Ni sahihi kwa Celebrity Niffer Kusema ana "strong army" likiwa ni jibu kwa Waziri Mkuu baada ya maagizo?

Niffer ambaye aliendesha zoezi la Michango Kwa maafa ya Kariakoo kinyume na Sheria ama bila kibali cha ofisi ya Waziri Mkuu inayosimamia majanga na dharura za aina hiyo.
Waziri Mkuu anatengewa bajeti ya majanga kila mwaka, je imeonekana ikifanya lolote? Kama imepwaya kuna ubaya gani wafanyabiashara wakichangishana ili kuokoa jahazi na wenye bajeti wabakie na aibu yao?
 
Watu hufanya hivyo kila mahali😄 hata kwenye michango ya maofisini. Watanzania ni wezi by nature. Ni mazingira tu yaruhusu kusiwe na audit hamna mtu atakusanya million 100 kwenye account yake apeleke yote never. Hata makasisi wa kanisa wanachukua hongo japo ni jambo baya ila ndio imeshakuwa norm.

Uaminifu na uadilifu wengi tumeshindwa ku practice. Na hadi kufikia hapa muasisi ni serikali ya chama cha mnavu.
 
Yetu macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…