Mada kama hizi zinatutisha sie tunaodate na single faza wanaume wenyewe waongo waongo anakwambia ameachana na mama mtoto kumbe holaa…
Sina cha kusema kama miaka 8 hamfungi ndoa sijajua shida yenu
Najua mwanaume akipenda hachelewi kutangaza nia sasa nyie kinachowaweka nafikirii ni watoto