Ni sahihi kulea mtoto wa Kambo?

Ni sahihi kulea mtoto wa Kambo?

Kwa hiyo ndugu mdau, kinachokutesa ni kwamba mwamba kule atapata unafuu sababu 'mzigo' wa kulea utakuwa kwako?

Roho mbaya tu, una kiroho cha kwanini. Haya tuseme mama akamchukua akae nae. Utakuwa na amani kuruhusu baba yake mtoto kufanya mawasiliano na mkeo na kutuma hela za matunzo kwa mkeo? Unate geneza mwanya wa mambo mengine

Wewe hudumuia, lea kama mtoto wa ndugu yako mwingine yoyote, likizo ataenda akae kwa baba yake na ndugu zake wengine. Haipunguzi uanaume wako. Huyo mama hatakusamehe kwa kumtenganisha na mtoto wake na hali anaona anateseka kwa mama wa kambo na yeye yupo hai.

Na mtoto vile vile bado mdogo sana. Anamuhitaji mama kuliko baba kwa hatua aliyopo kimaisha. Ndio maana sheria za nani akae na mtoto zinaweka wazi watoto chini ya miaka 7 ni sawa na haki kabsa wakae na mama kwaajili ya malezi sababu ndicho wanacho hitaji
 
Habar Wana JF!

Kuna Binti mmoja nimemuoa zaidi ya mwaka sasa, nimezaa naye mtoto mmoja. Lakini kabla ya hapo alikuwa na mtoto mwingine mwenye umri wa miaka mitano, na makubaliano yetu ilikuwa mtoto huyo aende akaishi na baba yake tutakapo oana, na yeye akaafiki na kweli baba mtoto alimchukua akawa anaishi naye, na baba wa huyo mtoto kaoa ana mke ana watoto wengine.

Sasa siku zimekatika majuzi huyu mke wangu kaenda kumsalimia mtoto wake Kwa baba yake , karudi ananiambia huyo mtoto wake anateseka sana huko, kakonda, hasomi nk, Kwa hyo anataka amchukue Kwa baba yake tuwe tunakaa naye sisi.

Naomba ushauri wenu wadau, itakuwa ni SAHIHI mimi kumlea mtoto wa KAMBO na baba yake yupo?.

Na kama mnavyojua changamoto za mtoto wa KAMBO sitakuwa na uhuru wakutosha kumlea ninavyotaka coz sio damu yangu. Hii imekaaje wadau?
Kwamfano angekuwa ni mtoto wako anaishi na mama yake ambae ameolewa ukahisi anateseka je ungemchukua au ungemuacha??

Cha msingi angalia moyo wako kama uponwazi kumlea mchukueni miaka mitano ni mdogo mno kukosa malezi ya mama. Usiangalie baba mtu yupo hai au lah wewe fanya pale unapoweza kama mke wako anajielewa.

Kama baba weka misingi yako kwa mkeo juu ya mahusiano na matunzo ya huyo mtoto maana baba mtu atatakiwa aje kumsalima hapo nyumbani, atatakiwa atoe matunzo hapo ndio weka misimamo na masharti yako kama mume.
Mwisho kabisa mkeo nae ajitambue kama mke wa mtu basi mtaishi vizuri.
 
Kwanini unamshambulia?
 
Kama una uhakika, Mkeo alivyoenda kumsalimia Mtoto hakutombwa na mzazi mwenzie , Mlee.

Haiingii akili Umlee mtoto wa MTU na bado jamaa akutombee Mke ,Inakua kama anakutomba Nawewe
 
Ni SAHIHI ila tatizo baba yake yupo na sio kwamba hajiwwezi au kamkataa mtoto wake hapana. Ila ni wasiwasi WA mama yake kuwa mtoto wake anateseka Kwa baba yake Bora akae naye mwenyewe.

Mwambie huyo MWANAMKE wako 👉 MTOTO KWA MAMA HAKUI aache utoto na kukosa Akili

Hata waswahili husema mpe mchawi MTOTO akulele

Me nimeishi na mama wa kambo kabda hata ya kuanza vidudu, nimeona faida ya kulelewa na mama wa kambo, mama wa kambo hatokupendelea kwamwe bali atakua neutral i.e atakua kati kati na huko ndipo kumpenda MTOTO

Wamama wengi wanawapendelea Watoto wao, wakidhani Kwamba wanawapenda kumbe wanatenda kinyume na upendo kwa watoto wao

Kuna tofauti Kati ya kupendelea na kupenda 👉 DUNIA inadhani kupendelea ndio kupenda kumbe ni kutenda kinyume na upendo

Chunguza vizuri utaona MTOTO alielelewa na mama wa kambo alivyo fanikiwa sio kimwili tu bali hata kiroho Kwaiyo mwambie huyo mke wako aache upumbavu amuachie mchawi MTOTO amlele Yeye hatoweza kumlea uyo mtoto atampendelea t na mwisho wa siku hatopata chcht kutoka kwa uyo MTOTO
 
Kwamfano angekuwa ni mtoto wako anaishi na mama yake ambae ameolewa ukahisi anateseka je ungemchukua au ungemuacha??

