Wewe na mfano wako ndiyo mnawaza kumtawala mwanamke, ila sisi ambao tunajua stahiki na kuweka mambo mahala pake, tumamsimami mwanamke, tunamlinda,tunamtunza na kumpenda, ndiyo maana huwa tunapambana kuwakea mazingira salama wake zetu katika afya za akili zao, mali zao, heshima, na vizazi vyao.Segment ambayo wanaume tunapoteza kwenye mtazamo juu ya maisha ya mwanamke ni ile kuwaza kua unaweza kumtawala hapo hata kama ni ndoa jua haipo, mwanamke anaongozwa na sio kutawaliwa ukishakua kiongozi lazima mambo yatakua rahisi sana na nachojua ni rahisi kumuongoza mwanamke kuliko kumtawala maana utataka utumie mabavu ndio utajikuta umefeli.