Ni sahihi kuachana na mwanamke uliyemzalisha watoto wawili?

Kulewa na kumpiga mke ni makosa, ilitakiwa unatoka baa unamletea kamshikaki, au vichips na nyama choma au hata sambusa basi mnapiga stori mnafurahi.

Pamoja na kuwa hata mimi nakunywa but kumpiga sisapoti kabisa, kama ana makosa unasubiri asubuhi ndio unamkanya, hiyo kupiga unaweza jikuta umeuwa ukajuta your whole fu.cking life.
 
Ninaamini ikipatikana nafasi ya mkeo kusema aliyokuwa anayavumilia toka kwako naamini ni mengi mno pia..!!

katika viumbe wavumilivu ni wanawake, tena hata habari za uchepuzi hana maskiini dada wa watu, vuta kidosho nyingine uje kutuomba ushauri wa kuruka ruka kwake kama popcorn tukushauri tena..!!

Waonee huruma wanao, wanaenda kuishi maisha ya aina gani bila Baba yao, hata kama Mama yao angekuwa na kazi ya kueleweka ila bado 'Presence' ya Baba na malezi yako ni muhimu mno kwenye mustakabali mzima wa maisha yao..!!

Sidhani kama kuna kitu kinashindwa kuzungumzika na 'kusolvika' baina yako wewe na mwenzio, wanaokushauri wengi humu na wenyewe wana changamoto zao nyingi kuliko hata zako, hivyo mtu isipomfaa akili yake basi utamdhuru ujinga wake..!!
Mungu akuzidishie kwa kila unalohitaji
 
Kadai haki yako Dawati la jinsia na watoto Ustawi wa Jamii.

Watoto ni muhimu sana kwako by any circumstances
Habari zenu wakuu?
Kwa wale wakatoliki poleni sana kwa msiba wa papa Francis.
Issue yangu iko hivi,kuna mwanamke nilikua naishi nae,huu ni mwaka wa 7 au 8 kama sikosei,tumebahatika kupata watoto wawili.hatuna ndoa but nilitaka mwaka huu tubariki.
Huyu mwanamke kwa suala la uaminifu sina shaka nae kabisa,kwani sijawahi kumhisi kwa lolote baya.
Sasa mwaka huu haujaanza vizuri kwa upande wetu,tumekua nin watu wa kununiana sana kwa mambo madogo madogo tu.
Sasa last month kuna siku nimerudi home niko tungi,sijui alinisemesha kitu gani kwa kweli nilimkungu'uta sio poa,usiku huo huo akakimbilia kwa ndugu zake,kesho yake akarudi nyumbani na kirikuu akachukua kila kilicho chake akasepa kwao kukaa pamoja na watoto .
Nilimsihi sana asiondoke ila akasema amechoka na maisha tunayoishi na kanivumilia sana.
Basi akaondoka na watoto,so huko aliko sijui wanakula nini wala sijui kama wanaenda shule yani niko sina taarifa zao,hakuna ndugu yake hata mmoja aliyenipigia kuniuliza imekuaje binti yao karudi nyumbani mpaka leo.
So mimi wasiwasi wangu ni hao watoto sijui kama wanapata huduma sahihi kwani mama yao hana kazi ya kueleweka.
Sasa wakuu,tusaidiane mawazo,ntakua sahihi kumuacha huyu mwanamke ambae tayari nimemzalisha watoto wawili?if not,nitumie mbinu gani kuyajenga nae ili arudi nyumbani?
Note:sikua tayari kuzaa na wanawake tofauti na huyu katka maisha yangu,but kwa scenario hii naona kuna dalili nikatafuta kidosho mwingine tukazaa tena.
Naomba maoni yenu yenye busara hapa,matusi pia yanakaribishwa kwa mikono miwili.
 
Hamna kosa wazazi wanafanya Kama kumpokea Binti Yao baada ya ugomvi na mumewe, afu wanakata nae bila taarifa.
 
Hii kitu Kama ulivoisimulia,

Iliwai mtokea dada angu na mumewe,

Ilkua skukuu shemej alilewa akamzaba makofi sister

Sister kaghadhabika kabeba Nguo zake na watoto wake kaenda Kwa dada ake kibaha.

KULE kibaha wakaa nae bila kumtaarifu shemej, wakitegemea atakuja kubembeleza kumfata mkewe na wototo.

Sister nae anajijua kaondoka na mimba, Ila eti kamnunia shemej na hajamwambia kua kaondoka na mimba yake

Siku za kujifungua zimekaribia, ndo sister anarudi Kwa shemej. Shemej anarudi Toka kazn anamkuta mkewe sebleni anatumbo kubwa sana. Jamaa kahamaki na kamtimua Kwa ugomvi mkubwa mno, akiamini mimba Sio yake.

Vikao tumekaa kusuluhisha Ila wapi, ustawi wakasisitiza Moto akizaliwa apimwe DNA,

Ila mpk DNA majibu yanatoka, Ile ndoa tyr ilishakufa MDA Sana, maana meji alishafaili divorce mahakamani Kwa njia anazojua yeye (rushwa) Na sister hajaambulia kitu.