Cha msingi angalia moyo wako kama uponwazi kumlea mchukueni miaka mitano ni mdogo mno kukosa malezi ya mama. Usiangalie baba mtu yupo hai au lah wewe fanya pale unapoweza kama mke wako anajielewa.

Kama baba weka misingi yako kwa mkeo juu ya mahusiano na matunzo ya huyo mtoto maana baba mtu atatakiwa aje kumsalima hapo nyumbani, atatakiwa atoe matunzo hapo ndio weka misimamo na masharti yako kama mume.
Mwisho kabisa mkeo nae ajitambue kama mke wa mtu basi mtaishi vizuri.

Malezi ya Mama Ndio malezi Gani ayo? Kamwe Mama Hawezi kulea MTOTO, atampendelea na kumuhudumia tu lakini sio kumlea

Jua hutuunguza lakini hatufi bali linatupasha tu ili tuive tayari kwa kuliwa 👉 Ndugu utaliwaje ukiwa mbichi?

Mtoto hapo anapashwa, anaandaliwa kwaajili ya Kesho yake iliyo Njema hawezi kufa hata kidogo wala MUNGU hawezi kuluhusu Icho kitu
 
Lea huyo mtoto akikua ataenda kwa baba yake baadae na utakuwa umetua mzigo, sasa akienda kwa baba yake utarudi tena mtoto akiugua mke wangu Kila siku anakwenda hospital na mzazi mwenzake. Wahenga waliposema ukipenda boga penda na ua lake, walimaanisha hivi sasa mkuu hivyo mlee na mpe matunzo kadri uwezavyo, of course mtashirikiana na wife wako kama anafanya kazi.

Mambo mengine ulitakiwa ujiulize kabla ya kuoa
 
Malezi ya Mama Ndio malezi Gani ayo? Kamwe Mama Hawezi kulea MTOTO, atampendelea na kumuhudumia tu lakini sio kumlea

Jua hutuunguza lakini hatufi bali linatupasha tu ili tuive tayari kwa kuliwa 👉 Ndugu utaliwaje ukiwa mbichi?

Mtoto hapo anapashwa, anaandaliwa kwaajili ya Kesho yake iliyo Njema hawezi kufa hata kidogo wala MUNGU hawezi kuluhusu Icho kitu
Sawa mkuu
 
Mpaka uwe na roho nzuri au ni Mchamungu! Kama wewe una roho nzuri au ni Mchamungu unaweza kumlea ili mradi baba yake awe analeta matunzo!
Lakini kama una roho mbaya,toa pesa ya matunzo ya mtoto tu lakini usioe!
 
Heshimu makubaliano yenu ya mwanzo. Ukilegeza hapo utat.o.m.b.e.w.a na baba mtoto hapo hapo kwako. Kwakua atakuja kumuona mwanae na kumjulia khali hapo nyumbani.mwisho w cku utalea mtoto kiuoga oga kuogopa kukosea kisa mtoto wa kambo. Hv jiulize uko na uwezo wa kusomesha watoto wa MTU mwingine private school na wako kayumba. Ukigeuza upande watasema una mnyanyapaa tu.
All the best
Umemaliza mkuu.
 
Mlee vizuri huyo mtoto ndio msaada wako wa badaae mambo hugeuka Broo! Mlee kama umemzaa wewe.

Fikiria kama umepata ajali umefariki then mkeo anaolewa na mwanaume mwingishe kisha ambague mtoto wako.

Mlee bila kufikiria kama baba yake yupo.
Kauli za uoga hizi,kulea bao la mtu mwingine kwa matarajio ya kusaidiwa baadaye.
 
Kwanza ulifanya maamuzi magumu sana ya kuoa mke wa mwenzako.
Single mama hawatakiwi kuolewa kabisa,kuoa single mama unaonesha namna gani usivyo na uwezo wa kuchambua mambo ya mahusiano.
Pili unamruhusu mtu unayeishi naye aende kumsalimu mumewe kwa kisingizio cha kwenda kumuona mtoto ,ujinga.
Kwakuwa uwezo wa akili yako ni mdogo nakushauri mchukue huyo mtoto hili njia nzuri ya mume wa mtu unayeishi naye ipatikane kuja kufanya yake hapo kwako.
Kwenye kikao kijacho cha wanaume nitawashauri wenzangu tukutimue uende huko kwa wenzako.
 
Mpeleke kwa bibi yake mzaa mama yake
Kuoa mwanamke aliezalishwa na mtu mwingine ni kufunga pingu za maisha na matatizo, hadi hapo ulipofikia umeshakosea vitu vingi huwezi kuvirekebisha sahivi utatumika kama mfano hai kwa wengine, majirani, ndugu na marafiki watakua wanawashauri watoto wao wasije kuwa kama wewe
 
Back
Top Bottom