Ni sahihi kwa Celebrity Niffer Kusema ana "strong army" likiwa ni jibu kwa Waziri Mkuu baada ya maagizo?

Ni sahihi kwa Celebrity Niffer Kusema ana "strong army" likiwa ni jibu kwa Waziri Mkuu baada ya maagizo?

Niffer ambaye aliendesha zoezi la Michango Kwa maafa ya Kariakoo kinyume na Sheria ama bila kibali cha ofisi ya Waziri Mkuu inayosimamia majanga na dharura za aina hiyo.
Waziri Mkuu anatengewa bajeti ya majanga kila mwaka, je imeonekana ikifanya lolote? Kama imepwaya kuna ubaya gani wafanyabiashara wakichangishana ili kuokoa jahazi na wenye bajeti wabakie na aibu yao?
 
Kiuhalisia huyu dada alikuwa na lengo la kujipatia Fedha, kawaida tu kwenye kundi la watu mkimteua mtu achangishe na akusanye pesa Huwa wanakataa, Sasa huyu kaamua mwenyewe alikuwa na lengo lake, na Nina uhakika nawajua watanzania, alikuwa apeleke kiasi , na kingine azuie, Haina tofauti na Mr. Mangulue
Watu hufanya hivyo kila mahali😄 hata kwenye michango ya maofisini. Watanzania ni wezi by nature. Ni mazingira tu yaruhusu kusiwe na audit hamna mtu atakusanya million 100 kwenye account yake apeleke yote never. Hata makasisi wa kanisa wanachukua hongo japo ni jambo baya ila ndio imeshakuwa norm.

Uaminifu na uadilifu wengi tumeshindwa ku practice. Na hadi kufikia hapa muasisi ni serikali ya chama cha mnavu.
 
Serikali ijuandae na bomu la hawa watu wenye wafuadi wengi mitandaoni ! Jana mm nikuwa nafuatilus hiyo michango....niliogopa ya Mamilioni yalikussnywa ndani ya muda mfupi!
Ila hata iweje huyu mtoto' anawafuadi! Kuna siku niliona wkisjangilua comment ya RAIS SAMIA kwenye Insta page yake wkimpongexs!...niidhie hapo😁
Yetu macho
 
Back
Top Bottom