Moment of silent
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 1,049
- 1,797
Kwani ukiwa mke wa pili shida ipo wapi?Mada kama hizi zinatutisha sie tunaodate na single faza wanaume wenyewe waongo waongo anakwambia ameachana na mama mtoto kumbe holaa…
Sina cha kusema kama miaka 8 hamfungi ndoa sijajua shida yenu
Najua mwanaume akipenda hachelewi kutangaza nia sasa nyie kinachowaweka nafikirii ni watoto