Ndugu tukaanza changishwa Ela za wakili kesi ikatiwe rufaa, ila tunakoenda Ela znazidi kuteketea na kesi Haina mwelekeo. (Mi mwnyw nilichoka nikajitoa kuchangia kesi isiyo na mwisho).

Wale watoto wawili kamnyanganya kapeleka boarding, sahivi anahudumia yule kichanga Kwa mujibu WA Sheria. Pesa anayomtumia sista ni ndogo mno.

Kwasasa sister ndo anaehangaika.

MEJI NASKIA KESHAOA MKE MWNGN
 
We endelea kuendekeza pombe, mwanamke kachoka kuishi na mlevi kwahiyo kakuachia muda wa ku focus kwenye pombe
 
Uko free kuja kujiandikisha hapa na hujui watoto wako wanakula nini na wanalala wapi ? Aisee wanaume wengine bhana...

Nitaendelea kumpenda na kumshukuru baba yangu milele. Hata alipoachana na mama yangu nikiwa bado katoto,hakuniacha na mama

Baba yangu alinichukua na alinipatia kilakitu hata leo nimekua dada mkubwa...
 
Hii kitu Kama ulivoisimulia,

Iliwai mtokea dada angu na mumewe,

Ilkua skukuu shemej alilewa akamzaba makofi sister

Sister kaghadhabika kabeba Nguo zake na watoto wake kaenda Kwa dada ake kibaha.

KULE kibaha wakaa nae bila kumtaarifu shemej, wakitegemea atakuja kubembeleza kumfata mkewe na wototo.

Sister nae anajijua kaondoka na mimba, Ila eti kamnunia shemej na hajamwambia kua kaondoka na mimba yake

Siku za kujifungua zimekaribia, ndo sister anarudi Kwa shemej. Shemej anarudi Toka kazn anamkuta mkewe sebleni anatumbo kubwa sana. Jamaa kahamaki na kamtimua Kwa ugomvi mkubwa mno, akiamini mimba Sio yake.

Vikao tumekaa kusuluhisha Ila wapi, ustawi wakasisitiza Moto akizaliwa apimwe DNA,

Ila mpk DNA majibu yanatoka, Ile ndoa tyr ilishakufa MDA Sana, maana meji alishafaili divorce mahakamani Kwa njia anazojua yeye (rushwa) Na sister hajaambulia kitu.

Ndugu tukaanza changishwa Ela za wakili kesi ikatiwe rufaa, ila tunakoenda Ela znazidi kuteketea na kesi Haina mwelekeo. (Mi mwnyw nilichoka nikajitoa kuchangia kesi isiyo na mwisho).

Wale watoto wawili kamnyanganya kapeleka boarding, sahivi anahudumia yule kichanga Kwa mujibu WA Sheria. Pesa anayomtumia sista ni ndogo mno.

Kwasasa sister ndo anaehangaika.

MEJI NASKIA KESHAOA MKE MWNGN
Aisee
 
Habari zenu wakuu?
Kwa wale wakatoliki poleni sana kwa msiba wa papa Francis.
Issue yangu iko hivi,kuna mwanamke nilikua naishi nae,huu ni mwaka wa 7 au 8 kama sikosei,tumebahatika kupata watoto wawili.hatuna ndoa but nilitaka mwaka huu tubariki.
Huyu mwanamke kwa suala la uaminifu sina shaka nae kabisa,kwani sijawahi kumhisi kwa lolote baya.
Sasa mwaka huu haujaanza vizuri kwa upande wetu,tumekua nin watu wa kununiana sana kwa mambo madogo madogo tu.
Sasa last month kuna siku nimerudi home niko tungi,sijui alinisemesha kitu gani kwa kweli nilimkungu'uta sio poa,usiku huo huo akakimbilia kwa ndugu zake,kesho yake akarudi nyumbani na kirikuu akachukua kila kilicho chake akasepa kwao kukaa pamoja na watoto .
Nilimsihi sana asiondoke ila akasema amechoka na maisha tunayoishi na kanivumilia sana.
Basi akaondoka na watoto,so huko aliko sijui wanakula nini wala sijui kama wanaenda shule yani niko sina taarifa zao,hakuna ndugu yake hata mmoja aliyenipigia kuniuliza imekuaje binti yao karudi nyumbani mpaka leo.
So mimi wasiwasi wangu ni hao watoto sijui kama wanapata huduma sahihi kwani mama yao hana kazi ya kueleweka.
Sasa wakuu,tusaidiane mawazo,ntakua sahihi kumuacha huyu mwanamke ambae tayari nimemzalisha watoto wawili?if not,nitumie mbinu gani kuyajenga nae ili arudi nyumbani?
Note:sikua tayari kuzaa na wanawake tofauti na huyu katka maisha yangu,but kwa scenario hii naona kuna dalili nikatafuta kidosho mwingine tukazaa tena.
Naomba maoni yenu yenye busara hapa,matusi pia yanakaribishwa kwa mikono miwili.
Fata taratibu umuoe bna miaka yote hyo labda kachoka ndo maana mwaka mmeanza vibaya.
 
