Chujio
JF-Expert Member
- Jun 17, 2013
- 1,368
- 2,108
Kwa hiyo ndugu mdau, kinachokutesa ni kwamba mwamba kule atapata unafuu sababu 'mzigo' wa kulea utakuwa kwako?
Roho mbaya tu, una kiroho cha kwanini. Haya tuseme mama akamchukua akae nae. Utakuwa na amani kuruhusu baba yake mtoto kufanya mawasiliano na mkeo na kutuma hela za matunzo kwa mkeo? Unate geneza mwanya wa mambo mengine
Wewe hudumuia, lea kama mtoto wa ndugu yako mwingine yoyote, likizo ataenda akae kwa baba yake na ndugu zake wengine. Haipunguzi uanaume wako. Huyo mama hatakusamehe kwa kumtenganisha na mtoto wake na hali anaona anateseka kwa mama wa kambo na yeye yupo hai.
Na mtoto vile vile bado mdogo sana. Anamuhitaji mama kuliko baba kwa hatua aliyopo kimaisha. Ndio maana sheria za nani akae na mtoto zinaweka wazi watoto chini ya miaka 7 ni sawa na haki kabsa wakae na mama kwaajili ya malezi sababu ndicho wanacho hitaji