Ni sahihi kwa Celebrity Niffer Kusema ana "strong army" likiwa ni jibu kwa Waziri Mkuu baada ya maagizo?

Angeachana na simu aisee, itamletea matatizo.
Hata akifanikiwa kupita hili asilizungumzie kwa matext marefu namna hiyo, asijetukana wakulu akapoteza vyote..

Hawa watu usoni wana nuru ila mioyoni ni wanyama.
 
Ila Binti ana uchu sana wa mafanikio, yeye na boyfriend wake Wana kesi police haya mambo , walichukua mil 64 Kwa wateja kuweka oda za simu na vitu vingine wakawachukulie watu CHINNA, watu wakalipa ila pesa zikapigwa , sijui walipigwaje Sasa, kesi IPO polisi mpaka Leo. So ana kautapeli flani hivi, na muda alifanya biashara na Sasa anenda kufungua mall kunawalakini katika upataji wake wa pesa, mama hata record za huku TRA haioneshi ni mlipa Kodi wa kiwango angalau Cha kati, so it is either anahongwa na kufanya utapeli.

Hawa mabinti kama niffer wanaharibu sana vijana wetu, wakiona life lao wanajua life is that simple kbe behind the scene
 
Ni
Nigger anajua Waziri Mkuu ni sawa na Steve Mengele?
 
Unaandika bila kuhariri na simu zetu hizi za mchina kweli!
 
Amle tena!
 
Atajua hajui hajui kitu kinaitwa mamlaka wanafikiri nchi inajiendea endea tu...!
 
Hadi anakuwa baltazar wa kike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…