Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Wwnakupa twisheni wanakuona boya kwa unayomfanyia mwenza wako[emoji1787]Kama kuna kitu kitu huyo mnyama ananiudhi basi ni yale makelele yao ya kubembelezana kama binadamu. Yaani wanapenda kuharibu usingizi wa watu kwani wanapenda kubembelezana usiku mwingi hata ukiwafukuza muda mfupi wanarudi na kelele zaidi ya za mwanzo wakati mwingine nahisi ni kama wanafanya makusudi kuharibu usingizi wangu.