Ni red flags zipi ukiziona kwenye mahusiano mapya unaanza kutafuta mlango wa kutoka?

Juzi: baby naumwa naona uvivu.
Jana: baby naumwa umwa naenda hospital
Leo: baby naumwa umwa sijisikii
Kesho: baby naumwa kichwa sipo Sawa
Kesho kutwa: baby naumwa sijui nini sijielewi mwili umechoka.

Mabinti wanaona fashion kuumwa ili utoe pesa,
Akili yangu ishapima hakuna mwanamke hapo asije akapass genes za magonjwa ya ovyo ovyo kwa wanangu so nalala mbele mapema.
 

Haaa jamn mtutake radhi simu ya nani????
 
Kuna mmoja alinikata maini kabisa yule mshenzi kila mda ni In & Out pumbavu akitaka Pesa baby hunny nyingi sana ukichomoa anafuta mnakua washkaji nikajua tu huyu ni MCHIMBA MADINI piga CHINI
 
Upendo wa aina hiyo ulisha ondoka na mafuta ya yolanda.
 
AU KILA SIKU ANAKUJA GETO HATAKI KUFANYA USAFI AU AKISIKIA KUPIKA ANAANZA MILIO HASA KUPIKA UGALI ANATAKA AKAANGE CHIPSI TU
 
6.Kutopokea simu
7.Simu kuwa bize mda wote
9.Excuse kila unapoomba appointments.
10.Kuwa na Makaka/Bamdogo Wengi.
11.etc,...
 
Hili nalo neno kweli kabisa hapo utajua unapendwa hupendwi.
Nhoja nifanye hii kwa hii pisi kali. Hannah nimepata litmus test ya yule pisi kali. Nitakupa mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…