mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Waziri mkuu ni MUNGU?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waziri Mkuu anatengewa bajeti ya majanga kila mwaka, je imeonekana ikifanya lolote? Kama imepwaya kuna ubaya gani wafanyabiashara wakichangishana ili kuokoa jahazi na wenye bajeti wabakie na aibu yao?Niffer ambaye aliendesha zoezi la Michango Kwa maafa ya Kariakoo kinyume na Sheria ama bila kibali cha ofisi ya Waziri Mkuu inayosimamia majanga na dharura za aina hiyo.
Watu hufanya hivyo kila mahali😄 hata kwenye michango ya maofisini. Watanzania ni wezi by nature. Ni mazingira tu yaruhusu kusiwe na audit hamna mtu atakusanya million 100 kwenye account yake apeleke yote never. Hata makasisi wa kanisa wanachukua hongo japo ni jambo baya ila ndio imeshakuwa norm.Kiuhalisia huyu dada alikuwa na lengo la kujipatia Fedha, kawaida tu kwenye kundi la watu mkimteua mtu achangishe na akusanye pesa Huwa wanakataa, Sasa huyu kaamua mwenyewe alikuwa na lengo lake, na Nina uhakika nawajua watanzania, alikuwa apeleke kiasi , na kingine azuie, Haina tofauti na Mr. Mangulue
Anaposema anastrong army anaweza maanisha jeshi la Mungu mana nia yake ilikuwa njema tu me sioni alichokoseaWaziri Mkuu kasim majaliwa kwa nini anadharaulika? Hii ni Dharau kabisa haipaswi kuvumilika
Yetu machoSerikali ijuandae na bomu la hawa watu wenye wafuadi wengi mitandaoni ! Jana mm nikuwa nafuatilus hiyo michango....niliogopa ya Mamilioni yalikussnywa ndani ya muda mfupi!
Ila hata iweje huyu mtoto' anawafuadi! Kuna siku niliona wkisjangilua comment ya RAIS SAMIA kwenye Insta page yake wkimpongexs!...niidhie hapo😁
Mpaka wakachanga ina maana wanamfahamu na wanamuamini kuliko serikaliWaziri amemaindi michango, anaona dili linampitia mbali hana lolote
Tecno Mkuu ,Ina miaka 6 sasa!Mkuu unatumia vidole vya mguu kuandika!!
Sorry lakini.
😂ACHA IENDEMkuu ushiriki wako sako tubako kwenye hii thread' unanipa maswali mengi sana !
Niffer anavyopenda kujiinua mbona angempa bila kugombea?Saundi aliotoa wa Ruangwa inaashiria hasira kali sana kama mtu ambaye amewahi kunyimwa kitumbua na mtoto wa kike na sasa amepata angle ya kumkamatia🤣
Basi huyu akijiunga Chadema atakuwa mtaji tosha, Tena agombee ubunge Jimbo la mtama
😂😂😂😂😂😂 Nyota ya mbususuNiffer anavyopenda kujiinua mbona angempa bila kugombea?
Mtoto anatembelea nyota ya K huyo
Strong army "behind" me!
Kosa alilofanya anaweza kuwekwa kizuizini kwa makosa ambayo ni non bailable akaishia kukaa ndani bila dhamana ni rahisi kuingia kwenye tuhuma za kutakatisha fedha kwahiyo asipige ngumi ukuta ni muda wa kuwa mtulivu.
Simu ni nyingi sana zinapigwa kwenye Spika yake punguzeni kupiga simuStrong army in between