binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Kama ni mke wako muwezeshe asipande bodaboda. Atumie usafiri gani zaidi ya boda boda?Ke wengi hawapendi kulipia gharama ya huduma. ili apate huduma ya usafiri wa bodaboda bure anatoa kitumbua.
nitamfanya apende kulipia huduma. asipende vya bure.Kama ni mke wako muwezeshe asipande bodaboda. Atumie usafiri gani zaidi ya boda boda?
Wanaopenda vya bure maana yake hana hela ya kutosha.nitamfanya apende kulipia huduma. asipende vya bure.
Demi sio hivyoo shida ni moja unakuta kunawanawake wanapatwaga na haja wakiwa na mwanaume yeyote.Wanaopenda vya bure maana yake hana hela ya kutosha.
Inawezekana kabisa...nakuelewa😀Demi sio hivyoo shida ni moja unakuta kunawanawake wanapatwaga na haja wakiwa na mwanaume yeyote.
Halafu wengine hawanaga mipaka niyeyote twende , nawengine inawabidi kuwakubali kisa wamesubiri sana wapenzi wao wawatimizie wanachelewa so wao wapo karibu
Kwani boda boda hawahitaji hiyo kitu?kwa utafiti mfupi nilioufanya nimegundua akina dada wengi hasa wake za watu wanadate na mabodaboda.
kwa anaejua chanzo cha akina Dada kutokwa macho kwa mabodaboda anijuze haraka sana kuna maamuzi nataka kuyachukua.
nakuja dadyMtoto mzuri njoo Pm ubadili wazo la kua single tuwe Multiple in a single R/ship
Utashangaa unaitwa unakiburi sijui unajisikia kumbe ni hiyo DHARAU ulonifanyiaWatu hawaelewi ...mwanamke atakusamehe yote Ila dharau hata aje papa akuombee msamaha yaani hauta fanya kitu ....na hasahau kamwe
We toka hapa acha uongo. Ni wako labda, koma kujumuisha.Watu hawaelewi ...mwanamke atakusamehe yote Ila dharau hata aje papa akuombee msamaha yaani hauta fanya kitu ....na hasahau kamwe
Oya umesema halia tako la nyani eeh ?Hapana naongea hivi kwa sababu ya jamaa zangu ninao fahamiana nao wanafanya kazi hiyo..... weekend wakitulia kwenye halia tako la nyani utawakataa.
Wanabajaji uchafu barabarani hiyo jioni wanavyo panga mstari kuja kuleta marejesho utashangaa.
Lakini chanzo Cha yote hayo ni pkpk
Naona umeni ignore demi, why?Inawezekana kabisa...nakuelewa[emoji3]
Wapi jamaniNaona umeni ignore demi, why?
Mmmh hujani block kweli?Wapi jamani