Unataka asitafute maisha?Lisu yupi huyo anayeachia Chadema wa ndani wapambane siasa za ndani yeye akila Bata Ulaya akisubiri kuja kugombea na kuondoka kama TX?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka asitafute maisha?Lisu yupi huyo anayeachia Chadema wa ndani wapambane siasa za ndani yeye akila Bata Ulaya akisubiri kuja kugombea na kuondoka kama TX?
Kwa Katiba hiii na tume CCM hiii na polisi CCM yaan hata CCM waweke mgombea urais awe JIWE,KIVULI AU MBUZI WANATANGAZWA CCM WASHINDIMmmh kiukwel huku mtaan mama hakubaliki kabisa ...mi namsupport lkn mtaan hakubaliki watu hawamuelew kabisa...2025 atapata tabu sana
Akina Mahela watafanya maarifa kama kawaida..Mmmh kiukwel huku mtaan mama hakubaliki kabisa ...mi namsupport lkn mtaan hakubaliki watu hawamuelew kabisa...2025 atapata tabu sana
Bila Katiba Mpya na Tume ya Uchaguzi?2025 wapinzani wanatakiwa kuunda chama kipya
Kisiwe chadema, cuf, Act, wala chochote
Wapinzani tunatakiwa tuje kivingine
Tufanane fanane na kule south kwa julias malema au uganda kwa bobi wine
Wapinzani tuunde chama cha vijana
Tuje pamoja kama vijana wa upinzani kutoka vyama vyote vya siasa vyenye baraza la vijana
Mbowe, zito, lisu, lema, msigwa, sugu, lipumba nk
Wote hao zilipendwa awana tena mvuto
Kama tukija na mkakati huo 2925 CCM hii ya samia chaliii
Lakini tukileta tena ubinafsi wa chadema, Act, cuf
Hakuna mpinzani ataweza kuiangusha CCM kwa sura za hawa wakina lisu,mbowe,lipumba,zito,lema wananchi sio wajinga wataona ni kheri zimwi likujualo kuliko hao wapinzani wachumia Tumbo
Hata ndani ya chama hakuna upinzani. Nani wa kumpinga Mwenyekiti mmesahau desturi na utamaduni wa CCM?Upinzani siyo CCM na CHADEMA kwa sasa kwa sababu tunajua CCM itashinda hata kwa bao la mkono. Upinzani anaotakiwa kuufikiria ni wa ndani ya chama
Umenena fact Mkuu2025 wapinzani wanatakiwa kuunda chama kipya
Kisiwe chadema, cuf, Act, wala chochote
Wapinzani tunatakiwa tuje kivingine
Tufanane fanane na kule south kwa julias malema au uganda kwa bobi wine
Wapinzani tuunde chama cha vijana
Tuje pamoja kama vijana wa upinzani kutoka vyama vyote vya siasa vyenye baraza la vijana
Mbowe, zito, lisu, lema, msigwa, sugu, lipumba nk
Wote hao zilipendwa awana tena mvuto
Kama tukija na mkakati huo 2925 CCM hii ya samia chaliii
Lakini tukileta tena ubinafsi wa chadema, Act, cuf
Hakuna mpinzani ataweza kuiangusha CCM kwa sura za hawa wakina lisu,mbowe,lipumba,zito,lema wananchi sio wajinga wataona ni kheri zimwi likujualo kuliko hao wapinzani wachumia Tumbo
Hapana tamko tu kama la mbowe kisha kuwauliza kwa kura za mdomo wajumbe anayekubali lowasa awe mgombea aseme ndiooooooooo ama asiyekubali aseme sio kumpitisha mgombea 2015 litatosha..itachapishwa fomu moja tu
Mkuu wew kwa akili zako unadhani lini ccm iliwahi kushinda kwenye box la kura?2025 wapinzani wanatakiwa kuunda chama kipya
Kisiwe chadema, cuf, Act, wala chochote
Wapinzani tunatakiwa tuje kivingine
Tufanane fanane na kule south kwa julias malema au uganda kwa bobi wine
Wapinzani tuunde chama cha vijana
Tuje pamoja kama vijana wa upinzani kutoka vyama vyote vya siasa vyenye baraza la vijana
Mbowe, zito, lisu, lema, msigwa, sugu, lipumba nk
Wote hao zilipendwa awana tena mvuto
Kama tukija na mkakati huo 2925 CCM hii ya samia chaliii
Lakini tukileta tena ubinafsi wa chadema, Act, cuf
Hakuna mpinzani ataweza kuiangusha CCM kwa sura za hawa wakina lisu,mbowe,lipumba,zito,lema wananchi sio wajinga wataona ni kheri zimwi likujualo kuliko hao wapinzani wachumia Tumbo
Hata ikiandikwa katiba hao wanaolaumiwa mara zote ndio watakaohodh mchakato wote wa uandish na wataandika kwa namna wao itakavyowapendeza na ndio maana wameweka pemben kwa sabab wameshaona kuwa hakuna jipyaTume huru na katiba mpya hamtaki kuvisikia ila uchaguzi feki wa tume dhaifu mwautaka hata kesho?View attachment 1939013kwa tume hii na haya maigizo nitawashangaa sana CHADEMA wakikubali kuingia kwenye igizo hili licha ya kurudia kosa zaidi ya mara 4!
Unamaanisha Kenya ambayo Odinga aliapishwa na wenzake km rais wa wananch baada ya kutokukubali matokeo ya uchaguz wa uraisWhat if kungekuwa na tume huru ya uchaguzi kama kenya au Ghana unafikir hawez kushinda? ?
Inatofautiana kidogo tu na chadema linapokuja swala LA nafas ya mwenyekitHata ndani ya chama hakuna upinzani. Nani wa kumpinga Mwenyekiti mmesahau desturi na utamaduni wa CCM?
Kabisa ChiefBibie asipotuibia Kura kwa kutumia Wakurugenzi wake waliobobezwa kwenye wizi wa Kura
Mbowe au Lissu asubuhi tu View attachment 1938961
Ni kweli watanzania wanyonge walio wengi hawako mitandaoni. Ila wanajua huyo mama kawatupa hana mpango nao. Kakumbatia wenye pesa masikini anawatoza matozo, hafuatilii matumizi wala makusanyo ya pesa zetu. Akipita kwenye viziara vyake vichache hasikilizi kero za watu. Yaani yeye hachangamani na masikini wa kawaida. Mama alishafeli labda waibeAsikudanganye kindezi mkuu huyo jamaa. Mama anakubalika sana sana.
Usidanganywe na mitandao. Watanzania hawaishi mitandaoni
lissu hata akipambana na wema sepetu au amber ruty hashindiLisu hata akipambanishwa na Pole pole ataangukia pua tu. Jamaa ameshindwa kuwashawishi watanzania wakipatie chama chake hata wabunge watano, sembuse uraisi!