Ni sahihi kulea mtoto wa Kambo?

One mistake one Goal.

Kila siku Natafuta ajira anawafundisha nyie mmekaza mafuvu.
 
Hizi ni akili za za vijana wasiojiamini wajinga wa JF, pumbaf sana
Kwangu Mimi ni ngumu sana. Hii Kwa usalama wangu na hata familia yangu. Mwanamke akiwa na mawasiliano mazuri na mzazi mwenzake na ukawa na ukwasi jamaa akimrubuni wife wako aondoe uhai wako walee mtoto wao ni kugusa tu.
 
Issue ni msela kuwepo karibu. Yaani wife au jamaa kuonana ni kugusa tu na kila siku huku mtandaon unasikia Huwa hawaachani kamwe!

Hii inauma sana
Hiyo ni makubaliano yako na mke wako, Kama hutaki huyo jamaa awe karibu chukua mtoto. Huku mitandaoni kila mtu anajua kila kitu, choose wisely
 
Ni wapi baba wa mtoto kashindwa?
 
Mimi nashauri ampige chini huyo maza ili awe huru kumlea mtoto wake
 
Kuna mazingira ukimtazama baba mzazi unaona kabisa hana madhara.

Mfano Mtu anashinda kwenye baa za pombe kali za kienyeji kalewa chaka chaka 24/7 kachoka mara aokotwe mitaroni una hofu nae wa nini na mzazi mwenzie umempa watoto na maisha mazuri?
Siku akiacha ukevi akarudi kwenye form atamchukua mke wake
 
Reactions: Tsh
Hapo kwenye mkeo kwenda kumuona mtoto kuna ukakasi na uko comfortable tu??

Mfano wa wanaosema eti lea kama unalea yatima ni batili, huyo si yatima baba yake yupo acha upimbi, na pia eti huwez jua atakuja kua msaada kwako... ujinga, kusaidia kwa kutegemea fadhila hujui utakufa lini au hatima yenu anaweza asisaidie pia

Mwisho chukua ushauri wa wanaume tu ndo realistic upande ule watavutia upande wao. Ni sawasawa unaenda kwa wanasiasa wetu unawauliza hv ni sawa kufuja na kuiba mali za umma yatasema ni sawa coz almost yote majizi.
 
Ukiweza mlee ukishindwa acha.

Mtoto wa kambo alivunja ndoa.
Mtoto wa kambo alinifikisha mahakamani na pension yangu ikaishia huko ila kesi nilishinda.

Mtoto wa kambo nanawa mikono.
 
Ni wapi baba wa mtoto kashindwa?
mtoto kuteseka ni dalili za kuzidiwa na majukumu, lakini pia ni her mtoto akalekewa na baba wa kambo sio mama, wanawake wana roho mbaya kwa watoto
 
Humu wanaokushauri usimlee mtoto ukitrace historia zao wamelelewa na baba za kambo....akili mtu wangu!
 
Mlee vizuri kadiri utakavyoweza. Hiyo ni kama sadaka huwezi jua, mwenyezimungu atakubariki.
 
Kama mtoto wa dadaako, kakaako au ndugu yako mwingine unaweza kumsomesha, UNASHINDWAJE KUKAA NA KAKA AU DADA WA MTOTO WAKO AMBAYE AMEZALIWA TUMBO MOJA NA MWANAO???
 
Changamoto ni mazoea tu kati ya baba mtoto na mama mtoto, nje ya hapo sioni kama kuna tatizo wewe kumlea.
 
Siku akiacha ukevi akarudi kwenye form atamchukua mke wake
Atamkuta akiwa na watoto wengine wa3, kuna ubaya gani na mitoto mibichi imejaa kibao? Kung'ang'ania mwanamke ni tatizo la saikolojia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…