Ni rasmi sasa 2025 ni Samia vs Lissu?

Ni rasmi sasa 2025 ni Samia vs Lissu?

Mmmh kiukwel huku mtaan mama hakubaliki kabisa ...mi namsupport lkn mtaan hakubaliki watu hawamuelew kabisa...2025 atapata tabu sana
Kwa Katiba hiii na tume CCM hiii na polisi CCM yaan hata CCM waweke mgombea urais awe JIWE,KIVULI AU MBUZI WANATANGAZWA CCM WASHINDI
 
2025 wapinzani wanatakiwa kuunda chama kipya

Kisiwe chadema, cuf, Act, wala chochote

Wapinzani tunatakiwa tuje kivingine

Tufanane fanane na kule south kwa julias malema au uganda kwa bobi wine

Wapinzani tuunde chama cha vijana

Tuje pamoja kama vijana wa upinzani kutoka vyama vyote vya siasa vyenye baraza la vijana

Mbowe, zito, lisu, lema, msigwa, sugu, lipumba nk

Wote hao zilipendwa awana tena mvuto

Kama tukija na mkakati huo 2925 CCM hii ya samia chaliii

Lakini tukileta tena ubinafsi wa chadema, Act, cuf

Hakuna mpinzani ataweza kuiangusha CCM kwa sura za hawa wakina lisu,mbowe,lipumba,zito,lema wananchi sio wajinga wataona ni kheri zimwi likujualo kuliko hao wapinzani wachumia Tumbo
Bila Katiba Mpya na Tume ya Uchaguzi?
 
Upinzani siyo CCM na CHADEMA kwa sasa kwa sababu tunajua CCM itashinda hata kwa bao la mkono. Upinzani anaotakiwa kuufikiria ni wa ndani ya chama
Hata ndani ya chama hakuna upinzani. Nani wa kumpinga Mwenyekiti mmesahau desturi na utamaduni wa CCM?
 
2025 wapinzani wanatakiwa kuunda chama kipya

Kisiwe chadema, cuf, Act, wala chochote

Wapinzani tunatakiwa tuje kivingine

Tufanane fanane na kule south kwa julias malema au uganda kwa bobi wine

Wapinzani tuunde chama cha vijana

Tuje pamoja kama vijana wa upinzani kutoka vyama vyote vya siasa vyenye baraza la vijana

Mbowe, zito, lisu, lema, msigwa, sugu, lipumba nk

Wote hao zilipendwa awana tena mvuto

Kama tukija na mkakati huo 2925 CCM hii ya samia chaliii

Lakini tukileta tena ubinafsi wa chadema, Act, cuf

Hakuna mpinzani ataweza kuiangusha CCM kwa sura za hawa wakina lisu,mbowe,lipumba,zito,lema wananchi sio wajinga wataona ni kheri zimwi likujualo kuliko hao wapinzani wachumia Tumbo
Umenena fact Mkuu
 
itachapishwa fomu moja tu
Hapana tamko tu kama la mbowe kisha kuwauliza kwa kura za mdomo wajumbe anayekubali lowasa awe mgombea aseme ndiooooooooo ama asiyekubali aseme sio kumpitisha mgombea 2015 litatosha..
 
2025 wapinzani wanatakiwa kuunda chama kipya

Kisiwe chadema, cuf, Act, wala chochote

Wapinzani tunatakiwa tuje kivingine

Tufanane fanane na kule south kwa julias malema au uganda kwa bobi wine

Wapinzani tuunde chama cha vijana

Tuje pamoja kama vijana wa upinzani kutoka vyama vyote vya siasa vyenye baraza la vijana

Mbowe, zito, lisu, lema, msigwa, sugu, lipumba nk

Wote hao zilipendwa awana tena mvuto

Kama tukija na mkakati huo 2925 CCM hii ya samia chaliii

Lakini tukileta tena ubinafsi wa chadema, Act, cuf

Hakuna mpinzani ataweza kuiangusha CCM kwa sura za hawa wakina lisu,mbowe,lipumba,zito,lema wananchi sio wajinga wataona ni kheri zimwi likujualo kuliko hao wapinzani wachumia Tumbo
Mkuu wew kwa akili zako unadhani lini ccm iliwahi kushinda kwenye box la kura?
 
Hii kauli imekuja na utata ufuatao.
1. Akiwaapisha viongozi aliowateua alionya watu kuanza harakati za uraisi kabla ya muda. Sasa mbona yeye anavunja kauli yake mwenyewe? Wengine wakianza sasa is itakuwa vurugu? Nani alaumiwe?
2. Hizi kauli za wanawake wajipange hajui ina madhara kwake? Kwa hiyo yeye ni raisi wa wanawake au kura za wanaume hazitaki? Kiongozi wa ngazi yake anapaswa kuwa mwangalifu na kauli za kijinsia au ubaguzi wowote maana kila kura anaihitaji ili kushinda.
3. Watu mtaani wanafuatilia kwa makini watu wa karibu yake na kauli zao na anavyogawa raslimali za nchi kati ya mikoa na kati ya bara na visiwani.
Mambo ni mengi...

Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
 
Bila tume huru CCM hata wakiweka mbuzi lazima ashinde
 
Tume huru na katiba mpya hamtaki kuvisikia ila uchaguzi feki wa tume dhaifu mwautaka hata kesho?View attachment 1939013kwa tume hii na haya maigizo nitawashangaa sana CHADEMA wakikubali kuingia kwenye igizo hili licha ya kurudia kosa zaidi ya mara 4!
Hata ikiandikwa katiba hao wanaolaumiwa mara zote ndio watakaohodh mchakato wote wa uandish na wataandika kwa namna wao itakavyowapendeza na ndio maana wameweka pemben kwa sabab wameshaona kuwa hakuna jipya
 
What if kungekuwa na tume huru ya uchaguzi kama kenya au Ghana unafikir hawez kushinda? ?
Unamaanisha Kenya ambayo Odinga aliapishwa na wenzake km rais wa wananch baada ya kutokukubali matokeo ya uchaguz wa urais
 
Jana nilikuwa napita mahali nikasikia..tutamsimamisha mwanamke…nitagombea…tumuunge mkono… tujitokeze kwa wingi…Kulikoni kampeni zimeanza tayari au?
 
Asikudanganye kindezi mkuu huyo jamaa. Mama anakubalika sana sana.

Usidanganywe na mitandao. Watanzania hawaishi mitandaoni
Ni kweli watanzania wanyonge walio wengi hawako mitandaoni. Ila wanajua huyo mama kawatupa hana mpango nao. Kakumbatia wenye pesa masikini anawatoza matozo, hafuatilii matumizi wala makusanyo ya pesa zetu. Akipita kwenye viziara vyake vichache hasikilizi kero za watu. Yaani yeye hachangamani na masikini wa kawaida. Mama alishafeli labda waibe
 
Ina maana chief hangaya ana uhakika wa kupata tiketi ya kuwakilisha chama chakavu? au ndo maana kaanza kupanga timu ambayo ipo affiliated na msoga gang, naona rizmoko naye akitimba ndani kuipa nguvu timu ya 2025, yetu macho na masikio. Miaka yote wamevuruga uchumi na jiwe na sasa nchi inaendeshwa kwa tozo, lakini mtu bado anaota urais, ni shida sana.....
 
Back
Top Bottom