaki ukosolewe na mbunge au mwanachama aliyetoka chama chako,,nchi ya democracy serikali inakosolewa hata kama anayekukosoa katokea chama chako,,

Hii inayoendelea kati ya mama na Spika ni tabia iliyojengwa kuwa kusiwepo na kukosoana na hatimae mtu anaonekana kakosea kumbe sio kweli.

Na mwanzo nilisema mama alikosea sana kukubali ushaur wa kutengua mawazir wa JPM,wale ndio walikua turufu kwake,,ila sasa kaona aliowaweka hawafai ametangaza mkeka mpyaaa.

Sitaki kuongea mengi nayoyajua yanakuja ila mechi hii mshindi lazima apatikane,,hii inaitwa nani amuwahi mwenzake.

Je spika atumie kiti cha bunge kumoblize wabunge kutokua na imani na Rais na mwishoe Rais aondolewe madarakan?

Au mama amuwahi spika kwa kumoblize wabunge kwa kupeleka hoja ya kutokua na imani na spika ili baadae Spika aondolewe?

Hii vita haijaisha, subirini bunge lije, kwa sasa tuko half time?

I will tell you before 2013, who will be the next President. Acha moto ufukute kwanza!
Hivi, Magamba matatu na Samurai ni ndugu?
Unamaaanisha February,madeluu,pena na nani!!?
Yule alieingia kimkakati kuwauza kina yerooooo! Mtoto wa naniiii!!
 
Hivi, Magamba matatu na Samurai ni ndugu?

Yule alieingia kimkakati kuwauza kina yerooooo! Mtoto wa naniiii!!
Mi nilijua Magamba matatu ni WEWE coz wote ni wakulima Halafu pia aliahidi kumtaja FDR kabla ya 2013 NADHANI alimaanisha 2023 nikadhani ni WEWE baada ya kumtaja mjoli!!
Nilikosea!!?
 
Ili ujumbe utimie na kuthibitika, lazima urudiwe na zaidi ya manabii watatu.

Ameandikwa 2013 kusudi, hao ni watu wa JIKONI, mm ni mmoja wa wajumbe wa Aliye JUU. Amen
 
2013 ni code?
 
Back
Top Bottom