Ni sababu zipi zinazofanya kupotea kwa Ben Rabiu Saanane lionekane ni jambo dogo mbele ya vyombo vya dola?

..Magufuli alikuwa muoga.

..ndio maana alikuwa ameufyata wakati wa Mkapa na Kikwete.

..angekuwa sio muoga asingesubiri awe na cheo au madaraka ndipo atetee rasilimali zetu.
Hujui ulichokiandika. Magufuli alikuwa waziri tu katika serikali zote mbili na pengine hakuwa amepanga kugombea urais siku moja akipata nafasi.

Tunapanga kwa uwezo wa akili zetu wakati huo huo Mungu anapanga kwa ukubwa na upekee wa uumbaji wake.
 
Aisee hii nchi kuna watu wana taarifa nyeti sana (kama huu mfano ni valid).
 
Huelewi mjadala umeanzia wapi. Issue ni kwamba ali FORGE chapisho la muswaada wa PhD. Kuwa kwenye orodha ya wahitimu wa mwaka huo siyo hoja ya kubisha

Una maanisha taasisi haikujua kwamba alifanya hivyo, mpaka wakamtunuku shahada ya uzamifu!? Lakini wewe umeweza kutambua!?
 
Mkuu hii issue ni VALID. Ndiyo maana hakuna hata mmoja ameweza kui challenge, ukiacha yule aliyemtaja Kubenea kuwa alikuwa anajuwa Ben Saanane aliko
Makonda akitaka laana isimwangukie yeye na vizazi vyake,aonyeshe walipo mhifadhi,familia impumzishe kwa heshima,naye aombe radhi akimsukumia mzigo aliyemtuma.
Kama 7ya
 
Usitafute vijisababu ku justify makosa ya DIKTETA. Ndege za ATCL hazikuwapo kabla ya Magufuli, kwani tulikuwa hatusafiri?

Kwanza ilikuwa cheap kusafiri na Fast Jet kwa Tsh 90,000 Mwanza -Dar kuliko sasa ATCL kwa Tsh 300,000+

Ila Steven Joel Ntamusano bado uko kwenye blanketi la Mwendazake maana hata CAG ameripoti kuwa ATCL ni loss making parastatal kwenye 2020/21 report.

Kwani huyo Twiga inayemtamani hawezi kuruka kwenye private company kwa makubaliano ? Kama ilivyo British Airways au American Airways?
 
TWIGA ni nembo ya nchi lazima ataruka hata kama kina fast jet wapo sokoni. Hakuna taifa lisilokuwa na shirika lake la ndege, zipo sababu nyingi za kuwa nalo.

Nyerere alipofariki mwaka 99 mwili wake ulifuatwa na ATC kutoka London Uingereza ukaletwa na ndege mpaka Dar, ni heshima kwa taifa kufanya tukio lile.

Kwa taifa lenye wataalam wa anga wenye maono mengi huwezi kukwepa kumiliki national carrier.

Shirika la ndege lilikuwa limejifia kabla ya JPM kuingia ikulu na huo ndio ukweli, alikuta lina ndege tatu tu na zenyewe hazieleweki zinafanya nini, akaanza kulifufua kwa ujasiri wake huku akikataa kusikiliza kelele za wajuaji wengi wa Tanzania.

Kuwa cheap wakati shirika halifuati misingi ya uendeshaji yenye kueleweka ni kujidanganya tu. Hizo hasara zinazotajwa na CAG huenda zikipungua mwaka baada ya mwaka kumbuka kabla ya JPM shirika lilikuwa mahututi hivyo madeni ya miaka ya nyuma ni lazima yashughulikiwe kwanza ili faida halisi ianze kuonekana.
 
Kumbe unajua kila kilichofanyika kafungue kesi basi,
 
Umesahau na kushambuliwa kwa Lissu
 

Copy unayo tuione?
 
And the list goes on;
Lissu assassination attempt.
Azory Gwanda abduction.
AZORY.......
KIBITI TERRORISM......

Kuna swali huwa najiuliza kwa tafakuri yadidi........ PALE KIBITI hali haikuwa shwari, watu wameuwawa, wametekwa , wamepotea....... risasi za usiku na mambo mengine mengi........ KIBITI huko huko ambako viongozi wa vijiji, misikiti na wale wa CCM wamepitia madhila makubwa..... hukohuko KIBITI Azory naye yakamkukta..... cha ajabu kelele ikawa kwa mtu mmoja tu na si wale wengine kana kwamba wale wengine ni "manyani" (samahani ktumia neno hili) Azory ni binadamu na wale wengine pia ni binadamu, ila inashangaza kuona kuwa kwenye sehemu kama Kibiti ambako palikuwa pamechafuka........ watu wanataja mtu mmoja tu..... KUNA NINI MNACHOKIJUA ambacho sisi wengine hatukijui?????

TOKA WAKATI HUO KIBITI PAKATULIA............
NINI USHIRIKI WENU NA MACHAFUKO YA KIBITI??? (nyie mnaojua)/
 
Chuo kinagunduaje wakati kimekuwa corrupted? Mbona wewe eliakeem kichwa chako kigumu kuelewa? Hivi umesoma hata O-Level wewe? Ulipasi vipi mitihani?

Chuo kiko corrupted!? Huh, dat iz very serious allegation. Lkn una haki ya kutoa hisia zako. Maana miaka yote hatujawahi sikia kadhia hizo. Mimi nimesoma hapo zaidi ya miaka 25 iliyopita lkn sikuwahi sikia hicho kitu. Pia regulator (TCU) hawajawahi tilia shaka uaminifu wa chuo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…