Miaka nane ni mingi sana mlipaswa kua mmeshaoana

Lakini pia kwa muda huo mmeshazoeana sana itawawia vigumu sana kutengana hata kama hamna ndoa lakini tayari mmeshatengeneza bond nzuri sana

Malezi mazuri ya watoto ni ya baba na mama Kwa pamoja,msitengane muwalee watoto wenu pamoja

Mwisho kabisa nawasihi mfunge ndoa lakini pia acha pombe kijana

Hapo hamna mke kaka.

Tafuta mwanamke mwingine oa, chukua watoto wako lea. Ila usidhubutu kumchukua huyo mwanamke.

Ukishubutu kumchukua na kufunga naye ndoa. Ndoa yenu haitadumu zaidi ya miaka miwili.
 
Wewe kweli kenge yani mke ushinde unalewa mitaputapu yako kisha urudi home umpige aendelee kukuvumilia??
Unawaza kupitia nini? Kibamia? 😥
Kwa nini hizi vurugu zenu msizifungulie uzi wenu mkatukananiane huko kuliko kuja huku kuharibu nyuzi za watu wakuu?
 
Hii kitu Kama ulivoisimulia,

Iliwai mtokea dada angu na mumewe,

Ilkua skukuu shemej alilewa akamzaba makofi sister

Sister kaghadhabika kabeba Nguo zake na watoto wake kaenda Kwa dada ake kibaha.

KULE kibaha wakaa nae bila kumtaarifu shemej, wakitegemea atakuja kubembeleza kumfata mkewe na wototo.

Sister nae anajijua kaondoka na mimba, Ila eti kamnunia shemej na hajamwambia kua kaondoka na mimba yake

Siku za kujifungua zimekaribia, ndo sister anarudi Kwa shemej. Shemej anarudi Toka kazn anamkuta mkewe sebleni anatumbo kubwa sana. Jamaa kahamaki na kamtimua Kwa ugomvi mkubwa mno, akiamini mimba Sio yake.

Vikao tumekaa kusuluhisha Ila wapi, ustawi wakasisitiza Moto akizaliwa apimwe DNA,

Ila mpk DNA majibu yanatoka, Ile ndoa tyr ilishakufa MDA Sana, maana meji alishafaili divorce mahakamani Kwa njia anazojua yeye (rushwa) Na sister hajaambulia kitu.

Ndugu tukaanza changishwa Ela za wakili kesi ikatiwe rufaa, ila tunakoenda Ela znazidi kuteketea na kesi Haina mwelekeo. (Mi mwnyw nilichoka nikajitoa kuchangia kesi isiyo na mwisho).

Wale watoto wawili kamnyanganya kapeleka boarding, sahivi anahudumia yule kichanga Kwa mujibu WA Sheria. Pesa anayomtumia sista ni ndogo mno.

Kwasasa sister ndo anaehangaika.

MEJI NASKIA KESHAOA MKE MWNGN
Duh,hatari sana hii mkuu
 
Kama hajakucheat, hakudharau watoto wote ni wako Yaani pengine alikuulza kuhusu pombe usimuache. Pia kuendelea kukaahuko alipo anaweka gepu la shetani kuingia. Nenda kanchukue mara ya kwanza, ya pili na yatatu. Akikata a na hapo angalia njia nyingine.
 
Wewe ndio shida, unaanzaje kumpiga mtu mzima mwenzio ambaye umesema na umekiri kuwa unamuamini sio muhuni, kwahiyo wewe unajisikia tu kumpiga mtoto wa mtu bila sababu.

Inahuzunisha sana
 
Mtu ushamzalisha watoto wawili ,unataka umuache kisha nani amuoe sasa?nyie ndo mnaongeza idadi ya single maza hapa nchini.
Mrudishe huyo mkeo nyumbani mlee watoto.
 
Note:sikua tayari kuzaa na wanawake tofauti na huyu katka maisha yangu,but kwa scenario hii naona kuna dalili nikatafuta kidosho mwingine tukazaa tena.
Naomba maoni yenu yenye busara hapa,matusi pia yanakaribishwa kwa mikono miwili.
Kwanini ulimpiga zilikua pombe au ulikua na matatizo yako binafsi ya akili?
 
Sawa mkuu,this is well noted.
Mfuate ukaongee nae umueleweshe usiende kwa nia ya ugomvi au ukiwa umelewa na hio mipombe inayokupelekea kugeuza mwanamke km punching bag uache kuanzia leo, ungerekodiwa ukiwa unampiga na ingetupwa mtandaoni nina hakika Dkt. Gwajima D lazima angekushukia na Dawati la Jinsia huko huko ulipo na Sheria zingefuata mkondo wake
 
Mada kama hizi zinatutisha sie tunaodate na single faza wanaume wenyewe waongo waongo anakwambia ameachana na mama mtoto kumbe holaa…

Sina cha kusema kama miaka 8 hamfungi ndoa sijajua shida yenu

Najua mwanaume akipenda hachelewi kutangaza nia sasa nyie kinachowaweka nafikirii ni watoto
 
Back
Top Bottom