Ni sababu ipi ya paka kumtesa panya kwa kumchezea badala ya kumuua haraka?

Panya hawana adabu wanastahili adhabu kwakuwa ni wasumbufu sana,wametafuna nyaya za spika kweny bufa,nguo zang wametafuna cha ajab anatoboa kidogo tu anaiacha anatafuna nyingine
Hiyo ni stail nzuri ya kuadhibu vitu kama ivyo hata mwizi tu ukimkamata njia nzuri ya kumuadhib ni kumkata kidog kidog ili hasira zipungue ..
 
Paka anatufundisha wanaume tusiwagegede wanawake kabla hatujawafanyia romansi...

Maandalizi ni muhimu kabla ya mgegedo.

Nadhani nimeeleweka hasa pale ambapo huyu mnyama anaitwa "pussy"

Ngoja nimalizie K Vant yangu nilale
Aisee kidogo nishangae kwa maana aya ya mwisho ilivyoandikwa lazima nitakutana na post ya namna hii kuscroll tu naumana nayo
 
 
Paka anatufundisha wanaume tusiwagegede wanawake kabla hatujawafanyia romansi...

Maandalizi ni muhimu kabla ya mgegedo.

Nadhani nimeeleweka hasa pale ambapo huyu mnyama anaitwa "pussy"

Ngoja nimalizie K Vant yangu nilale
Nimeipenda sentesi ya mwisho kuhusu kvant!
 
Paka anaona yule anaemfuga ndio kijakazi wake


Yaani wewe ndio anakufuga namkumbuka motii wangu nilikuwa namchanganyia bangi kwenye dagaa wa kopo
Usije ukafanya hivyo lwa dogi. Rex shenzy sana, msokoto mmoja tu wa bangi akafumua banda la kuku na kuwatanguliza kuku wote mbele ya haki. Walale pema peponi kuku wangu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…