Ni red flags zipi ukiziona kwenye mahusiano mapya unaanza kutafuta mlango wa kutoka?


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaa sitawezana hata kama mm ndo ningekua demu wako[emoji174][emoji174][emoji112][emoji112]
 
Demu huninyonyi ub** tunaachana
Aisee Kweli nilishangaa kuna siku Mtt nampa Koni anyonye eti anasem hajazoea, kumlazimisha sana Kuiweka mdomoni kwann asianze kuipitisha kwny Meno mm huku Full maumivu nkamwambia tu bas inatosha,

Tangu siku hiyo kabla ya Kudate na dem yyte namuuliz kabs umekubaliana na kipengele cha Kunyonya koni ama La? Maan mm hyo nd Fantasy yangu

NB: Huyo dem aliyeshndwa kunyonya Nilimtakia Maisha mema maan nilijua tu Hatutowezana
 
ogopa sana mwanamke anayekuambia ana ndoto zake kuubwa afu ukimcheck hana mwelekeo huyo atakua mwanamke mwangaikaji na sio mtafutaji

ogopa mdada anayefanya network marketing huyo ashakua brainwashed kumrejesha ni kazi

Ogopa mdada ambaye hapindui kwa mama yake, remote ya ndoa yenu itakua kwa mamamkwe

Ogopa mdada anayefanya maamuzi muhimu kwa siri bila kukushirikisha huyo atabomoa ndoa bila wewe kujua
 
 
Haaaaa
 
Demu akisema mie marafiki zangu wengi wakiume.

Mara wanaume wote ni mbwa.

Mie mwanaume akicheat lazima nitalipiza.

Mwanaume bahili mie siwezi date nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…