Ni sahihi kufanya mapenzi kwenye gari?

Wanasema eti mikosi...🀣🀣
 
Pawe na faragha tu...hilo ni tendo la siri...pasiwe na uwezekano wa mtu yoyote kuhisi chochote.
Shida usafi baada ya tendo..mazingira ya gari yako limited..kuna harufu ya jasho, watu mnatanua maungo yenu huko, viharufu vinaibuka...
Mazingira ya gari yako limited sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…